Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi, hofu ilikua imenitawala vya kutosha. “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…
Tunaanza simulizi yetu ya Nyumba Juu Ya KABURI kwa namna hii Ilikua ni ndoto ya Baba yangu, siku moja akistaafu angenunua nyumba nzuri ya kuishi, wazo…