Hadithi June 5, 2024Goryanah Sehemu Ya Kwanza (01) Utangulizi: Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote!…