Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Tuijadili KOTI JEUSI Hapa Wana KIJIWENI
    Hadithi

    Tuijadili KOTI JEUSI Hapa Wana KIJIWENI

    MhaririBy MhaririMay 11, 2024Updated:May 11, 202417 Comments2 Mins Read990 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Riwaya Ya Koti Jeusi
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mambo vipi wana Kijiweni? Nimefurahi sana kuwa na nyie kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya 15 ya Riwaya ya KOTI JEUSI na najua kuwa wengi wameifurahia na kuipenda pia. Wakati tunasubiria kwa hamu riwaya mpya itakayoanza hivi karibuni leo tuijadili KOTI JEUSI

    Jambo gani ambalo umelifurahia kwenye riwaya hii lakini pia somo gani kama mwana KIJIWENI umelipata?

    La mwisho la kuongezea unatamani Riwaya inayokuja iwe katika muundo gani na iwe inatoka kwa muda gani? ( yaani muda gani unaona ni mzuri ikitumwa hapa Kijiweni uisome?)

     

    FURSA: Wewe Ni Mwandishi? Unapenda kuendeleza Taaluma yako ya uchambuzi kwenye masuala ya michezo? Mtandao wa uchambuzi wa michezo kijiweni.co.tz unakupa uwanja wa kuendeleza kipaji chako na kufikia maelfu ya wapenzi wa michezo Tanzania na nje ya Tanzania.

    Tutumie makala au uchambuzi wa michezo katika barua pepe hii [email protected]  

    Kama Hukusoma KOTI JEUSI Sehemu ya Kwanza Mpaka Ya Kumi Na Tano Hizi Hapa Chini 

    KOTI JEUSI (Sehemu Ya Kwanza) KOTI JEUSI – 01

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Pili) KOTI JEUSI – 02

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Tatu) KOTI JEUSI – 03 

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Nne) KOTI JEUSI – 04 

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Tano) KOTI JEUSI -05

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Sita) KOTI JEUSI -06 

    KOTI JEUSI (Sehemu Ya Saba) KOTI JEUSI – 07

    KOTI JEUSI (Sehemu Ya Nane) KOTI JEUSI -08 

    KOTI JEUSI (Sehemu Ya Tisa) KOTI JEUSI -09 

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi) KOTI JEUSI -10 

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Moja) KOTI JEUSI -11

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Mbili) KOTI JEUSI -12

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Tatu) KOTI JEUSI -13

    KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Nne) KOTI JEUSI -14

    KOTI JEUSI (Sehemu Ya Kumi Na Tano) KOTI JEUSI – 15

     

    KOTI JEUSI Koti Jeusi Kijiweni riwaya ya koti jeusi

    17 Comments

    1. Iddy jr on May 11, 2024 9:39 am

      Leo kama imeshaandaliwa..

      Reply
    2. Mhe.Laizer on May 11, 2024 9:48 am

      Riwaya ya koti Jessica inafundisha sana
      Adui hatoki mbali

      Reply
      • Candy on May 11, 2024 10:33 am

        Nadhani hii inachukua muda sana mpaka tunasahau kama inawezekana iwekwe kila siku asubuhi moja na saa tatu usiku moja ili iishe tuanze nyingine lakini pia msomaji anapata mwendelezo mzuri. Binafsi nimeipenda sana ila inakatisha tamaa kwa kukosa muda maalumu weka asubuhi na jioni itakuwa poa sana kama itawapendeza

        Reply
        • Rajity on May 11, 2024 2:38 pm

          Kabsaa

          Reply
    3. misha on May 11, 2024 9:53 am

      leoo jmn

      Reply
      • Msambaa on May 11, 2024 11:30 am

        Hiyo mpya ilete kuanzia j3
        Maana bado narudia episode ya 11 mpaka 15
        Inanipa hamu ya kuendelea kuisoma

        Reply
    4. Witness Amos on May 11, 2024 9:57 am

      Kutokuamini kila mtu na hiyo mpya tunaitaka leo

      Reply
    5. Ediger on May 11, 2024 10:44 am

      Uzi wa maana kinoma mzee, sema unajua sana

      Reply
    6. Ediger on May 11, 2024 10:45 am

      Hyo mpya fanya kweli leo mzee wangu

      Reply
      • Rajity on May 11, 2024 5:33 pm

        Kwaiy leo ndo hamna koti jeusi jmn mbn Ivo asee nipo kuchungulia uku kila dkk jmn

        Reply
    7. Djkelly255.. on May 11, 2024 11:02 am

      Koti jeusi ni story kali sana.. nadhani ingewekw kwa mfumo w video (movies) ingeenda powa san ukizingatia ubora wa upangaji wa script na wahusika wanao weza kuvaa uhalisia wa picha husika na mazingira pia, itakua revolution kubwa sana kwa bongo movies..

      Reply
    8. Msambaa on May 11, 2024 11:25 am

      Djkelly255..
      Niungane na wewe kuanzia miguu mpaka nywele
      Natamani ingekaa mfumo wa video ingekuwa unyama sana maana dah

      But yote kwa yote mwandishi unajua kuyapangilia matukio yaani hata kipofu angeisoma na kuielewa2 hahahahaaaaa!!!
      Jokes

      Reply
    9. Msambaa on May 11, 2024 11:27 am

      Niongezee kakitu kidogo

      Hivi Adela naweza pata namba ake kaka admin??
      Maana bila shaka ataweza kunitoa huku niliko hhhhhs;;;;””!!!

      Reply
    10. Joram on May 11, 2024 11:51 am

      Story ya kotu jeusi imekuwa ya kuvutia sana kiasi kwamba hata kama ulkuwa bored bhas inakupa furaha na cku inakuwa bora kabsa naomba utupatie nyingne

      Reply
    11. Godlove4 on May 11, 2024 1:15 pm

      Ukisha kuwa familia ya kijiweni wewe ni mpiga chapo

      Reply
    12. Neema on May 11, 2024 2:17 pm

      Riwaya nzuri sana jamaan

      Reply
    13. Frank mduma on May 11, 2024 3:33 pm

      Ya leo saa ngap?

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.