Author: Kaka Mkubwa

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?”  “Ndiyo!”  “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…

Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…

Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati  ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi,  hofu ilikua imenitawala vya kutosha.  “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…

Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Wala hakuongea chochote akaanza kuniandalia chakula nile, nilikua nahema kwa shida sana.  “Kunywa Maji” alisema, alikua haniangalii usoni, nilikua na kiu ya maji lakini kiu…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Jua lilianza kuzama, nilikua tayari nimemaliza kupika na kuweka chakula kwenye hot-pot.  Nilikua na msongo wa mawazo, kichwa nacho kilikua kinaniuma sana kwa sababu ya…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Kama utaendelea kunisumbua basi hapa patakuwa Jahannam yako na hutokaa utoke Milele  Daima. Kingine napaswa kukuvuna viungo kila unapofanya mapenzi na Misukule, siku  nikimaliza nitakuacha…