Browsing: Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya saba  “Naomba niongee na Shayo haraka” Alisema Rais, mara moja  Waziri Mkuu alipiga simu kwa mkuu wa kitengo cha Usalama…

Mzee Shayo alikuwa ameketi katika kiti chake huku akitingisha  mguu wake ambao ulikuwa ndani ya kiatu cheusi chenye kung’aa  sana. Mbele yake kulikuwa na picha halisi…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia “Nisamehe kwa yote yaliyotokea! Lakini hakutaharibika kitu! Najua unagopa Bibi atakutafuta! Ila nimewaambia umeenda chuoni utarudi jioni! Na leo utashinda chumbani kwangu halafu jioni nitakutoa…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Mama alisogea pale Kisha alimkumbatia kwa furaha.    “” Leo ni sherehe yenu! Tumewaandalia part kubwa ya kufurahia afya zenu! Ingia chumbani kwako ujiandae kila…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Watu wote walipiga kelele huku wakifunga macho! Wasiamini tukio linaloenda kutokea! Ilisikika sauti ya break lakini kwa pembeni kuliruka damu Hadi kwenye gari! Kisha…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Muda huo Mama Rich alifika pale alitaka kumkumbatia Gorii amuage, lakini Gorii alimgeuzia mgongo hii ikamuumiza Sana! Alijua tayari chuki aliyoisababisha mwanae Sasa imehamia…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Jolvin alimwangalia, mtu anaeshukuru na anaeomba msamaha kampea mgongo! ” Gorii mtoto mwenye heshima, anae nidhamu, anaheshimu watu wadogo kwa wakubwa! Hii kuongea amekupea…

Riwaya ya Goryanah

Iipoishia ” Alifungua mlango Kisha akarudi kitandani, alimsikia Jolvin akimwelezea Doctor.    “” Ni tumbo la ghafra tu! Limemkamata ameteseka kweli! Nimemkuta kitandani akiweweseka kwa maumivu! Fanya…

Riwaya ya Goryanah

Ilipoishia ” Gorii hakuelewa baada ya kuona watu hawana furaha, aliwaona hata watoto wakiume wakipikicha macho yao! Ishara kunae huzuni inayowatoa machozi na yeye alianza kulia,…