Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Ntibazonkiza Ni Funguo Ya Simba Leo Dhidi Ya ASEC
    Africa | CAF

    Ntibazonkiza Ni Funguo Ya Simba Leo Dhidi Ya ASEC

    MhaririBy MhaririFebruary 23, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Ntibazonkiza Simba
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mnyama simba yupo zake ugenini leo hii nchini ivory coast akiwinda alama tatu dhidi ya Asec Mimosas na ni Simba na Asec wanakua ni moja kati ya vilabu vya kwanza kabisa kutoka barani Afrika kutumia dimba la Felix Boigny baada ya Afcon kumalizika nchini humo hivyo hakuna kisingizo chochote leo katika eneo la kuchezea na miundombinu yote kwa ujumla.

    Kwenye mchezo wa leo ni muhimu sana kocha kuanza na Saido Ntibazonkiza licha ya kuwa na pandashuka za kiwango msimu huu lakini uzoefu wake hakuna asiyeifahamu ukiongeza na uzoefu bado utambeba Saido kuanza leo hii.

    Kocha wa Asec amezungumzia suala la kumkosa mshambuliaji Sankara Karamoko ambaye ametimkia nchini Austria lakini simba wana Saido ambaye kacheza ligi kuu Ufaransa na nahodha wa timu ya taifa ya Burundi KWANINI asianze kikosi cha kumi na moja bora?? Ndio maana naona kuwa sina shaka na hofu yoyote  akianza muhimu ni awe sahihi tu kwenye matendo yake.

    Ukiachana na Godfather wa Bujumbura mtu hatari zaidi kwa Asec leo hii ni mwamba wa lusaka Chama yuko kwenye fomu nzuri ya kutafuta mkataba mpya sasa hivo hazuiliki kabisa na goli alilowafunga JKT Tanzania katika ligi kuu linazungumza vyote na ni wazi jamaa anaugwadu kweli kweli kwa sasa, anapenda mechi kubwa na anaweza  kuzicheza na kwa chama unapata tafsiri halisi ya big names can make big stories.

    Kila la kheri mnyama kazi kwenu kuwatoa wenge la ubingwa wa Ivory Coast leo hii.

    SOMA ZAIDI: Naamini Kuwa Medeama Ndio Msaada Mkubwa Kwa Yanga

    benchikha simba CAF CHAMPIONS LEAGUE SIMBA SC
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.