Hadithi July 11, 2025Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-01 Utangulizi “Fungua” Wadudu wa Usiku walikua wanalia, sauti kavu iliyojaa ubabe ilisikika ikisema huku ikiambatana na kishindo kizito cha Kugonga Mlango. “Mnataka nini?” Sauti iliyotoka ndani…