Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-09

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-08

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-07

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Skudu Afunga Bao Hatari Yanga Ikimpiga Mtibwa
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Skudu Afunga Bao Hatari Yanga Ikimpiga Mtibwa

    MhaririBy MhaririDecember 17, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Mchezaji wa Yanga Sureboy
    Kiungo wa klabu ya Yanga akichezea mpira katika mchezo dhidi ya Mtibwa
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliowakutanisha mabingwa watetezi Yanga SC, umemalizika kwa Yanga kuendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

    Katika mchezo huo mabao ya klabu ya Yanga yamefungwa na kiungo Stephane Aziz Ki akifunga mawili, la kwanza kwa penalti dakika ya 45 na la pili dakika ya 65, mengine mshambulaji Mzambia Kennedy Musonda dakika ya 76 na winga Muafrika Kusini, Mahlatsi ‘Skudu’ Makudubela dakika ya 83.Bao pekee la Mtibwa Sugar limefungwa na Seif Abdallah Karihe dakika ya 90.

    Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi 27 katika mchezo wa 10, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na Azam FC ambayo pia imecheza mechi mbili zaidi huku hali ikizidi kuwa mbaya kwa Mtibwa Sugar  baada ya kichapo cha leo, kwani wanaendelea kushika mkia wakiwa na pointi tano kufuatia kushuka dimbani mara 13.

    Endelea kusoma zaidi habari zetu kwa kugusa hapa.

    yanga
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi July 23, 2025

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-09

    Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nane “Nakufahamu Zahoro, wewe ndiye jibu la Laana hii.…

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-08

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-07

    Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa)-06

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.