Tayari droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na ile ya kombe la shirikisho Afrika imefanyika na zile timu ambazo zimefuzu 16 bora kwa sasa ziko zinajiandaa kuona watatoboa vipi katika makundi na kwenda hatua ya 8 bora kisha robo fainali na nusu fainali kisha ile kubwa kuliko hatua ya fainali lakini kabla ya hayo tutazame ratiba kamili ya michuano hii yote.
Makundi kwa ligi ya mabingwa Afrika yako hiviย
GROUP A:ย TP Mazembe (RDC), Young Africans SC (TAN), Al Hilal (SUD) ,MC Alger (ALG)
GROUP B:ย Mamelodi Sundowns (RSA), Raja CA (MAR), AS FAR (MAR) Maniema Union (RDC)
GROUP C:ย Al Ahly SC (EGY), CR Belouizdad (ALG), Orlando Pirates (RSA) ,Stade D โAbidjan (CIV)
GROUP D:ย ES Tunis (TUN), Pyramids FC (EGY) ,GD Segrada Esperanca (ANG), Djoliba AC (MLI)
KUMBUKA KUWA:ย
Hatua ya makundi itaanza kuchezwa kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 1 mwaka 2025 na itakua kama hivi
โ ย โ Mechi ya 1: November 26-27, 2024 ย
โขโ ย โ Mechi ya 2: December 6-8, 2024ย
โขโ ย โ Mechi yaย 3: December 13-15, 2024ย
โขโ ย โ Mechi ya 4: January 3-5, 2025ย
โขโ ย โ Mechi ya 5: January 10-12, 2025ย
โขโ ย โ Mechi ya 6: January 17-19, 2025
Kwa upande wa kombe la shirikisho Afrika nako makundi yako hiviย
Group A:ย Simba SC (Tanzania), CS Sfaxien (Tunisia), CS Constantine (Algeria), Bravos do Maquis (Angola)
Group B:ย RS Berkane (Morocco), Stade Malien (Mali), Stellenbosch (South Africa), CD Lunda Sul (Angola),
Group C:ย USM Alger (Algeria), ASEC Mimosas (Cรดte dโIvoire), ASC Jaraaf (Senegal), Orapa United (Botswana)
Group D: Zamalek SC (Egypt), Al Masry (Egypt), Enyimba FC (Nigeria), Black Bulls (Mozambique),
Kwa upande wa Kombe la shirikisho nao ni kama tu Ligi ya mabingwa kwani tarehe za michuano hii zitakua sawa
Hatua ya makundi itaanza kuchezwa kuanzia mwezi wa 11 mpaka mwezi wa 1 mwaka 2025 na itakua kama hivi
โ ย โ Mechi ya 1: November 26-27, 2024 ย
โขโ ย โ Mechi ya 2: December 6-8, 2024ย
โขโ ย โ Mechi yaย 3: December 13-15, 2024ย
โขโ ย โ Mechi ya 4: January 3-5, 2025ย
โขโ ย โ Mechi ya 5: January 10-12, 2025ย
โขโ ย โ Mechi ya 6: January 17-19, 2025
Tazama Ratiba Kamili Ya Kombe la shirikisho kwa Kugusa Hapaย
Tazama Ratiba Kamili Ya Ligi Ya Mabingwa Kwa Kugusa Hapaย ย ย
Unapenda Kusoma RIWAYA? Njoo Usome Sasa Kijiweni Kwa Kugusa Hapaย
Timu Gani Kutoka Tanzania Unaona Ikitoboa Na Kutinga Mtoano?ย
47 Comments
Yanga
Zote
Kwa hii hatua wote watatoboa tumwombe Mungu
Yanga
Yanga
Ligi ya bongo umekuwa ngumu Sana
YANGA
https://www.kijiweni.co.tz/ratiba-kamili-kundi-la-yanga-na-simba-kimataifa/
Zote zinaweza kutoboa itategemea na uchezaji wao na wamejipanga vip kwenye haya mashindano
Usiof yanga tutatoboa
Kwa hii hatua wote watatoboa tumwombe Mungu
Viwanja 10 Bora na maarufu zaidi duniani.
Soma hapa โคต
https://maishakitaaonlinetz.blogspot.com/2024/12/sports-viwanja-kumi-maarufu-zaidi.html
r9figo
1hn6gf
tuh2la
j17w33
jgo60h
ehzls9
uge4ad
rr5shc
k4l2xq
45xbk1
4hbfwb
h9s8p0
n57e3u
0ngrp5
hmwty5
2qv9a1
ba6nd4
hlxyiz
ftgyr0
gvc4x4
ccqp8a
lnsdnn
62vuwa
07v6nz
4akaq6
vl291g
l5cill
5pbir4
k5p71n
6h1g29
253h62
5qllus
qorf2z
y87g7m
9d5mra