Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Unajua Kwanini SIMBA Ni Muhimu Kushinda Hii Leo?
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Unajua Kwanini SIMBA Ni Muhimu Kushinda Hii Leo?

    MhaririBy MhaririFebruary 3, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Wachezaji wa klabu ya Simba
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wakiwa na kumbukumbu nao ya kuwatoa katika kombe la FA hii leo klabu ya Simba wako ugenini kukabiliana na Mashujaa katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma moja kati ya mechi kubwa kwa hii leo kutokana na umuhimu wa mchezo huu kwa timu zote mbili.

    Ugumu wa mchezo wa leo kati Mashujaa dhidi ya Simba utakuwa kwenye maeneo mawili ambapo moja ni nafasi ya 15 aliyopo Mashujaa sio nzuri sana hivyo atahitaji kujinasua huko kwa kupata matokeo Chanya na kubwa zaidi ukizingatia yupo kwenye dimba lake la Lake Tanganyika ongeza na maingizo mapya kwenye kikosi chao hii itaongeza morali ya wachezaji kupambana zaidi kupata matokeo.

    Lakin wanaenda kucheza dhidi ya Simba ambao pia wamekuwa hawana muendelezo mzuri wa kiwango na matokeo ya hivi karibuni ila kutokana na matokeo ya jana ya Mtani wao Yanga itaenda kuongeza hali ya kupambana zaidi kuweza kushinda ili kumsogelea lakini pia kurejea kwa wachezaji wao muhimu ambao walikua majeraha na wale ambao walikua katika michuano ya mataifa barani Afrika haswa Clatous Chama.

    Yanga amecheza michezo 12 alama 31 huku Simba ataenda kucheza mchezo wa 11 akishinda atafikisha alama 26 na mchezo mkononi hapo unaona ni mechi ya lazima kwa klabu ya Simba kushinda hii leo kwani ataingia kama timu ya kwanza kwenye mchezo huu kutokana na ubora wa kikosi chake dhidi ya Mashujaa, hivyo Mashujaa ili wafanikiwe kupata alama kwanza kuwaheshimu Simba alaf kufanya mambo ya Msingi uwanjani.

    Januari 31 Simba ilicheza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Tembo katika mchezo wa  Azam Sports Federation uliochezwa Uwanja wa Azam Complex huku februari Mosi Kikosi kilitua mkoani Kigoma kwa ajili ya kukabiliana na Mashujaa FC kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa  Februari 3, 2024 Uwanja wa Lake Tanganyika.

    SOMA ZAIDI: Chama amedhihirisha kuwa viongozi wa simba ni wababaifu

    mashujaa vs simba mashujaafc simba sc tanzania
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.