Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Mchezaji Gani Wa Timu Unayoshabikia Akiondoka Ni Fresh Tu?
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Mchezaji Gani Wa Timu Unayoshabikia Akiondoka Ni Fresh Tu?

    MhaririBy MhaririMay 8, 2024Updated:May 8, 202423 Comments2 Mins Read832 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Mchezaji wa klabu ya Simba Clatous Chama
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Tuko katika kipindi ambacho ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni huku zipo ligi ambazo mabingwa tayari wamekwishajulikana lakini zipo ligi ambazo mabingwa bado hawajajulikana na ndio kipindi ambacho mchezaji au wachezaji hujituma kuhakikisha kuwa wanaipa mafanikio klabu ambayo wanaichezea.

    Hivi sasa tupo ukingoni kabisa mwa ligi lakini pia ndio kipindi ambacho timu zinafikiria namna ya kuboresha vikosi vyao kulekea msimu mpya unaofata katika kuhakikisha kuwa wanatekeleza malengo yao ambayo unaweza kukuta katika msimu husika wameshindwa kuyatekeleza au wameyatekeleza lakini wanataka kuboresha zaidi.

    Hiki ndio kipindi ambacho pia kumekua na tetesi nyingi sana kuhusiana na mchezaji au wachezaji ambao wanakua wamemaliza mikataba yao au inakaribia kuisha lakini pia ndio kipindi ambacho kumekua na tetesi kuhusiana na klabu ambazo zimekua zikiwahitaji wachezaji flani huku kukiwa na taarifa mchezaji huyu anaenda timu gani.

    Swali langu ni dogo sana kwako mwana KIJIWENI kutokana na tetesi ambazo umekua ukizisikia lakini pia kuhusu mchezaji ambae yupo katika timu ambayo wewe unaishabikia unadhani kwenye timu yako mchezaji gani akiondoka kwako fresh tu na wala haina shida na akiondoka katika timu yako akaenda kwenye timu ambayo huikubali yaani huishabikii bado utaendelea kumsapoti mchezaji huyo?

    Lakini pia ukipata nafasi ya kuongea na uongozi wa timu yako utatamani nani asajiliwe?

    Unapenda SIMULIZI? Gusa Hapa Sasa Kusoma KOTI JEUSI   

    mchezaji wa simba usajili mpya azam usajili mpya yanga usajili wa chama yanga

    23 Comments

    1. KIDDY11 on May 8, 2024 12:11 pm

      Kwetu sisi Yanga asiondoke yoyote

      Reply
    2. Shaib Ghalib on May 8, 2024 12:12 pm

      Kibu Denis Akiondoka Ni frexh2 pamoja na Pa Omar Jobe kwani pengo Lao Kwa sasa mm silioni

      Reply
    3. mlekwa sungwa on May 8, 2024 12:13 pm

      Kwa yanga ni metacha
      (Alaf bwana Admin pandisha mzigo wa koti jeusi mate yametutoka hukuu😂😂)

      Reply
    4. Daniel cupa official on May 8, 2024 12:15 pm

      Kama mwana Yanga
      : ~lomalisa
      : ~mwamyeto

      Hao umri usha kataa kwa sasa , ila wengine wabaki maana watacha pengo

      Reply
    5. OMARY on May 8, 2024 12:18 pm

      Achana na habari za wachezaji bhana sisi inatuuma alivyoondoka agent daudi mbaga bhana fanya kweli admin

      Reply
    6. Nsajigwa on May 8, 2024 12:18 pm

      Wachezaji kinda kama nkane wapelekwe Kwa mkopo timu nyingine ili wapate nafas ya kuonesha kiwango chao admin

      Reply
    7. Singo on May 8, 2024 12:23 pm

      Azizi k

      Reply
    8. John Caesar on May 8, 2024 12:26 pm

      Aondoke kibu D
      Maaana sshv gari la Balua limekolea

      Reply
    9. Imma MK on May 8, 2024 12:27 pm

      Kapteni Mwamuzi,Lomalisa,Makudubela,Metacha hao ata wakiondoka hamna noma😃

      Reply
    10. Joker on May 8, 2024 12:28 pm

      Kwa yanga aondoke metacha na lomalsa lakn wasajili kiuongo mkabaji,full back wa kushoto n mshambuliaji mmoja

      Reply
    11. Imma MK on May 8, 2024 12:28 pm

      Kapteni Mwamu, Lomalisa Makudubela Metacha hao ata wakiondoka hamna noma 😃

      Reply
    12. Ngosha mc on May 8, 2024 12:28 pm

      Kwe2 sisi yanga, ni lomalisa, ni shega2

      Reply
    13. Masalu jr on May 8, 2024 12:30 pm

      Mm kama shabiki wa yanga mwamnyeto na metacha sioni sababu yao kubaki kwenye timu kwan hawana pengo kwenye timu

      Reply
    14. Joel jr on May 8, 2024 12:31 pm

      Mimi naon kwa pale simba aondoke tuuu Pa Omar Jobe maan hana msaada na timu kwa sasa

      Reply
    15. Ashraf on May 8, 2024 12:52 pm

      Achana na mpira aseeee tuletee koti jeusi 🙂

      Reply
    16. Master on May 8, 2024 1:02 pm

      Kwa yanga mm naona aondoke pacome na 😋 na kwa simba naona aondoke clatous chama😁 …fresh tu mwanetuu

      Reply
    17. Alex on May 8, 2024 1:07 pm

      Watoke wote ibak riwaya ya koti jeus. Hapo vip admin!!!

      Reply
    18. Prince on May 8, 2024 1:09 pm

      Aondoke tuh yeyote Roho hainium.
      7bu hamna wanachokfanya saiv

      Reply
    19. Hustler on May 8, 2024 1:25 pm

      Achana habar ya mpira kaka…maan ulituahidi utaachilia koti jeus asubuh ila bado hujaituma

      Reply
    20. Suleiman on May 8, 2024 1:34 pm

      Skud

      Reply
    21. Suleiman on May 8, 2024 1:34 pm

      Skudu naende tu

      Reply
    22. OMARY on May 8, 2024 1:43 pm

      Admin naomba unicheck nina jambo muhimu ka kukueleza tafadhali 0626 152 175 nicheck ndugu

      Reply
    23. Sencha bacsem on May 8, 2024 2:28 pm

      Leta koti jeusi Hawa tutawadiscus ikiisha mechi ya yanga

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.