Browsing: Riwaya Nyumba Ya Majini Kijiweni

Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nne “Na siku zote Muuwaji hawezi kuishi, ndiyo maana nilikutoa  gerezani ili uje kuitafuta haki iliyoporwa na Faudhia”  Alikazia Mzee…

Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati  ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi,  hofu ilikua imenitawala vya kutosha.  “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Waliomba sana, kuna wakati mimi nilihisi kuchoka lakini wao waliendelea tu hadi moyoni nikasema kweli ni watu wa Mungu. Ghafla nilianza kuona moshi mweusi ukitoka…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia ” Nilimsimulia kila kitu cha siku ile tu lakini, sikugusia mambo ya nyuma. “Du! Kwa hiyo mimi nikusaidieje?” “Naomba tuingie wote ndani, nataka nikachukue simu…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Nilihamaki kwa kusema ha! Nani amechukua bangi yangu? Sikujibiwa na mtu, ukimya ulitawala huku akili ikiniambia wale wapangaji wenzangu watakuwa wanahusika moja kwa moja. Baada…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Tulikwenda kusimama pembeni ya nyumba akaanza kuniambia: “Sikiliza, kama unaishi nyumba ya namna hiyo, unachotakiwa kufanya, kila siku asubuhi na jioni au usiku unapuliza bangi…

Nyumba Moja Na Majini

Ilipoishia “Kazini siku hiyo nilishinda sina amani, sina raha, mwili ulikuwa kama umetoka kufanya kazi nzito ambayo sijawahi kuifanya kwa siku nyingi, wenyeji wa Pwani wanaita…