Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Mfumo Huu Utambeba Chama Kumuua Al Ahly Kwa Mkapa
    Africa | CAF

    Mfumo Huu Utambeba Chama Kumuua Al Ahly Kwa Mkapa

    MhaririBy MhaririMarch 27, 20241 Comment2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Clatous Chama
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Timu yoyote duniani inahitaji mchezaji ambaye anarahisisha kazi za timu kiwanjani kwa wenzake hata kwake binafsi basi Clatous Chama anarahisisha kazi za wenzake pale Msimbazi.

    Benchikha aliwahi kusema Clatous Chama ni jini kabisa wa mpira kwani sifa zake kiwanjani ndizo zinampa majukumu kwanza ukiangalia namna anavyotoa pasi zake hurahisisha hatua inayofuata kwa wenzake (Counter Movement)

    Simba kuna wakati wanakuwa wakiwa na mpira utawaona 3-1-5-1 ambapo anapata leseni ya kushambulia kutoka pembeni zaidi na kuingia ndani, huangalia njia za kupita na kutumia nafasi kupita kwakuwa ni mchezaji anayeweza kukokota mpira vyema na ni bora sana kwa sasa.

    Nafikiri Benchikha anamjua zaidi Chama kuliko Mimi, atakuwa na njia nzuri ya kumpa leseni ya mafanikio kwa mechi zifuatazo kupitia Chama na wenzake kwani pasi moja ya Chama ni hatari na inaweza kubadili mchezo, maamuzi sahihi na akili yenye kasi zaidi kwenye mpira.

    SIFA ZAKE

    1: Dribbler (anajua kupiga chenga: kushinda 1v1 za mabeki kwa ufanisi wa akili na mwili )

    2: Passer (anajua kutengeneza njia ya kupita kwa mpira, kutumia nafasi kupitisha mpira : pasi fupi na ndefu )

    3: Ni slow lakini sio speed sana (suala hili humpa one touch power la kulisogelea lango la mpinzani juu ni kuathiri vitendo vya kiufundi)

    Cha kuzingatia zaidi ni kwamba Clatous Chama anajua jinsi ya kuungana na wenzake wakati wa utulivu na kupita nyuma ya mpinzani ili kushinda mipambano :  suala hilo huwa na adhari kwa mpinzani na kuwafanya attack wenzake kuwa deadly mita 20 ya mwisho

    SOMA ZAIDI: Kuhusu IHEFU Na Umiliki Wa Siri, TFF Mnaniwazisha Mno

    simba vs al ahly

    1 Comment

    1. Pingback: Yanga Akimfunga Mamelodi Kwa Mkapa Anafuzu Nusu Fainali - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.