Hadithi July 15, 2025Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-04 Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tatu Mke alipoisoma ile karatasi aligeuza macho kumtazama Mume wake kisha kwa mshangao akamwambia “Mume wangu unatokwa na Damu puani”…