Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto
    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)
    Hadithi

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Kaka MkubwaBy Kaka MkubwaJune 9, 2025Updated:July 11, 2025144 Comments14 Mins Read9K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneย 

    “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingineย  ikisemaย 

    “Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipoย  Faudhia aliposhtuka kuwa anapaswa kuwa nje ya chumba harakaย  sana ili awawahi Wanaume hao, alifanya hivyo upesi sana hukuย  akiwa ameelekeza Bastola yake mbele mahali ambako sauti hizoย  zilitoka, wale wanaume hawakuisikia sauti ya tatu ya mwenzaoย  ndipo walipotoka nje haraka ila walikuwa wamechelewa,ย  walikutana na mishale ya risasi kutoka kwa Faudhia, Msichanaย  kutoka Mbeya, aliwamaliza kimya kimya bila kusikika popoteย  sababu bastola ilikuwa na kiwambo cha kuzuia sauti . ENDELEAย 

    SEHEMU YA NANE

    Aliikumbuka vyema ile ramani, ramani ilisema kuwa kwenyeย  kordo hiyo mbele kwenye ukuta ndipo ulipo mlango wa kuelekeaย  ilipo chemba, alipoangalia ukuta huo aliona kulikuwa naย  picha, aliifuata na kuifunua aliona kuna mlango mdogo wa siriย  ambao ulifunikwa na picha hiyo kubwa yenye Msaafu, hapoย  aligundua kuwa mpango huo wa kuiba pesa haukuwa rahisi kiasiย  hicho.ย 

    Ndani ya China Plaza, Mzee Shayo alizidi kuzama ndani kwaย  kutumia ngazi, jengo lilikuwa refu kiasi chake na haikuwaย  salama sana kwake kutumia Lifti. Alisogea taratibu tena kwaย  umakini wa hali ya juu huku akitambuwa fika kuwa uzembe waย  aina yoyote utaondoa Maisha yake sababu watu hao ni hatariย  sana.

    Kabla hajafika Floo ya tatu alimuona Mlinzi wa kwanza ndaniย  ya jengo, alikuwa ametulizana akivuta sigara, alisogea kwaย  umakini sana hadi alipomfikia, alimgusa bega la kuliaย  alipogeuka alimpa ngumi nzito eneo la pua, alimtuliza kwaย  kumzimisha kisha alisonga mbele.ย 

    Alikagua kila mahali, sehemu zingine alikuta familiaย  zilizokuwa zimejificha kwa woga aliwaambia muda wa ukomboziย  umefika, alihakikisha anamfikia Mzee Shomari kwa mara ya piliย  baada ya miaka mingi kupita, akiwa ameshafika floo za juuย  kabisa alisikia sauti ya Mtoto akiwa analia, sauti hiyoย  ilimkumbusha mbali sana alipokuwa mdogo wakati Nyumba yaoย  ilipokuwa inawaka moto na kuwateketeza Wazazi wake woteย  wawili, wazo hilo lilimtoa kwenye lengo lililo mbele yake ileย  anatahamaki alimuona adui mbele yake, alimchapa risasi,ย  kelele za Risasi ziliposikika ziliamsha hali za maadui zakeย  na kujuwa kuwa eneo hilo halikuwa salama.ย 

    Yees!! Chogo alimfuata Selina na kumwambiaย 

    “Pole sana kwa kila kilichotokea hapa, haikuwa nia yanguย  kukufanyia vile bali upendo ulioniingia ghafla, natamaniย  kukuona ukitabasamu tena katika Maisha yako japo najuwaย  itakuwa ngumu sana” Maneno ya Chogo yaliamsha mchozi na kilioย  kwa Selina, alimwambia Chogoย 

    “Wewe siyo Binadamu, huna utu, hufai hata kusamehewa” Alisemaย  kwa hasira sanaย 

    “Selina! Nakupenda sana, nahisi upendo wako kwenye damuย  yangu, nazisikia punzi zako kwenye masikio yangu, kilio chakoย  ni huzuni kwangu! Unapaswa kupumzika” Alisema Chogo kishaย  aliachia tabasamu lililomshangaza Selina, Chogo alipiga hatuaย  kadhaa ili kuondoka kisha alimgeukia Selina na Kumwambiaย  tutaonana siku moja, Chogo alifyatua risasi na kumuuwa Selinaย  akiwa juu ya Meza, haraka alikimbilia kwenye chemba ya siriย  ambayo aliwaambia vijana wake atawakuta huko kisha safari yaoย  kuelekea Upanga ilianza.ย 

    Ndani ya Chemba hiyo, Faudhia alikuwa akisogea kuelekea Benkiย  kuu wakati huo Chogo na vijana wake walikuwa wakielekea alipoย  faudhia ambako ndiko iliko njia ya kuchomoka kwenye chembaย  hiyo yenye giza.ย 

    Chogo na vijana wake walikuwa na shahuku ya kuwa Mamilionea,ย  Faudhia alikuwa na shahuku ya kuhitimisha ugaidi huo. Mudaย  huo Mkuu mpya wa Kitengo cha Usalama wa Taifa alikuwaย  akiwasiliana na Rais, kilichosubiriwa ni amri ya Raisย  kuhakikisha wanaishambulia benki hiyo mara moja. Punde waliwaona Mateka waliokuwa ndani ya Benki hiyo wakikimbiaย  hovyo kuelekea nje, ilibidi wapeane taarifa kuwa wanapaswaย  kwanza kuwa watulivu huku wakiwa makini na Mateka hao kuwaย  huwenda wakawa wamechanganika na Magaidi.ย 

    Iliwabidi wawahoji Mateka hao, walisema kile walichokionaย  lakini kilichowaduwaza Askari ni namna mateka hao walivyosemaย  kuwa Watekaji walikuwa wameshaondoka, iliwalazimu kuingiaย  dani ya benki hiyo kwa utulivu na umakini wa hali ya juuย  sana, walichunguza kila kona walikuta mwili wa Selina,ย  walimkuta Gavana akiwa hoi sana baada ya kuvuja kwa damuย  nyingi, Mke wa Gavana alikuwa akilia sana kwa kuhisi Mumeย  wake angelikufa.ย 

    Mkuu mpya wa kitengo cha Usalama wa Taifa alimwambia Raisย  kuwa Huyo Selina ameshauawa, pesa zote zilikuwa zimeshaondokaย  ndani ya Benki hiyo na haikujulikana magaidi walikuwaย  wameondoka vipi eneo hilo kwani hata dalili tu kuwaย  walichimba mahali haikuonekana, iliwapa maswali ya kujibuย  Askari wa Kitengo na wale wa kawaida, walihangaika kujuwaย  Magaidi hao waliondoka vipi ndani ya Benki hiyo, kumbeย  walichofanya Magaidi hao ni kupita juu ya Siling Board naย  kutokea chumba kingine ambacho kilikuwa cha siri sana ndaniย  ya benki hiyo kisha walichimba huko na kutengeneza njia hivyoย  ukiingia kwa kawaida tu huwezi kuona japo alama kuwaย  walichimba wapi, Naam!! Huyo ndiye Mzee Shomari aliyekuwaย  akiratibu yote hayo na kusuka mipango ya hatari sana.ย 

    “Mkuu hakuna mahali ambapo panaonesha hawa jamaa wametoka,ย  pengine wapo humu ndani wamecheza mchezo ili kuvuruga akiliย  zetu” alisema Mkuu mpya wa kitengo akiwa anazungumza na Raisย 

    “Inawezekana vipi Dinonga? Hicho ni kiasi kikubwa sana chaย  pesa, hakikisha hawaondoki” Alisema Rais kwa sautiย  iliyoashiria kuwa alikuwa amepagawa.ย 

    Msako uliendelea ndani ya Benki kuu huku taarifa za habariย  zikiendelea kuripoti tukio la kuwa huru kwa mateka waliokuwaย  ndani ya Benki hiyo.ย 

    Mzee Shayo akiwa amejibanza kwenye kona huku tayari akiwaย  ameshaamsha akili za maadui zake ndani ya jengo la Chinaย  plaza, alijikuta akiwa anahema juu juu huku akili na moyoย  wake ukizidi kumwambia kuwa kazi hiyo ni hatari sana. Mlangoย  ambao wale maadui walikuwa wakitokea ndiyo sehemu ambayo Mzeeย  Shomari alikuwemo.ย 

    Mzee Shayo alifumba macho yake na kuibusu Bastola aliyoishikaย  mkononi, zaidi ya Wanaume sita walikuwa wakisogea mahaliย ambapo Mzee Shayo alikuwa amejificha tena wlaikuwa makiniย  sana baada ya kutambuwa kuwa Mtu huyo alikuwa hatari sanaย  kwao.ย 

    Mzee Shayo aliutumia ufundi wake kwa kusoma milio ya hatua yaย  maadui hao kisha akatambuwa namna walivyokuwa wamejipanga,ย  alihesabu 1,2,3,4,5,6 kisha alijitoa mafichoni kama chuiย  mwenye hasiraย 

    Alifanya kama vila anakatisha kwenye korido kutoka ukutaย  mmoja hadi mwingine huku akiwa amefumba macho yake, hisiaย  pekee ndizo zilizokuwa zikimuongoza, alifyetua risasi sitaย  ambazo aliamini zilikuwa ndiyo misumali ya kuwamaliza Maaduiย  hao, sauti za kuanguka zilisikika, Ndiyo!! Mzee Shayoย  alifanikiwa kuwamaliza maadui hao sita kwa kutumia hisia zakeย  kali za Kijeshi. Alipofika ukuta mwingine alijipa muda waย  kuendelea kusikiliza tena lakini hakukuwa na sauti ya hatuaย  hata moja iliyokuwa ikisikika.ย 

    Aliweka vizuri bastola yake kisha alichomoka kwa makini sana,ย  alisogea taratibu akiwa anaegemea ukuta huku Bastola yakeย  ikielekeza kwenye ule mlango ambao wale maadui walikuwaย  wametokea, alipiga hatua 10 za Kijasusi hadi alipofika,ย  mlango ulikuwa wazi na hakukuonekana kuwa na dalili za kuwaย  na Mtu kwenye chumba hicho, aliona chupa za vinywaji naย  Michoro baadhi ya tukio walilokuwa wakilifanyaย 

    Aliona ni bora azidi kupandisha juu ambako kulikuwa na hiyoย  Helkopta ili kama Mzee Shomari anatoroka aweze kumnasa.ย 

    Tuachane na Mzee Shayo, sasa turudi ndani ya Chemba yaย  kusafirishia pesa, Chogo na Watu wake walizidi kuchanjaย  mbunga bila kujuwa kuwa Faudhia alikuwa akienda upande wao,ย  walipofika katikati ya safari yao Chogo aliwaambia vijanaย  wake watulie, alihisi ujio mbele yao, ni kweli Faudhiaย  alikuwa mbele yao, naye alihisi ujio wa Watu. Mkononi alikuwaย  na Bastola huku Bastola nyingine akiwa ameiweka kiunoni,ย  alijiweka sawa huku Chogo na Watu wake wakijiweka sawa iliย  kukabiliana na hatari iliyo mbele yao, eneo ambaloย  liliwatenganisha Faudhia na Timu ya Chogo ni sehemu yenyeย  kona, Faudhia alizima tochi yake ili kuwe giza, upande waย  pili Chogo naye aliwaambia vijana wake wazime tochi zao.ย  Walivalia miwani ambazo ziliwasaidia kuona kwenye giza,ย  walikuwa wamejipanga huku kila mmoja akiwa na Begi moja lenyeย  pesaย 

    Chogo alituma Watu wawili wasogee mbele zaidi kuangaliaย  kulikuwa na nini, Faudhia alishashtuka aliweka sawa Bastolaย  yake ili awashambulie, walipojitokeza japo kulikuwa na gizaย 

    Faudhia aliweza kucheza na hisia kama alivyofanya Mzeeย  Shomari na ndiyo yalikuwa mafunzo ya kupambana na adui paleย  ambapo unahisi kwa macho ya kawaida huwezi kufanya hivyo,ย  alisikiliza hatua za Wanaume hao wawili akajuwa namna walivyoย  kaa, wanaume hao walikuwa na AK47 mikononi mwao hivyo Faudhiaย  alipaswa kuwa makini zaidi, alifumba macho na kuinyanyuaย  bastola yake hadi usawa ambao aliona unafaa.ย 

    Aliendelea kusikiliza hatua zao kisha alifyatua risasi mbiliย  kwa kutumia Bastola yake ambayo ilifungwa kiwambo, risasiย  hizo zilifika kwenye paji la uso la kila mmoja, japo sauti yaย  risasi haikutoka lakini sauti ya kuanguka kwao iliwashtuaย  Akina Chogo ambao haraka walianza kurusha risasi mbele,ย  Faudhia alijificha mahali huku ule mwanga wa zile risasiย  ukimfanya aone watu aliowauwa kuwa walikuwa wamevalia miwaniย  za kuona wakati wa giza, baadaye risasi hizo zilikoma.ย 

    Hakuna risasi iliyomfikia Faudhia kwenye mwili wake kwasababuย  alikaa kwenye kona, alipoona ukimya umetawala alipigaย  mahesabu ya kuichukua miwani, alitoa bastola zake mbili kishaย  aliziweka sawa, alijichomoa na kuanza kurusha risasi kwaย  lengo la kuwazuga huku haraka akichomoka na kufika zilipoย  zile maiti mbili, alisogea kwa mmoja na kumvua ile miwani ilaย  bahati mbaya alipigwa risasi ya Bega, alijibu mapigo hukuย  akiokota AK47 kisha alirudi kujificha, alikuwa na maumivuย  makali ya bega.ย 

    Alichana kilemba kisha alijifunga kwenye bega kwa usaidizi waย  meno yake, alivalia miwani akawa anaona kama kwenye mwangaย  vile, kisha aliiweka sawa AK47 kwa ajili ya majibizano ambayoย  yalianza kuwashtua polisi walio ndani ya Benki hukuย  wakijiuliza risasi hizo zilikuwa zikitokea wapi, Chogo naย  timu yake walijipanga vizuri, walikuwa kama Watu 11ย  waliobakiaย 

    Faudhia alianza kutoka pale huku akisogea kwa tahadhariย  kubwa, alikuwa na ujuzi wa kulenga hivyo ilikuwa kazi rahisiย  sana kwake kukabiliana na Wanaume hao, alipochungulia alionaย  miguu yao ikisogea, alilenga miguu ya Watu wawili akafyatuaย  risasi, walipoanguka aliwamaliza moja kwa moja na kufanyaย  idadi yao kupungua, Alizidi kuwamaliza kwa kuwavizia hadiย  alipofanikiwa kuwabakiza maadui wanne tu, chogo akawaambiaย 

    “Turudi ndani ya Benki” Alisema kisha waliokota mabegiย  machache huku mengine yakiwa chini, waliona hawatawezaย  kukabiliana na Hatari hiyo huku wakishindwa kujuwa kuwa Mtuย  huyo alikuwa peke yake au kilikuwa kikundi cha Watu.

    “Benki itakuwa imeshavamiwa na askari” Alisema mmoja waย  vijana wakeย 

    “Sasa tufanye nini, tusogee tukafe?, turudi ndani ya Benki”ย  Alisistiza Chogo, wakiwa wanarudi, Faudhia aliwatungua wawiliย  kati yao na kuwabakisha wawili ambao ni Chogo na mwenzakeย  mmoja, chini huko hakukuwa na mtandao labda angewasiliana naย  Mzee Shomari na kumuomba msaada hata hivyo Mzee Shomariย  mwenyewe alikuwa akijivuta na mguu wake mbovu kuifuata ilipoย  Helkopta ili aweze kukimbia baada ya kuona Mambo hayapo sawa.ย 

    Mzee Shayo alikuwa nyuma yake akiwa anakuja kwa kasiย  kuhakikisha Mzee Shomari hachomoki, ilikuwa ni wahi nikuwahi,ย  kama siyo Mguu mbovu wa Mzee Shomari basi angelikuwaย  ameshaifikia Helkopta, alifanikiwa kuufungua mlango wa mwishoย  kisha Mtu mmoja alishuka kutoka kwenye Helkopta ili ampeย  msaada Mzee Shomari, ghafla jamaa huyo alipigwa risasi yaย  kichwa na Mzee Shayo ambaye alikuwa ameshafika eneo laย  Mlango, kuona hivyo Mzee Shomari aligeuka akamwambia Mzeeย  Shayoย 

    “Ni bora uniache niondoke vinginevyo nitabonyeza hii rimotiย  kwa ajili ya kutegua mabomu yote yaliyopo kwenye makambi yaย  Jeshi Nchi nzima” Alisema Mzee Shomari, maneno yake yaliletaย  uzito kwa Mzee Shayo alifikiria afanye nini huku Mzee Shomariย  akiwa anataka kubonyeza Kitufeย 

    “Sawa!! Nakuacha uwende” Alisema Mzee Shayo huku akiwekaย  silaha yake chini, Mzee Shomari alicheka sana kwa kuaminiย  kila jambo linaenda kuwa sawa, alimwambia Mzee Shayoย 

    “Itupe hiyo Bastola” Alisema kwa mkwara, Mzee Shayo aliiokotaย  na kuitupa chini ya ghorofa hilo, hapo Mzee Shomari aliaminiย  kuwa yupo salama kumbe nyuma ya Mgongo wa Mzee Shayo kulikuwaย  na Bastola aliyoificha, Mzee Shomari alipogeuka ili apandeย  Helkopta alipigwa risasi nyingi mgongoni, hakuamini machoย  yake, alitamani kubonyeza kitufe ili afe na Askari wengiย  lakini nguvu ya kufanya hivyo ilimuisha hatimaye aliangukaย  chini, haraka Mzee Shayo alifyetua risasi kwa dereva waย  Helkopta ambaye alitaka kutoweka eneo hilo, alimpiga risasiย  ya shingo na kusababisha Helkopta kuruka bila uelekeo maalumย  hatimaye ilienda kuripuka kwenye kituo cha Mabasi ya mwendoย  kasi eneo la Gerezani.ย 

    Alishusha pumzi zake kisha alipiga magoti, kazi ilikuwa ngumuย  sana kwake, alijikuta akicheka kwa maumivu makali ndani yaย  nafsi yake, ngoma ilikuwa ngumu upande wa Faudhia ndani yaย  Chemba ya pesa, Chogo alikuwa akirudi ndani ya Benki wakatiย  huo Faudhia akiwafuata kwa nyuma kuhakikisha hakunaย atakayetoka salama eneo hilo, majibizano ya risasiย  yaliendelea ndani ya chemba hiyo, polisi walio juuย  walifanikiwa kufahamu kuwa risasi hizo zilikuwa zikifyatuliwaย  chini kabisa ya Ardhi hivyo waligundua huenda Magaidi wapoย  chini wanajibizana na askari wengine.ย 

    Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa alimpa taarifa Mkuu waย  Nchi kwa kile kichokuwa kikiendelea huko Chini, Raisย  alimwambia asikilizie ni jambo gani lilikuwa huko chini.ย 

    Akina Chogo walijitahidi kukimbia kurudi ndani ya Benkiย  lakini Faudhia alikuwa makini kuwawinda, alimpiga risasi mtuย  wa Chogo, iliamsha hasira sana kwa Chogo, alisimama kishaย  aliokota AK47 kisha alianza kumimina risasi nyingi mfululizoย  upande wa Faudhia, alifanikiwa kumfanya Faudhia alale chiniย  huku akijificha kwenye moja ya maiti, alipomimina risasi kwaย  hasira hadi alipozimaliza, Faudhia alipojuwa kuwa alikuwaย  amemaliza Risasi alisimama akiwa na bastola yake, alipigaย  risasi moja mguuni kwa Chogo, alipiga nyingine kwenye bega laย  chogo kisha alitaka kumaliza mchezo lakini Bastola yakeย  iliisha Risasi.ย 

    Chogo alichomoka kama Mzimu, Faudhia hakuamini kuwa Mtuย  aliyempiga risasi alikuwa akija kama Duma kwenye mbuga yaย  wanyama, alimfika Faudhia eneo la tumbo na kuumtupa pembeni,ย  wote walikuwa na mawani maalum za kuona kwenye giza.ย 

    Chogo alikuwa kama amepagawa hivi hakutegemea kamaย  angelikutana na upinzani wakati wa kupata kiasi hicho chaย  pesa, alimvaa Faudhia na kuanza kumpa mvua ya ngumi ambazoย  zilimrudisha tena Faudhia Chini, kabla hajakaa sawaย  alishindiliwa na teke tumboni zaidi ya mara tatu haidiย  alitema damu.ย 

    “Nani amekutuma?” Aliuliza Chogo akiwa kama kichaa, alishushaย  ngumi nyingine nzito kwa Faudhia na kumfanya azidi kutemaย  damu na kuishiwa nguvu, kisha alimuacha akiwa anahema juu juuย  kama Mgonjwa wa presha, aliokota jiwe zito ili amshindilieย  Faudhia lakini alisita kufanya hivyo kisha akamwambiaย 

    “Nakuacha ufe taratibu” Chogo alilitupa jiwe hilo pembeniย  kisha aliokota mabegi mawili yenye pesa na kuanza kuyaburuzaย  ili atoke nayo nje ya chemba. Japo Faudhia alikuwa katikaย  hali mbaya sana lakini alifikiria kama jamaa huyoย  angeliondoka ndani ya Chemba hiyo ingekuwa kazi yoteย  aliyoifanya ni sawa na bure tuu.ย 

    Alijivuta kwa kazi sana ili aokote AK47 ambayo ilikuwa kandoย  yake, Chogo alikuwa akizidi kusepa huku akiikaribia ile konaย ambayo kama atazama hapo basi Faudhia atamkosa Chogo na jinsiย  alivyo na hali mbaya asingeliweza kunyanyuka na kumfukuzia,ย  alifanikiwa kuikota kisha aliiweka sawa, alihema kwa nguvuย  kisha alivuta hisia zake, akafyatua Risasi kuelekea kwaย  Chogo, alikuwa na hisia kali sana na kufanikiwa kumpiga Chogoย  kwenye kichwa, Chogo alienda Chini.ย 

    Hali ya Faudhia haikuwa nzuri alikuwa akivuja damu nyingiย  ndani ya Chemba hiyo yenye giza, aliona kama angeliendeleaย  kubakia hapo basi angelikufa kwa kukosa hewa na kuvuja damuย  nyingi, Alijivuta kuelekea Benki ambayo ilikuwa na Askari naย  hakukuwa na taarifa yoyote kuwa kulikuwa na Askari wa siri waย  kitengo aliyekuwa akifanya operesheni ndani ya Chemba hiyo,ย  Askari walikuwa tayari wamefanikiwa kuona mahali walipopitaย  akina Chogo yaani pale kwenye dali kabla ya kutokea kwenyeย  chumba cha siri ambacho walichimba hiyo chemba.ย 

    Walianza kuhisi ujio wa Mtu kwenye Siling Board, Mkuu waย  kitengo alitoa maelekezo wafyatue risasi, Ooooh!! Risasiย  zilifyetuliwa za kutosha hadi pale alipowaambia waacheย  kufanya hivyo, ukimya ulitawala kwa sekunde kadhaa kishaย  waliona eneo hilo likibomoka, mwili wa Mtu ulianguka hadiย  chini ya Sakafu, ulikuwa ni mwili wa Faudhia.ย 

    Alikuwa akitema damu nyingi sana, muda huo huo aliingia Mzeeย  Shayo, alipoangalia vizuri alimuona Faudhia, alimuonaย  Msichana aliyemkuza kama Mtoto wake akiwa amelala chini yaย  sakafu akiwa anatokwa na damu nyingi huku akiwa na matunduย  mengi ya risasiย 

    “Faudhiaaaaa!!!” Aliita Mzee Shayo kwa uchungu wa hali ya juuย  sana, alimkimbilia Faudhiaย 

    “Faudhia! Faudhia Mwanangu!! Huyu ni Askari wa kitengo naย  ndiye aliyekuwa akifanya operesheni hii kwa siri, mmeniuliaย  mwanangu” Alilia Mzee Shayo wakati Faudhia akiwa anahema kwaย  shida sana, alifanikiwa kumuita Mzee Shayoย 

    “Ba….baaaa” Aliita na kukata kauli yake, Faudhia alifiaย  mikononi mwa Mzee Shayo, alilia sana Mzee Shayo, tena kwaย  Uchungu mkubwa sana.ย 

    “Nimekuponza Mwanangu!! Faudhiaaa, Faudhiaaaa”” alilia kwaย  Uchungu, Mwili wa Faudhia ulichukuliwa kupelekwa Hospitaliย  kwa ajili ya Uchunguzi, Baadaye Mzee Shayo alitoa taarifa kwaย  makambi ya Jeshi kuwa Mabomu yaliyotegwa humo yaliwezaย  kuzuiliwa, Jeshi lilitoka na kuhakikisha linakomboa Mijiย  iliyokuwa chini ya Kundi la ESS.ย 

    BAADA YA WIKI MOJA.

    Ndani ya Ndege ya Shirkika la Emirates, Mzee Shayo alikuwaย  anasafiri kuelekea mapunzikoni baada ya kumfyeka Mzee Shomariย  na kundi lake, mkononi alikuwa na picha ya Faudhia, aliibusuย  kisha aliiweka Mfukoni. Aliitoa simu moja ambayo aliichukuaย  kutoka kwa Mzee Shomari, alitafakari jambo lililomshangazaย  sana.ย 

    Ndani ya simu ya gaidi Mzee Shomari kulikuwa na namba ya Raisย  wa Nchi, na namba hiyo ilionekana kuwasiliana na Mzee Shomariย  siku ya tukio tena kwa muda mrefu, aliwaza Rais alikuwaย  akiongea nini na Mzee huyo? Alivuta punzi kisha alisemaย 

    “Sitostaafu, nitahakikisha nagundua siri ambayo Raisย  anaificha” Aliiweka simu hiyo ndani ya Mfuko kisha aliendeleaย  na safari yake ya kuelekea Brazil kupumzika.ย 

    MWISHO.

    IFUATE RIWAYA YA AINA GANI? MAPENZI , UJASUSI , UCHAWI au MAISHA?ย  COMMENTS ZIKIFIKA 100 Naachia Kesho MAPEMA SANA

    JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย 

    Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA

    Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA

    Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย 

     

    riwaya mpya riwaya za kijasusi riwaya za kusisimua soma riwaya bure

    144 Comments

    1. Warda on June 9, 2025 4:06 pm

      Uchawi

      Reply
      • Gidioni shirima on June 16, 2025 9:32 pm

        No zombie

        Reply
    2. Sal on June 9, 2025 9:07 pm

      Mapenzi

      Reply
      • Hassanain on June 11, 2025 8:01 pm

        Ujasusi

        Reply
    3. Rifai on June 9, 2025 9:11 pm

      Mapenzi

      Reply
      • Abel on June 9, 2025 11:23 pm

        Raisi alijua njama hii, Nani alimpa taarifa ya chemba ya kutunzia pesa benk kuu kuwa Ni Selina anajua?

        Reply
    4. Lus twaxie on June 9, 2025 9:34 pm

      Admin nijibu txt yangu whatsap

      Reply
    5. Anneth on June 9, 2025 9:45 pm

      Ujasusi

      Reply
    6. BENEDICT on June 9, 2025 10:17 pm

      Mapenzi

      Reply
    7. Noush on June 9, 2025 10:43 pm

      Mapenzi

      Reply
    8. Matola on June 9, 2025 10:44 pm

      Ujasusi

      Reply
    9. Josephat on June 9, 2025 11:13 pm

      Uchawi kdg tuweweseke ucku

      Reply
    10. Neema on June 9, 2025 11:23 pm

      Ujasusi

      Reply
      • Azrieli Emmanuel on June 9, 2025 11:56 pm

        ujasusi

        Reply
      • Merman on June 10, 2025 10:52 am

        Mapenzi

        Reply
        • Julia on June 10, 2025 12:39 pm

          mapenzi

          Reply
    11. triple h on June 9, 2025 11:31 pm

      Mapenziii

      Reply
    12. Sulee on June 10, 2025 12:09 am

      Uchawi

      Reply
    13. Bplm1664 on June 10, 2025 10:05 am

      Dah Faudhia kakufaaa

      Reply
    14. The Duzzle on June 10, 2025 10:58 am

      Mapenzi

      Reply
    15. Macmillan Peam on June 10, 2025 11:25 am

      Ujasusi! Ila io kama ingeendelea ingekuwa safi sana ili tujue siri baina ya Rais na Mzee Shomari.

      Reply
      • Gervase on June 11, 2025 8:05 am

        Mapenzi

        Reply
    16. SAID S KITOI on June 10, 2025 12:56 pm

      Mapenzi

      Reply
    17. KingBam on June 10, 2025 2:51 pm

      UJASUSI IS ALWAYS THE BEST ASEEE….
      BRING BACK ๐Ÿ”™ AGAIN LAKINI IWE MICH BETTER THAN THAT ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

      Reply
    18. Cathbert on June 10, 2025 3:58 pm

      Lete kama hy mkuu

      Reply
    19. Ahyen tony on June 10, 2025 6:57 pm

      Sema kaka mkubwa anazingua katueka sana

      Reply
      • Kidundakhaji on June 11, 2025 8:54 am

        Nimeumua kwa nin fauthia amefariki dahh

        Reply
    20. Yamungu.E.Dawson on June 12, 2025 7:53 am

      Daaah!! Kazi nzuri sana admin stay blessed, i love your work.

      Reply
    21. Godrizen on June 12, 2025 1:02 pm

      Ujasusii

      Reply
    22. Joshua kijida on June 17, 2025 3:49 pm

      Mapenzi

      Reply
    23. ๐Ÿ“‰ + 1.147857 BTC.NEXT - https://yandex.com/poll/enter/Riq9cmR97ue9Qcm8p2ERZ6?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“‰ on June 19, 2025 3:30 am

      c1guw5

      Reply
    24. ๐Ÿ“ƒ Message; TRANSFER 1,283575 BTC. Assure => https://yandex.com/poll/enter/4Joc2mvUbapjsUMcMcKM3z?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“ƒ on June 21, 2025 2:06 am

      tjv19x

      Reply
    25. * * * Unlock Free Spins Today: http://fiestadehalloween.xyz/index.php?3qskcb * * * hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f* ั…ั…ั…* on June 28, 2025 10:05 am

      hodz1j

      Reply
    26. ๐Ÿ“ฃ Email: TRANSFER 1.381476 BTC. Next > https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“ฃ on June 29, 2025 5:07 am

      9t2qsx

      Reply
    27. ๐Ÿ“ˆ Notification; SENDING 1,487986 BTC. Receive => https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“ˆ on June 29, 2025 4:11 pm

      sw7lxr

      Reply
    28. ๐Ÿ“ช Notification; TRANSFER 1,372247 bitcoin. Next => https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“ช on July 4, 2025 8:17 am

      z9jm2h

      Reply
    29. dympjmmpjz on July 5, 2025 7:53 pm

      lfswrxiwxftdopvtodpzkjkrnmfoji

      Reply
    30. usmmvxvszq on July 5, 2025 7:53 pm

      lkyztduwjxyplpizxknwuutimrfliw

      Reply
    31. ๐Ÿ“ฉ Email; Process 1,295112 bitcoin. Assure > https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“ฉ on July 7, 2025 7:38 am

      2asjbu

      Reply
    32. Miley4157 on July 9, 2025 12:25 am

      Apply now and unlock exclusive affiliate rewards! https://shorturl.fm/DK3fr

      Reply
    33. Krista2964 on July 9, 2025 1:33 am

      Join our affiliate community and earn moreโ€”register now! https://shorturl.fm/sA4fO

      Reply
    34. Monica23 on July 9, 2025 3:58 am

      Your network, your earningsโ€”apply to our affiliate program now! https://shorturl.fm/ZWode

      Reply
    35. Isabel1819 on July 9, 2025 11:13 am

      Drive sales, collect commissionsโ€”join our affiliate team! https://shorturl.fm/IfhrA

      Reply
    36. Ellie3104 on July 9, 2025 9:19 pm

      Get started instantlyโ€”earn on every referral you make! https://shorturl.fm/gMbFS

      Reply
    37. ๐Ÿ“‰ Reminder; + 1.333366 BTC. Continue >> https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ“‰ on July 10, 2025 3:43 am

      b6ubhd

      Reply
    38. Deirdre850 on July 10, 2025 6:40 am

      Join our affiliate program and start earning commissions todayโ€”sign up now! https://shorturl.fm/r8NGd

      Reply
    39. Freya3420 on July 10, 2025 4:02 pm

      Monetize your audience with our high-converting offersโ€”apply today! https://shorturl.fm/Ga0o8

      Reply
    40. Ainsley3240 on July 10, 2025 5:59 pm

      Boost your income effortlesslyโ€”join our affiliate network now! https://shorturl.fm/Csvlf

      Reply
    41. Kaleb4718 on July 10, 2025 8:02 pm

      Drive sales and watch your affiliate earnings soar! https://shorturl.fm/0zj8I

      Reply
    42. Beryl2997 on July 10, 2025 8:03 pm

      Monetize your audienceโ€”become an affiliate partner now! https://shorturl.fm/EdNuf

      Reply
    43. fwftriyjnh on July 11, 2025 2:24 am

      kzjjwneonffwpeqpklsxuowdwqzesl

      Reply
    44. eiokspxffj on July 11, 2025 4:48 am

      seuhsuflqlloqrroqjxwuleqertuqq

      Reply
    45. Gerald1046 on July 11, 2025 8:32 am

      Become our affiliateโ€”tap into unlimited earning potential! https://shorturl.fm/0ORw3

      Reply
    46. Leona1488 on July 11, 2025 5:51 pm

      Turn referrals into revenueโ€”sign up for our affiliate program today! https://shorturl.fm/IKbcP

      Reply
    47. Amber1351 on July 11, 2025 9:44 pm

      Monetize your audienceโ€”become an affiliate partner now! https://shorturl.fm/vzZrz

      Reply
    48. Raymond2516 on July 13, 2025 12:51 am

      Share your unique link and cash inโ€”join now! https://shorturl.fm/P3BQS

      Reply
    49. Allan203 on July 13, 2025 8:07 am

      Drive sales, collect commissionsโ€”join our affiliate team! https://shorturl.fm/pnMG8

      Reply
    50. Gerard498 on July 13, 2025 12:10 pm

      Join our affiliate program today and earn generous commissions! https://shorturl.fm/dUhWm

      Reply
    51. Brendan2670 on July 13, 2025 5:53 pm

      Monetize your influenceโ€”become an affiliate today! https://shorturl.fm/BDX73

      Reply
    52. Adrian778 on July 14, 2025 4:54 am

      Share our link, earn real moneyโ€”signup for our affiliate program! https://shorturl.fm/vwymY

      Reply
    53. Harry1687 on July 14, 2025 5:10 am

      Unlock exclusive rewards with every referralโ€”apply to our affiliate program now! https://shorturl.fm/qxT3D

      Reply
    54. Millie2843 on July 14, 2025 8:46 am

      Share our products, earn up to 40% per saleโ€”apply today! https://shorturl.fm/y7PGQ

      Reply
    55. Seth2735 on July 14, 2025 8:14 pm

      Sign up now and access top-converting affiliate offers! https://shorturl.fm/PugT5

      Reply
    56. Kirsten1615 on July 14, 2025 8:42 pm

      Join our affiliate community and maximize your profitsโ€”sign up now! https://shorturl.fm/CGHjR

      Reply
    57. Aaliyah4107 on July 15, 2025 3:08 pm

      Join our affiliate program and start earning commissions todayโ€”sign up now! https://shorturl.fm/azBnr

      Reply
    58. Lorraine363 on July 15, 2025 5:19 pm

      Join our affiliate family and watch your profits soarโ€”sign up today! https://shorturl.fm/AxFCn

      Reply
    59. Svensk reggae on July 16, 2025 3:18 pm

      I always used to read paragraph in news papers but now as I am a user
      of net so from now I am using net for content, thanks to web.

      Reply
    60. Marcel3671 on July 16, 2025 5:51 pm

      Promote our brand and watch your income growโ€”join today! https://shorturl.fm/oi2D5

      Reply
    61. Elizabeth11 on July 16, 2025 6:01 pm

      Become our partner and turn referrals into revenueโ€”join now! https://shorturl.fm/6hSqY

      Reply
    62. Guillermo3629 on July 17, 2025 2:26 pm

      Partner with us for high-paying affiliate dealsโ€”join now! https://shorturl.fm/euMqn

      Reply
    63. Brennan4341 on July 18, 2025 12:55 pm

      Partner with us and enjoy high payoutsโ€”apply now! https://shorturl.fm/iwnVy

      Reply
    64. Clyde525 on July 18, 2025 2:11 pm

      Earn big by sharing our offersโ€”become an affiliate today! https://shorturl.fm/B2zLU

      Reply
    65. Jessie4883 on July 18, 2025 3:14 pm

      Unlock exclusive rewards with every referralโ€”enroll now! https://shorturl.fm/Jzpl1

      Reply
    66. Alexandra854 on July 18, 2025 9:29 pm

      Promote our brand and watch your income growโ€”join today! https://shorturl.fm/e4JMq

      Reply
    67. Emory1421 on July 19, 2025 1:14 pm

      Boost your profits with our affiliate programโ€”apply today! https://shorturl.fm/sc09x

      Reply
    68. Bridget4245 on July 19, 2025 5:05 pm

      Boost your income effortlesslyโ€”join our affiliate network now! https://shorturl.fm/m2tJf

      Reply
    69. Sally2198 on July 19, 2025 7:55 pm

      Boost your income effortlesslyโ€”join our affiliate network now! https://shorturl.fm/m2tJf

      Reply
    70. Giovanni4413 on July 21, 2025 6:14 am

      https://shorturl.fm/wCSxF

      Reply
    71. Mitchell693 on July 21, 2025 6:35 am

      https://shorturl.fm/OIxJs

      Reply
    72. Scarlett4495 on July 21, 2025 9:21 am

      https://shorturl.fm/bNIFR

      Reply
    73. Leila1881 on July 21, 2025 5:11 pm

      https://shorturl.fm/lH9Fv

      Reply
    74. Phoebe2851 on July 21, 2025 6:49 pm

      https://shorturl.fm/plSeC

      Reply
    75. Bianca25 on July 21, 2025 8:08 pm

      https://shorturl.fm/92g2o

      Reply
    76. Makayla1788 on July 21, 2025 9:20 pm

      https://shorturl.fm/X1zkp

      Reply
    77. Addison3063 on July 22, 2025 1:47 am

      https://shorturl.fm/Xj33W

      Reply
    78. Hudson3945 on July 22, 2025 9:09 pm

      https://shorturl.fm/2gAda

      Reply
    79. Channing4860 on July 22, 2025 10:17 pm

      https://shorturl.fm/iqm1h

      Reply
    80. Mary3853 on July 23, 2025 4:40 am

      https://shorturl.fm/6ajQh

      Reply
    81. Michael4139 on July 23, 2025 2:55 pm

      https://shorturl.fm/z33uV

      Reply
    82. Teresa723 on July 24, 2025 1:51 pm

      https://shorturl.fm/mh658

      Reply
    83. Amelie534 on July 24, 2025 7:54 pm

      https://shorturl.fm/b4Zk5

      Reply
    84. Bailey2532 on July 24, 2025 10:49 pm

      https://shorturl.fm/yWTva

      Reply
    85. Davis4906 on July 24, 2025 11:10 pm

      https://shorturl.fm/bZJt4

      Reply
    86. Rodney4540 on July 25, 2025 4:22 am

      https://shorturl.fm/yFR05

      Reply
    87. Christine2438 on July 25, 2025 12:56 pm

      https://shorturl.fm/E6dz8

      Reply
    88. Elinor2822 on July 25, 2025 3:15 pm

      https://shorturl.fm/cqK1o

      Reply
    89. Natasha3603 on July 25, 2025 4:08 pm

      https://shorturl.fm/KyP1o

      Reply
    90. Garrett4482 on July 26, 2025 5:18 am

      https://shorturl.fm/sYo2L

      Reply
    91. Ronald4112 on July 26, 2025 11:50 pm

      https://shorturl.fm/kWb2t

      Reply
    92. Bobby2219 on July 27, 2025 1:45 am

      https://shorturl.fm/yefgV

      Reply
    93. Frances2078 on July 27, 2025 8:37 pm

      https://shorturl.fm/uckyF

      Reply
    94. Daria1995 on July 28, 2025 1:35 am

      https://shorturl.fm/EEaNw

      Reply
    95. Kaylee4515 on July 28, 2025 10:03 am

      https://shorturl.fm/kQx6B

      Reply
    96. Anastasia64 on July 28, 2025 11:06 am

      https://shorturl.fm/zmBSz

      Reply
    97. Patrick931 on July 28, 2025 12:17 pm

      https://shorturl.fm/yqT0J

      Reply
    98. Randall522 on July 28, 2025 12:55 pm

      https://shorturl.fm/UiwF5

      Reply
    99. Giselle292 on July 28, 2025 10:05 pm

      https://shorturl.fm/a6U5u

      Reply
    100. Kai3752 on July 29, 2025 4:46 am

      https://shorturl.fm/IxnCz

      Reply
    101. Herbert3581 on July 29, 2025 6:19 am

      https://shorturl.fm/riNDj

      Reply
    102. Irene2128 on July 29, 2025 11:44 am

      https://shorturl.fm/N4Ezl

      Reply
    103. Elsa4719 on July 30, 2025 2:56 pm

      https://shorturl.fm/KYxNc

      Reply
    104. Gabriel521 on July 30, 2025 5:29 pm

      https://shorturl.fm/fUBo9

      Reply
    105. Margaret4626 on July 31, 2025 8:14 am

      https://shorturl.fm/MUSP9

      Reply
    106. Miranda582 on July 31, 2025 8:31 am

      https://shorturl.fm/MIOrv

      Reply
    107. Irene330 on August 1, 2025 12:38 am

      https://shorturl.fm/uCMzl

      Reply
    108. Jack3040 on August 1, 2025 10:43 am

      https://shorturl.fm/gZZHd

      Reply
    109. Ginger155 on August 1, 2025 3:34 pm

      https://shorturl.fm/hjUpK

      Reply
    110. Pierce3678 on August 1, 2025 7:49 pm

      https://shorturl.fm/lQiiK

      Reply
    111. Graham2722 on August 2, 2025 2:37 am

      https://shorturl.fm/LkJH0

      Reply
    112. Cheyenne4457 on August 2, 2025 3:08 am

      https://shorturl.fm/dWevn

      Reply
    113. Karl2792 on August 2, 2025 4:41 pm

      https://shorturl.fm/AM8It

      Reply
    114. Krista4800 on August 3, 2025 2:43 pm

      https://shorturl.fm/hnlkS

      Reply
    115. Craig663 on August 3, 2025 4:23 pm

      https://shorturl.fm/cVnDJ

      Reply
    116. Destiny4796 on August 3, 2025 8:55 pm

      https://shorturl.fm/PuIPr

      Reply
    117. Gertrude1389 on August 3, 2025 11:08 pm

      https://shorturl.fm/PXxEe

      Reply
    118. Geoff1431 on August 4, 2025 1:35 am

      https://shorturl.fm/xbdHL

      Reply
    119. King2216 on August 4, 2025 6:52 pm

      https://shorturl.fm/y9jyQ

      Reply
    120. Whitney3191 on August 6, 2025 7:40 am

      https://shorturl.fm/NjMwb

      Reply
    121. Angel2575 on August 6, 2025 11:32 pm

      https://shorturl.fm/tzhCD

      Reply
    122. Devon45 on August 7, 2025 6:38 pm

      https://shorturl.fm/RW11E

      Reply
    123. Kate1680 on August 8, 2025 9:01 pm

      https://shorturl.fm/uwCja

      Reply
    124. Matthias4679 on August 9, 2025 9:06 pm

      https://shorturl.fm/MFG1d

      Reply
    125. 1WIN on August 10, 2025 1:39 am

      https://t.me/s/Official_1win_kanal/491

      Reply
    126. Harper3703 on August 10, 2025 2:44 pm

      https://shorturl.fm/PmXHa

      Reply
    127. 1WIN on August 10, 2025 3:10 pm

      https://t.me/s/Webs_1WIN

      Reply
    128. Colt1 on August 12, 2025 1:33 am

      https://shorturl.fm/kX6F0

      Reply
    129. 1win on August 12, 2025 7:45 am

      ะžั„ะธั†ะธะฐะปัŒะฝั‹ะน Telegram ะบะฐะฝะฐะป 1win Casinะพ. ะšะฐะทะธะฝo ะธ ัั‚ะฐะฒะบะธ ะพั‚ 1ะฒะธะฝ. ะคั€ะธัะฟะธะฝั‹, ะฐะบั‚ัƒะฐะปัŒะฝะพะต ะทะตั€ะบะฐะปะพ ะพั„ะธั†ะธะฐะปัŒะฝะพะณะพ ัะฐะนั‚ะฐ 1 win. ะ ะตะณะธัั‚ั€ะธั€ัƒะนัั ะฒ ะฒะฐะฝ ะฒะธะฝ, ัะพะฒะตั€ัˆะธ ะฒั…ะพะด ะฒ ะพะดะธะฝ ะฒะธะฝ, ะฟะพะปัƒั‡ะฐะน ะฑะพะฝัƒั ะธัะฟะพะปัŒะทัƒั ะฟั€ะพะผะพะบะพะด ะธ ะฝะฐั‡ะฝะธั‚ะต ะธะณั€ะฐั‚ัŒ ะฝะฐ ั€ะตะฐะปัŒะฝั‹ะต ะดะตะฝัŒะณะธ.
      https://t.me/s/Official_1win_kanal/4511

      Reply
    130. Bob2766 on August 12, 2025 8:54 pm

      https://shorturl.fm/GGkP5

      Reply
    131. Emma4178 on August 14, 2025 4:49 pm

      https://shorturl.fm/NFgcS

      Reply
    132. Teagan645 on August 16, 2025 12:15 am

      https://shorturl.fm/jVmgh

      Reply
    133. Horace1828 on August 16, 2025 1:31 pm

      https://shorturl.fm/O4pEW

      Reply
    134. ๐Ÿ–ฑ โœ‰๏ธ Incoming Notification: 1.65 Bitcoin from exchange. Accept funds >> https://graph.org/Get-your-BTC-09-04?hs=62b1e792143eb7521bcb5f0e47a1ca9f& ๐Ÿ–ฑ on October 27, 2025 12:33 pm

      aswc3t

      Reply
    135. binance account creation on December 12, 2025 12:05 pm

      Your article helped me a lot, is there any more related content? Thanks! https://accounts.binance.info/tr/register-person?ref=MST5ZREF

      Reply
    136. mitolyn reviews on January 24, 2026 9:29 pm

      **mitolyn reviews**

      Mitolyn is a carefully developed, plant-based formula created to help support metabolic efficiency and encourage healthy, lasting weight management.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    AFCON
    Africa | CAF January 1, 2026

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya michuano ya TotalEnergies CAF AFCON Morocco 2025 imekamilika…

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    In the name of LOVE – 11

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.