Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Simba Na Yanga Mmejifunza Nini Ligi Ya Mabingwa?
    Africa | CAF

    Simba Na Yanga Mmejifunza Nini Ligi Ya Mabingwa?

    MhaririBy MhaririApril 6, 2024Updated:April 7, 20244 Comments2 Mins Read4K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Ratiba kamili ya mechi za Ligi ya mabingwa Afrika
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Timu zetu zote (Yanga na Simba) zimetolewa zote kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League), klabu ya Yanga imetolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini kwa jumla ya penati 3-2 baada ya matokeo ya jumla kuwa 0-0, huku klabu ya Simba imetolewa na Al Alhy ya Misri kwa jumla ya magoli 3-0.

    Sio mbaya hatuna budi ya kuzipongeza sana vilabu vyetu kwa kazi kubwa waliyoifanya mimi  naamini tumekaribia kwenye neema kwa vikosi hivi na mabechi ya ufundi yalivyo nusu fainali au fainali tutaifikia hivi karibuni vilabu vyetu vinatakiwa kusajili wachezaji wa maana tu kwa ajili ya msimu ujao.

    Ukiangalia michezo ya jana kidogo tu Yanga ifuzu nusu fainali kama sio yaliyotokea jana walipambana mpaka tone la mwisho pamoja na hayo mpira wetu umekua sana timu kama Mamelodi imefuzu kwa msaada wa VAR tena dhidi ya Yanga ya Tanzania watanzania wote tunatakiwa kujivunia sana kuwa na Yanga.

    Simba nao walipambana sana wamefungwa Ila ukiangalia mchezo walicheza vizuri mno kimbinu kilichobaki ni kufunga tu lakini mchezo walitawala sana kwa dakika zote matokeo ya kufungwa 1-0 nyumbani ndio yaliwahukumu Simba kimbinu na kila kitu ndio maana Al Alhy walicheza kufuzu tu mengine hawakutaka.

    Kama nchi tumebaki na pointi zetu 71 kwenye Association ranking nafasi ya 6 sio mbaya tupo mahali pazuri, Simba inaendelea kubaki nafasi ya 5 kwenye Club ranking ikiwa na pointi 39 na inaweza kushuka kwa nafasi moja iwapo Petro Luanda ikifuzu nusu fainali, Yanga imebaki nafasi ya 12 kwenye club ranking na pointi 31 inaweza kushuka kwa nafasi moja au mbili iwapo Asec na USM Alger zikifuzu nusu fainali.

    SOMA ZAIDI: Simba Ikishindwa Kufuzu Nusu Fainali Uongozi Uwajibike?

    al ahly vs simba VAR Mamelodi vs Yanga yanga vs mamelodi sundowns

    4 Comments

    1. Tony tz on April 6, 2024 5:02 pm

      Sisi wananchi tumejifunza CAF bila Hela ni sawa mbuzi kula mkeka….😂😂😂

      Reply
    2. Chacha_Makuru on May 6, 2024 8:09 pm

      Kama walitamani vilab vyetu viende mbali kwanini walizipanga na timu kama al ahly vs mamelodi

      Reply
    3. Pingback: Al Ahly Na Maajabu Ya Jezi Namba 72 Kabla Ya Mechi

    4. Rau B on January 1, 2025 12:03 pm

      Jukwaa na connection Za michezo

      Ingia ⤵

      https://whatsapp.com/channel/0029VanxLVYJ93wbHawAAh3H/819

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.