Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    ZAINABU ( 01)

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Ratiba Kamili Kundi La Yanga Na Simba Kimataifa
    Africa | CAF

    Ratiba Kamili Kundi La Yanga Na Simba Kimataifa

    MhaririBy MhaririOctober 8, 2024Updated:October 9, 20242,423 Comments2 Mins Read4K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Ratiba ya Simba na Yanga
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Tayari droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na ile ya kombe la shirikisho Afrika imefanyika na zile timu ambazo zimefuzu 16 bora kwa sasa ziko zinajiandaa kuona watatoboa vipi katika makundi na kwenda hatua ya 8 bora kisha robo fainali na nusu fainali kisha ile kubwa kuliko hatua ya fainali lakini kabla ya hayo tutazame ratiba kamili ya michuano hii yote.

    Makundi kwa ligi ya mabingwa Afrika yako hivi 

    Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2024-25

    GROUP A:  TP Mazembe (RDC), Young Africans SC (TAN), Al Hilal (SUD) ,MC Alger (ALG)

    GROUP B:  Mamelodi Sundowns (RSA), Raja CA (MAR), AS FAR (MAR) Maniema Union (RDC)

    GROUP C:  Al Ahly SC (EGY), CR Belouizdad (ALG), Orlando Pirates (RSA) ,Stade D ‘Abidjan (CIV)

    GROUP D:  ES Tunis (TUN), Pyramids FC (EGY) ,GD Segrada Esperanca (ANG), Djoliba AC (MLI)

    KUMBUKA KUWA: 

    Hatua ya makundi itaanza kuchezwa kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 1 mwaka 2025 na itakua kama hivi

    ⁠  ⁠Mechi ya 1: November 26-27, 2024  
    •⁠  ⁠Mechi ya 2: December 6-8, 2024 
    •⁠  ⁠Mechi ya  3: December 13-15, 2024 
    •⁠  ⁠Mechi ya 4: January 3-5, 2025 
    •⁠  ⁠Mechi ya 5: January 10-12, 2025 
    •⁠  ⁠Mechi ya 6: January 17-19, 2025

    Kwa upande wa kombe la shirikisho Afrika nako makundi yako hivi 

    Group A: Simba SC (Tanzania), CS Sfaxien (Tunisia), CS Constantine (Algeria), Bravos do Maquis (Angola)

    Group B: RS Berkane (Morocco), Stade Malien (Mali), Stellenbosch (South Africa), CD Lunda Sul (Angola),

    Group C: USM Alger (Algeria), ASEC Mimosas (Côte d’Ivoire), ASC Jaraaf (Senegal), Orapa United (Botswana)

    Group D: Zamalek SC (Egypt), Al Masry (Egypt), Enyimba FC (Nigeria), Black Bulls (Mozambique),

    Kwa upande wa Kombe la shirikisho nao ni kama tu Ligi ya mabingwa kwani tarehe za michuano hii zitakua sawa

    Hatua ya makundi itaanza kuchezwa kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 1 mwaka 2025 na itakua kama hivi

    ⁠  ⁠Mechi ya 1: November 26-27, 2024  
    •⁠  ⁠Mechi ya 2: December 6-8, 2024 
    •⁠  ⁠Mechi ya  3: December 13-15, 2024 
    •⁠  ⁠Mechi ya 4: January 3-5, 2025 
    •⁠  ⁠Mechi ya 5: January 10-12, 2025 
    •⁠  ⁠Mechi ya 6: January 17-19, 2025

    Tazama Ratiba Kamili Ya Kombe la shirikisho kwa Kugusa Hapa 

    Tazama Ratiba Kamili Ya Ligi Ya Mabingwa Kwa Kugusa Hapa   

    Unapenda Kusoma RIWAYA? Njoo Usome Sasa Kijiweni Kwa Kugusa Hapa 

    Timu Gani Kutoka Tanzania Unaona Ikitoboa Na Kutinga Mtoano? 

     

    Ratiba ya CAF CHAMPIONS LEAGUE
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views
    Ligi Kuu ya NBC

    RATIBA YA LIGI KUU YA NBC MSIMU WA 2025/2026

    August 29, 202513K Views
    Don't Miss
    Hadithi March 23, 2026

    ZAINABU ( 01)

    NAITWA ZAINABU ALIYU! Hii ni Hadithi ya Maisha yangu…..!!  Mimi ni Mtoto wa kwanza kati…

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (08)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.