Browsing: riwaya

Ilipoishia sehemu ya Kumi ya In the name of LOVE Nilimvuta na kumkumbatia huku nikikisikia kilio chake kwa karibu zaidi.  Nililengwa na Mchozi lakini sikutaka utoke,…

Ilipoishia sehemu ya nane ya In the name of LOVE Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kama  alikua amefika kwa Baba yake.…

Ilipoishia sehemu ya saba ya In the name of LOVE “Nampeleka Mtoto Arusha, kesho nitarudi. Ubaki salama” alisema Kisha  aligeuka na kuondoka hapo huku Melisa akigeuka…

Ilipoishia sehemu ya sita ya In the name of LOVE Mara mlango uligongwa, Zaylisa aliinuka Kisha alinitazama. Sote tulijiuliza  ni Nani aliyekua anaugonga mlango, Mimi nilinyanyuka…

Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE Basi, niliendesha gari kwa mwendo wa kawaida sana maana mvua ilikua  ikinyesha tena haikua mvua ndogo…

Ilipoishia sehemu ya kwanza ya In the name of LOVE “Ndiyo, nilikua napita tu.”  “Kuna harusi”  “Harusi?”  “Ndiyo, vipi umeshtuka Mzee?”  “Nani anaolewa?”  “Mtoto wa Mwenye…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 07 “Unajua nini wewe?” Wakati huo Damu nyingi zilikua zikimtoka Mfalme Selasi,  akamwambia Anna  “Unaenda kutafuta Pete ya Baba Yako, Mimi…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 05 Lakini walijua wazi… safari ya kuelekea Patiosa haikuwa tena ya kutafuta msaada.  Ilikuwa safari ya maisha au kifo. Kutupwa kwa…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 04 “Nina amini, Mji wa Patiosa una majibu ya maswali mengi. Siri nyingi  zitafunguka” alisema akimtazama Anna ambaye alianza kuonesha Mashaka…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 03 “Kumwambia Ukweli Zahoro kua Adui Kimya ni wewe, kilicho mbele ni kumpata  Binti yetu Moana Kisha kutafuta njia ya kuelekea…