Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Usijichanganye Brentford vs Man City Beti Hivi
    Chuo cha Kubeti

    Usijichanganye Brentford vs Man City Beti Hivi

    MhaririBy MhaririFebruary 5, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Brentford vs Man City
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wakati wengine wakiendelea kuupitia mkeka wa leo kutoka Kijiweni ni wazi kwamba wapo ambao hubashiri kwa kiasi kikubwa katika zile mechi moja moja na miongoni mwa mechi hizo ni kama hii ya Brentford dhidi ya Man City mchezo wa ligi kuu ya Uingereza utakaopigwa katika dimba la Gtech Community.

    TAKWIMU

    Katika michezo yao 7 ya mwisho ya ligi kuu ya Uingereza kabla ya kukutana na Man City hii leo, klabu ya Brentford wamepoteza michezo 6 huku wakishikilia nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza. Alama 3 pekee zinazowatofautisha na wanaotaka kushuka daraja.

    Man City wao katika michezo yao 8 ya mashindano yote wameshinda michezo yote hivyo kuwa tishio sana kwa Brentford japokua wako nyumbani.

    • Brentford wanataka kuweka rekodi ya kuifunga Man City mara 3 mfululizo
    • Pep Guardiola hajawahi kupoteza mechi 3 mfululizo kiushindani hapo kabla ya kukutana na Brentford ambao wameshinda michezo 2.
    • Man City katika michezo 2 kati ya 4 na timu za ligi kuu ya Uingereza kutoka London ameruhusu bao.
    • Brentford hawajawahi kupata sare katika michezo yao 8 ya mwisho katika uwanja wao wa Gtech ambapo wameshinda 4 na kufungwa michezo 4
    • City ameshinda michezo yake 3 ya mwisho ya ugenini ligi kuu ya Uingereza.

     

    TUNABETIJE?

    Wakati Brentford wao wakitaka kusaka rekodi mbele ya City na kujiweka sawa katika msimamo wa ligi upande wa pili nao wako tayari kuhakikisha kuwa nao wanashinda ili kukaa sawa katika msimamo wa ligi mbele ya Arsenal na vinara Liverpool.

    1. Man City anashinda
    2. Magoli zaidi ya 2 yaani Total Goals Over 2.5
    3. Kutakua na kufungana yaani Both Team to score – YES

     

    SOMA ZAIDI: Nini maana ya Anytime Goalscorer katika betting?

    Brentford vs Manchester City
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.