Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: riwaya ya koti jeusi
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi, hofu ilikua imenitawala vya kutosha. “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…
Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…
Mambo vipi wana Kijiweni? Nimefurahi sana kuwa na nyie kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya 15 ya Riwaya ya KOTI JEUSI na najua kuwa wengi…
Ilipoishia “Muda siyo mrefu nitamnasa Muuwaji, mtakua huru lakini msirudie kuficha mambo mazito kama haya” akawapa tumaini na kuwaacha hapo Mahabusu wakiwa wanafuraha wakijua muda siyo…
Ilipoishia ” “Muda siyo mrefu nitamnasa Muuwaji, mtakua huru lakini msirudie kuficha mambo mazito kama haya” akawapa tumaini na kuwaacha hapo Mahabusu wakiwa wanafuraha wakijua muda…
Ilipoishia “Akamzaa Adela, akafanya siri kubwa sana mbele ya Baba yake kuhusu Baba wa Mtoto huyo, akamwambia Baba yake kuwa Baba yake Adela yupo nje ya…
Ilipoishia “Najua kila Mtu atanipa jina analoona linanifaa lakini hakuna kati yenu ambaye angeliweza kustahimili nitakacho waeleza. Atakaye niita Muuwaji ni sawa kwasababu nastahili kuitwa hivyo”…
Ilipoishia “ “Geuka taratibu mikono ikiwa juu” akapaza sauti Marcus huku akiamini moja kwa moja kua huyo Mtu si Mzuri ndiyo maana alikua akipekua kwenye Majokofu…
Ilipoishia ” Dakika saba pekee zilitosha kwa Marcus kupata mahali pa kuanza Uchunguzi wake, walitolewa vijana hao wakiwa wamevimba sehemu mbalimbali za Miili yao.” Tuendelee Sasa …
Ilipoishia ” Mkuu wake akakaa kimya kwa sekunde zisizodi thelathini kisha akalikubali ombi la Marcus, Sasa Kesi inaanza Upya ” Tuendelee SEHEMU YA 09 Ulikua Usiku…