Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home Β» Mchezaji Gani Wa Nje Hapa Ligi Kuu Amekuwa Bora Zaidi Kwako?
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Mchezaji Gani Wa Nje Hapa Ligi Kuu Amekuwa Bora Zaidi Kwako?

    MhaririBy MhaririApril 25, 2024Updated:April 25, 202432 Comments1 Min Read801 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mambo vipi mwana KIJIWENI bila shaka uko poa kabisa. Leo nina mjadala mdogo tu ambao nadhani inapaswa tujadiliane hapa na ninachotaka kusema ni kuwa kuna mastaa wengi wa soka kutoka nchi nyingine ambao tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini na wengine bado wapo wanaendelea kusakata Ligi Kuu.

    Je, Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

    SOMA ZAIDI:

    1: Pale Simba Shida Sio Mangungu Ni Wachezaji HawaΒ 

    2: Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla Kuhusu β€œKuinunua Simba”  

     

    ligi kuu bara ligi kuu tanzania bara msimamo wa ligi kuu

    32 Comments

    1. Met Millz on April 25, 2024 10:13 am

      AZIZ KI STEPHANE

      Reply
    2. Valence on April 25, 2024 10:13 am

      Stephane Aziz Ki

      Reply
    3. SUREBOY_REGY on April 25, 2024 10:14 am

      Ebanaeeeh professor pacome zouzua kitwango ni noma

      Reply
    4. Bestie loyer on April 25, 2024 10:15 am

      Kwa ufupi wako wengi lakini mwenye ako na mvuto ni KI AZIZI kwa ubora wake na msimu huu magoli yake yatavunja record ya TZ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

      Reply
    5. John m fatihu on April 25, 2024 10:16 am

      Ayoub lakred

      Reply
    6. Imaninho30 on April 25, 2024 10:20 am

      G silhaa nakiwango kizur

      Reply
    7. Hilda Hardin on April 25, 2024 10:20 am

      Djigui diarra

      Reply
    8. Collins collinho on April 25, 2024 10:20 am

      Pacome zouzoua

      Reply
    9. Man jiga on April 25, 2024 10:21 am

      Azizi ki ni noma

      Reply
    10. Zakaria on April 25, 2024 10:24 am

      Azizi ki

      Reply
    11. Misheto on April 25, 2024 10:24 am

      Stephane Aziz Ki

      Reply
    12. ERICK KIULA on April 25, 2024 10:26 am

      MAX MPIA NZENGELI
      anaibeba sana yanga japo haimbwi sana yupo kama NYWELE vile uwanja mzima anatembe What a player…maestro..πŸ”₯πŸ”₯β˜„πŸ’šπŸ’›

      Reply
    13. Tinowski on April 25, 2024 10:27 am

      KI AZIZ. kwanza mwamba anacheza kutoka moyo anaipenda yanga.

      Reply
    14. Sanane on April 25, 2024 10:34 am

      Mimi Ni Simba Ila Azizi Ki season iih hana Mpinzani

      Reply
    15. Side on April 25, 2024 10:36 am

      Japo SIMBA nimbovu misimu yahivi karibuni ila CHAMA jr like sana πŸ₯³πŸ₯³ qmmkπŸ‘ŠπŸ»

      Reply
    16. Kamli salu on April 25, 2024 10:37 am

      Ebanaeee si mwingine ni Doctor mwenyewe khalid Aucho anaupiga mwingi sana πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾

      Reply
    17. Jaminho on April 25, 2024 10:46 am

      Diarra tangu aingie nchini hana mpinzani kbsa

      Reply
    18. John Caesar on April 25, 2024 10:46 am

      KiprΓ© Zunon Junior

      Reply
    19. Jaminho on April 25, 2024 10:51 am

      Diarra tangu aingie nchini hana mpinzani kwa kweli ana consisitency katika total performance yake

      Reply
    20. SIMBA on April 25, 2024 10:51 am

      aziz funguo

      Reply
    21. Rashidy samweli on April 25, 2024 10:56 am

      Aziz kii haina kupnga hyo akiwa uwanjan kama hayupo lkn wanamjua mabeki ngoja nkae kmyaπŸ€” πŸ˜‚

      Reply
    22. Fred on April 25, 2024 11:11 am

      Aziz kii ana rekod nzur ila sio kila game yupo kwenyw peak lakinpacome kila game anakichafua
      Kama unabisha angalia game kubwa zote za yanga na ndogo

      Reply
    23. Beca on April 25, 2024 11:12 am

      Ayoub LakredπŸ”₯πŸ”₯

      Reply
    24. Lawizo on April 25, 2024 11:23 am

      GK Ayubu πŸ”₯

      Reply
    25. Yusuph on April 25, 2024 11:25 am

      Tunamsahau sana Bacca pale Yanga SC maana yule hadi timu ya Taifa anakiwasha na kila mechi anakiwasha……..Ingawa beki hasifiwi…πŸ˜‚

      Reply
    26. Obby bway on April 25, 2024 11:32 am

      AZIZI K NA PACOME ZOUZOUA

      Reply
    27. Capanda cr on April 25, 2024 12:08 pm

      Mkude yuko vizuri sana kwa sasa ukilinganisha umri na historia yake msimu ulio pita ila unaweza kuona namna anavo cheza kama mtoto wa 25 tu

      Reply
    28. Jimson on April 25, 2024 12:14 pm

      Aziki ki mweeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

      Reply
    29. Wiseman tz on April 25, 2024 1:41 pm

      Diarra hana mpinzani kamwe

      Reply
    30. Pingback: Uwanja Wa Uhuru Ufanyiwe Marekebisho Maeneo Gani? - Kijiweni

    31. Nadhiru on April 25, 2024 2:45 pm

      Clatous chma…chama kafnya kila kitu akiwa kma mchezaji professional…chma amefunga na ku assist sana…he is the real definition of attacking midfilder πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

      Reply
    32. Mzopola Tobias on April 25, 2024 5:02 pm

      Labda wengi tuna mapenzi na team za kariakoo kiasi ambacho wachezaji walio nje ya Simba yanga hatuwaoni.
      Binafsi namkubali sana Fuentes Mendoza Beki wa kati wa Azam akitokea Colombia. Jamaa anajua.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneΒ  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.