Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: soma riwaya bure
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nane “Nakufahamu Zahoro, wewe ndiye jibu la Laana hii. Uliiona kabla haijaingia pia utaiona ikiondoka, huwezi kunielewa kwasasa lakini nitakueleza…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya sita Ghafla, akajikuta ameshika kisu, mikono yake ikiwa imelowa damu. Aliangalia chini— Upendo alikuwa amelala mbele yake, kifua chake kikiwa…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tano Waziri akajitupa kitini huku akifumba macho yake, hakujua atamweleza vipi Rais wa Ganza, utajiri uliopotea kwenye Kijiji cha Nzena…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya pili Alipiga magoti na kujiinamia huku chozi likimtoka Zahoro, yeye na Baba yake pekee ndiyo ambao walikua wa kwanza kutambua…
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba kingine ikisema “Safi” wakimaanisha kuwa vyumba vyao vipo salama hapo ndipo …
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya saba “Naomba niongee na Shayo haraka” Alisema Rais, mara moja Waziri Mkuu alipiga simu kwa mkuu wa kitengo cha Usalama…
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya sita “Kama lilivyo tamu penzi lako, basi nahitaji uniambie wapi ilipo chemba ya siri iliyohifadhi pesa za Kimarekani” Alisema Chogo…
Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nne “Na siku zote Muuwaji hawezi kuishi, ndiyo maana nilikutoa gerezani ili uje kuitafuta haki iliyoporwa na Faudhia” Alikazia Mzee…
Ilipoishia Sehemu Ya Pili “Kazi imeisha!” Alisema Diana kwa njia ya simu “Waoo Good Girl ( Vizuri Msichana mzuri ) ” ilisikika sauti nzito ya kizee …
Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Nane “Mama! Mama! Umenizaa wewe mwenyewe kweli? Unyama gani huu unanifanyia Veronica wako? Ulinizaa peke yangu na huna binti …