Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?
    Chuo cha Kubeti

    Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?

    MhaririBy MhaririFebruary 13, 20249 Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wapo watu wengi sana ambao wamekua wakikutana na option hii wakati wanasuka mikeka yao ya kila siku na wameshindwa kufahamu ikoje na unachezaje ili uweze kushinda kwenye mkeka. Usiwaze sana kwani sisi tumekuandalia ufahamu nini maana ya “match result and both teams to score” ili uweze kuitumia katika mikeka yako.

    Ukizungumzia Match Result kwanza kabisa maana yake ni kwamba una bashiri matokeo ya moja kwa moja ya mchezo husika ambapo ni Ushindi au Sare na hii ni kwamba kama kwenye betslip unakuta kuna timu ya nyumbani au ugenini na sare. Mfano : Mchezo kati ya Simba dhidi ya Azam Fc ukisema matokeo maana yake ni Simba ashinde au Azam ashinde au kupatikane sare katika mchezo husika.

    GG ambavyo ni kifupi lakini kubwa yake ni kuwa timu zifungane sasa katika soko hili la “match result and both teams to score” maana yake ni kuwa unabashiri timu ipate ushindi au kutokee sare na zifungane katika mchezo huo.

    Zipo ambazo baadhi ya kampuni hutumia kwa jina la Full-Time results na zipo ambazo hutumia jina la match result ila namna yake ya ubashiri inakua ni ile ile tu.

    Kwa upande wa GG ni muhimu kufahamu kuwa unaweza kukubali au kukataa kwani huwa ni kama swali tu kwamba GG ukasema YES, au kwamba GG ukasema No.

    Mfano mzuri ni huu hapa:

    Maana yake ni kuwa hapa unachagua katika mchezo huu kati ya Liverpool na Real Madrid kuwe na matokeo halisi ya mechi lakini pia timu zifungane isipotokea hivyo basi ujue kuwa mkeka wako umechanika.

    Ukitazama jinsi palivyo hapo ni kwamba unaweza kuchagua option hizo ambazo zinakua kwa upande wa soko hili la matokeo na kufungana hivyo maamuzi ni yako tu kuusuka vyema mkeka wako kwa jinsi ambavyo unadhani itakua vyema na kukupa ushindi.

    SOMA ZAIDI: Nini maana ya 1 | x | 2 katika betting? 

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

     

    betting

    9 Comments

    1. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano Wenye Odds 300 Timu 12 - Kijiweni

    2. Pingback: Hii Hapa Mbinu Rahisi Ya Kucheza AVIATOR Na Kushinda Pesa - Kijiweni

    3. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumamosi Timu Nyingi Odds Nyingi - Kijiweni

    4. Pingback: Nini Maana ya “GG in Both Halves” Katika Betting? - Kijiweni

    5. Pingback: Mkeka wa Leo Jumapili Funga Wikiendi Kibingwa - Kijiweni

    6. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatatu Anza Wiki Na Ubingwa - Kijiweni

    7. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumamosi 16/03/2024 - Kijiweni

    8. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumamosi 20/04/2024 Wikiendi Ya Pesa - Kijiweni

    9. Konde Boy on November 23, 2024 9:26 am

      Mkeka waleo tare 23/11

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.