Ilipoishia “Hapo hapo akapiga simu moja kule Mbudya kua ameshammaliza Rais Mbelwa, mwili wake ukavutwa hadi eneo la chini ambako alikua akitesa na Kuuwa Watu, huku ndiko alikomfungia Mke wake kama mateka. Sasa mpango ulio mbele ni kuhakikisha anapatikana Elizabeth, Nchi ikawa chini ya Waziri Mkuu ambaye baada ya Kifo cha Rais Mbelwa alielekea ikulu na kuanza kutoa Maagizo ya nini kifanyike. Endelea
SEHEMU YA ISHIRINI
Mchaka Mchaka, ndege tunduni.
Helkopta sita zilizotoka Black site ziliwasili mpakani mwa Kiluvya na Picha ya ndege tayari kuanza Msako wa kumpata Elizabeth. Wakashushwa makomandoo arobaini na tano kutoka Black Site, nguvu kazi ikawa kuwasaka Mzee Kimaro na Elizabeth ambao walikua wakikata nyika baada ya kuchomoka pangoni.
Hali ya Uzee ya Mzee Kimaro ilianza kuifanya safari ya kukimbia iwe ngumu, aliishiwa nguvu lakini Elizabeth alimsaidia ili watafute Mahali wajifiche, nyuma yao wanajeshi na Makomandoo walikua wakizidi kuwaandama
“Elizabeth, niache hapa Mama. Wewe okoa Maisha yako, Mimi siwezi kusonga mbele” alisema Mzee Kimaro akiwa ameanguka Chini, juu Helkopa ilikua ikisogea eneo hilo ambalo lilikua giza, lakini kadili Chopa ilivyozidi kusogea ndivyo mwanga ulivyozidi kuongezeka
“Siwezi kukuacha Mzee Kimaro, huwezi kufia hapa” alisema Elizabeth akijitahidi kumwinua lakini Mzee Kimaro alikua tayari ameshakata tamaa ya kwenda mbele, Elizabeth alipoangalia nyuma aliona namna wanajeshi walivyozidi kusogea, akajitahidi tena kumnyanyua lakini tayari Helkopta ilikua juu ikiwamulika taa, wakawa wameonekana.
Ikabidi amfiche mzee Kimaro nyuma ya Jiwe, naye akajibanza lakini tayari taarifa ilishasambaa kwa Wanajeshi walio chini kua Elizabeth alikua mita chache kutoka wao walipo, njia pekee ya kujiokoa hapo ilikua ni kuhakikisha ananzisha Ambushi vinginevyo watanaswa kirahisi sana.
“Usipoteze muda na nguvu zako, kimbia uende mbali” Mzee Kimaro alizidi kuongea, sauti ya chopa ikawafanya washindwe kusikilizana, mara mashambulizi kutoka juu ya Helkopta yalianza, Elizabeth hakukaa kimya alijibu Mashambulizi hayo akisaidiwa na Mzee Kimaro
Waliishambulia Helkopta bila mafanikio, huku Mashambulizi ya chini kutoka kwa wale Wanajeshi yalikua yakianza, risasi walizobakiwa nazo zilikua chache mno, isingelikua rahisi kwao kuendelea na mapambano, Mzee Kimaro akachana shati lake jeupe na kulitundika kwenye kipande cha Mti kisha akanyoosha juu kua wanajisalimisha, wazo hili halikumfurahisha sana Elizabeth
“Unafanya nini Mzee?” alihamaki lakini Mzee Kimaro alimpa ishara ya Kichwa kuwa kama wataendelea na vita basi watafia hapo kama kuku kutokana na uchache wao pia risasi ziliwaishia, chozi lilimbubujika Elizabeth Mlacha, aliangusha kilio cha nguvu huku ile Chopa ikiwa ipo juu yao, eneo zima likawa mwanga, wanajeshi na Makomandoo walio chini wakalizingira eneo lote huku walio juu ya Helkopta wakiwasiliana na walio chini kua ni
kweli walijisalimisha.
Roho ya Elizabeth ilifukuta kwa maumivu Makali sana, hapo alipaswa kufanya kazi mbili, moja ni kumwokoa MUHONZI Kutoka mikononi mwa mwenyekiti wa chama cha Upinzani na pili alipaswa kutoisalimisha ile flash Muhimu aliyoificha kwenye chupi yake.
Dakika Moja walizungukwa kila upande “Mikono juu” ilisema sauti komavu iliyojaa hasira, ilikua ni sauti ya Brigedia Antony, kila upande walizungukwa na kikosi kazi, Hatimaye Elizabeth aliamini ameshafikia mwisho baada ya siku Tatu za Hekaheka nzito. MWISHO WA SEASON TWO
Usikose Season 3, ya mwisho kabisa. Kujua kama Elizabeth alipona kwenye Msala huu
Mpe Nguvu ADMIN Kwa ajili ya bando Kwa kumtumia Chochote aendelee kupost MSALA Hapa Kijiweni
Lipa Namba: 57900454
Jina: LIPA KIJIWENI TIPS
Mtandao: VODACOM
SOMA RIWAYA YA KOTI JEUSI KWA KUBONYEZA HAPA
SOMA RIWAYA YA FUNGATE KWA KUBONYEZA HAPA
SOMA RIWAYA YA NILIPANGA NYUMBA MOJA NA MAJINI
JIUNGE NIPO KIJIWENI Kwa Kubonyeza Hapa
MSALA xx MSALAxx MSALA xx MSALA xx MSALA xx MSALA xx MSALA xx MSALA xx MSALA xx MSALA

40 Comments
Dah ni ya ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Tunaomba sizio 3 kwa hamu u
Admin unatuma short story hata raha huna ..sku ingine unapitiliza siku mzimaaa ..kama unatangaza🦥🎈 mpira bas achia story af ndo uende kwneye mpiraaaaaa…..😩😩😩😩🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
😂😂
🤣Eliza atapona jeshi la msituni linakuja hapooo likiongozwa na malkia na mkuu wa majeshi Sokwe🤣Pia Na Waziri wa Ulinzi Benjamin Chauwoga😂
Una mawazo makaliii ww 😁😁
Popo lazima waje kwaajili ya kumuokoa 😂😂😂. Mtunzi umetisha kweli 🙋
Well done.. umecheza kama Pele lakini unatukata stim kafupi sana
Well done …ila fupi sana admn unakata stm
Ningekuwa Director ningeomba kufanya filamu Kwa huu mzigo MSALA all in all hadithi ni tamu balaaaaa
Adimni ntakuloga 😂😂😂
Lovely
Aiii ,simulizi ya kisisimua n kana nachek movie tena zaid ya..😍
Huu utunzi director fanya mpango wa bongo movie kaliii… usanii upo 🔥🔥
🤕
Story hatar ila inachelewa adi unaenda kupoteza ladha sasa
jqf01n
Wow that was odd. I just wrote an very long comment but
after I clicked submit my comment didn’t appear.
Grrrr… well I’m not writing all that over again.
Anyways, just wanted to say wonderful blog!
yvd00q
magnifiсent put up, very informative. I ponder whʏ the other expеrts of this sector don’t understand this.
You sһould ϲоntinue your writing. I am confident, you have a huge readers’
base already!
When someone writes an piece of writing he/she retains the plan of a user
in his/her mind that how a user can know it. Therefore that’s why this piece of writing is
amazing. Thanks!
Howdy! I’m at ᴡork surfing around yоur blog from my new iphone 3gs!
Just ѡanted to ѕay I love reading tһrough
your blog and loоk forward to all уоur posts! Keеp uр the outstanding ᴡork!
I woᥙld liкe tо thank you fⲟr the efforts you’ve put in writing thiѕ website.
I’m hoping to check out tһe same hiɡh-grade content from you in the future аs ᴡell.
In truth, youг creative writing abilities hɑs encouraged me to
get mү very own website noѡ 😉
I am regular visitor, how ɑre yoս everybody?
Τhiѕ paragraph posted аt this site іs truly nice.
Excellent ᴡay ᧐f telling, and pleasant post tօ
ߋbtain facts concеrning mү presentation subject, whіch
i am goіng to prеsеnt in institution οf hіgher education.
Way cool! Sоme extremely valid ⲣoints! I appreciate you writing tһiѕ article and the rest of the site іs aⅼso
гeally good.
Hey Тherе. I found youг blog uѕing msn. This is a very well written article.
Ι’ll make ѕure t᧐ bookmark іt and return to read more of
your useful info. Thankѕ for tһe post. I will definitely comeback.
Superb site you have here but I was curious about if you
knew of any community forums that cover the same topics talked about here?
I’d really love to be a part of group where I can get feed-back from
other experienced people that share the same interest. If you have any recommendations, please let me know.
Kudos!
Paragraph writing іs аlso a excitement, іf you be familiar with afterward
үoᥙ can write otherѡise іt is difficult
to write.
Wow, tһat’s wһat Ӏ was looking for, wһat a material! pгesent
here at this web site, thanks admin of thіs site.
Have you ever thought about adding a little bit more than just
your articles? I mean, what you say is valuable and everything.
Nevertheless imagine if you added some great images or videos
to give your posts more, “pop”! Your content is excellent but with pics and videos, this website
could undeniably be one of the greatest in its field.
Excellent blog!
It’s really a great and helpful piece of info.
I’m satisfied that you just shared this helpful
information with us. Please keep us informed like this.
Thank you for sharing.
We’re a group of volunteers and opening a new scheme in our community.
Your site provided us with valuable information to work on. You’ve done an impressive job and
our entire community will be thankful to you.
Hi there friends, how is the whole thing, and what you wish for to say about
this post, in my view its truly remarkable in favor of
me.
Hey there! I know this is kinda off topic but I was wondering
if you knew where I could get a captcha plugin for my comment form?
I’m using the same blog platform as yours and I’m having problems finding
one? Thanks a lot!
Undeniably imagine that that you said. Your favorite reason seemed to be at the web
the easiest factor to bear in mind of. I say to you, I certainly get annoyed at the same time as people consider concerns that
they just do not recognize about. You controlled to
hit the nail upon the top as smartly as outlined out the entire thing without having side effect , other
folks could take a signal. Will likely be again to get
more. Thank you
After exploring a number of the blog articles on your blog,
I really like your way of writing a blog. I saved as a
favorite it to my bookmark website list and will be
checking back soon. Please visit my website as well and let me know your opinion.
Thanks for sharing your info. I really appreciate your efforts and I am waiting for your further write ups thanks once again.
Hmm is anyone else experiencing problems with the images
on this blog loading? I’m trying to find out if its a problem on my end or if it’s the blog.
Any feedback would be greatly appreciated.
If some one wishes to be updated with most up-to-date technologies therefore he must be go to see this web page and be up to date everyday.
Hi there! Do you know if they make any plugins to assist with SEO?
I’m trying to get my blog to rank for some targeted keywords but I’m not seeing very
good results. If you know of any please share. Many thanks!
This paragraph gives clear idea in support of
the new visitors of blogging, that genuinely
how to do running a blog.