Browsing: riwaya za mapenzi

Ilipoishia sehemu ya Kumi na moja ya In the name of LOVE Moyo Wangu na akili yangu vilikua tayari kusikia chochote kile hata kama  kitaniumiza kiasi…

Ilipoishia sehemu ya tisa ya In the name of LOVE “Kumbe haikua inshu kubwa sana Mpenzi, Presha ilipanda kidogo. Ah!  Mama yangu naye akalikuza sana” alisema…

Ilipoishia sehemu ya nane ya In the name of LOVE Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kama  alikua amefika kwa Baba yake.…

Ilipoishia sehemu ya sita ya In the name of LOVE Mara mlango uligongwa, Zaylisa aliinuka Kisha alinitazama. Sote tulijiuliza  ni Nani aliyekua anaugonga mlango, Mimi nilinyanyuka…

Ilipoishia sehemu ya tano ya In the name of LOVE Upepo ulikua ukisukuma nywele zake, nilipata shahuku ya kutaka kuongea  naye. Nilielekea mlangoni nikafungua mlango taratibu,…

Ilipoishia sehemu ya nne ya In the name of LOVE “Basi hakuna shida Zaylisa, mnaweza kuishi wote ikiwa jambo lako la  talaka litakamilika” maneno ya Clara…

Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE Basi, niliendesha gari kwa mwendo wa kawaida sana maana mvua ilikua  ikinyesha tena haikua mvua ndogo…

Ilipoishia sehemu ya pili ya In the name of LOVE “Sikumbuki chochote Clara, natamani nikumbuke ili nijuwe tunapoelekea”  “Hofu ondoa, Kila kitu kinahitaji muda kukifahamu. Jipe…

Ilipoishia sehemu ya kwanza ya In the name of LOVE “Ndiyo, nilikua napita tu.”  “Kuna harusi”  “Harusi?”  “Ndiyo, vipi umeshtuka Mzee?”  “Nani anaolewa?”  “Mtoto wa Mwenye…

“Jacob, nataka kuujua Msimamo wako kwangu. Utaniowa lini?” Aliuliza  Zaylisa, Nilishusha pumzi zangu. Nikageuka huku na kule kama Kuna Mtu alikua anatusikiliza pale Mgahawani. Nilikua nimevalia…