Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Mfahamu Mchezaji Bora Wa Kike Afrika, Katili Wa Nyavu.
    Africa | CAF

    Mfahamu Mchezaji Bora Wa Kike Afrika, Katili Wa Nyavu.

    MhaririBy MhaririDecember 13, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Asisat Oshoala
    Asisat Oshoala akiwa na tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka wa CAF.
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria Asisat Oshoala  ameshinda tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa Wanawake wa CAF 2023 kwa kuweka rekodi ya kushinda tuzo hiyo mara ya sita baada ya kuwashinda Thembi Kgathlana (Afrika Kusini) na Barbara Banda (Zambia) katika tuzo hizo.

    Oshoala alikuwa na mwaka bora kwa Super Falcons kwenye Kombe la Dunia la Wanawake FIFA 2023, ambapo alifunga bao la ushindi wakati mabingwa wa Afrika mara tisa Nigeria walipowafunga Australia 3-2 kwenye mchezo wa pili wa Kundi A, Ushindi uliokuwa muhimu katika kuhakikisha wanaingia hatua ya 16 bora kwenye mashindano hayo.

    Asisat Oshoala
    Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria Asisat Oshoala akiwa na tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa Wanawake wa CAF 2023

    Alicheza pia kwa mafanikio na FC Barcelona wakishinda ubingwa wa Europa ikiwa ni taji lao la pili la Ligi ya Wanawake ya UEFA lakini pia akishinda  taji la ligi na timu hiyo akifunga mabao 21 katika michezo 28, mabao mengi zaidi kuliko msimu uliopita.

    Tuzo hiyo aliyoshinda ya Mchezaji bora wa Wanawake wa CAF ni ya sita na kuendelea kumuacha kwa mbali Perpetua Nkwocha ambaye ameshinda tuzo hiyo mara nne.

    Wengine walioshinda tuzo za Shirikisho la soka barani Africa ni hawa hapa.

     

    asisat oshoala
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.