Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Sita-06)

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Tano-05)

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Nne-04)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Sita-06)
    Hadithi

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Sita-06)

    Kaka MkubwaBy Kaka MkubwaMay 17, 2025Updated:May 17, 20258 Comments11 Mins Read659 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tano

    “Ahsante Jirani, ndio ukubwa huu” 

    “Lakini Veronica unatakiwa kuwa makini sana na Mama yako!”

    “Kwanini?” 

    “Mama yako ana sifa mbaya hapa mtaani, inasemekana yeye na  Kaka yake wanashiriki ushirikina” 

    “Unamaanisha Mama yangu ni Mchawi?”  Endelea

    SEHEMU YA SITA

    “Ndio, mtaa mzima unalijua hilo ndio maana nakutaka uwe  makini kujiepusha na uovu dhidi yako, hushamgai jinsi maisha  yenu yalivyobadirika?” Ilinibidi nikae mkao, maana tulikuwa  tukipiga stori kibarazani kwa yule jirani ambaye ni mdada  aliyenizidi umri 

    Maneno yake yakaanza kuniingia akilini, nilipokumbuka kuhusu  lile shuka lenye damu ya bikra yangu ndio nikaanza kuyaamini  kabisa yale maneo na jinsi ambavyo Nyumba yetu ilikuwa  imekarabatiwa na kuwa nzuri 

    “Kwahiyo mtaa mzima hizi habari zimeenea?” 

    “Muulize yeyote atakwambia na kama atakuficha basi ni kwa  woga tu lakini ndio hivyo, tena inasemekana wewe ndio hazina  yao” 

    “Mimi hazina kivipi?” 

    “Veronica hayo mengine ni bora uyachunguze maana usikute ni  maneno tu ya Watu” 

    Nilitafakari kwa kina lile jambo, nikaona sio bure lipo jambo  linaloendelea kati ya Anko Sanga na Mama yangu! Nilipoinua  macho yangu nilimuona Mama akinitazama! nilitabasamu kama  vile hakuna kilichoongelewa kisha akaniita. 

    “Jirani baadaye!” 

    Nilienda nyumbani, Mama alinikalisha sebleni na kuniambia 

    “Kuwa makini na hawa watu wa hapa, ni wambea na  wachonganishi. Usikute wanakuonea wivu huo ujauzito!” 

    “Aah! Mama jamani hapana” 

    “Sasa alikuwa anakwambia nini pale zaidi ya umbea maana  nimewatazama muda mrefu” 

    “Tulikuwa tunaongelea mambo ya zamani tu, alikuwa  akinikumbusha mambo yaliyopita” 

    “Anhaa! kumbe”

    “Mama nataka Jonas aje huku maana nabakia peke yangu  unapokuwa haupo, inanipa shida sana” Mama alitafakari kwa  sekunde kadhaa kisha akaniambia sawa! 

    Nilimpigia simu Jonas na kumwambia asafiri kuja Arusha kukaa  na mimi hadi pale nitakapojifungua. Wakati naongea na Jonas  Anko Sanga alikuwa akipokelewa na Mama nje, nilipoenda  kuchungulia ndio nikamuona 

    “Kuna nini?” Aliniuliza Jonas baada ya kuniona nimezubaa  kwenye simu 

    “Anko Sanga yupo nje” 

    Simu ilipokatika nilimsalimia Anko Sanga, Mama akapeleka  mabegi ya Anko Sanga chumbani kwake, ilinipa mashaka kidogo  ya kwanini yale mabegi yapelekwe chumbani kwa Mama na sio  kwenye chumba kingine? 

    Nilishusha pumzi na kujisemea nitajua mwisho wa hili jambo ni  nini! 

    Mama aliandaa chakula kizuri sana siku hiyo, alifanya kazi  zote huku akinitaka nipumzike maana uchovu ulikuwa  ukinitawala mara kwa mara, alitengeneza na juisi ya matunda,  tulikula kwa pamoja baada ya pale nilielekea chumbani kwangu  kulala. 

    Kabla sijapitiwa na usingizi niliongea na Jonas akaniambia  kesho yake ndio ataanza safari ya kuja Arusha kama  tulivyoongea. 

    Nililala hadi majira ya Usiku, nilipoamka nilikuta Missed  Call nyingi sana, zilikuwa ni missed Call za yule jirani  maana alinipatia namba ili kama kuna tatizo niweze kumjulisha  anisaidie! 

    Kwakuwa nilikuwa mchovu sana nilisubiri nioge kwanza ndipo  niwasiliane nae, nilipomaliza nilimpigia lakini hakupokea  simu. 

    Asubuhi Mapema nilienda kwake kumuulizia lakini niliambiwa  amepelekwa Hospitali baada ya kuanguka ghafla Usiku, akili  ikarudi kwenye zile Missed Calls nikajua pengine alikuwa na  tatizo kubwa ndio maana alinipigia. 

    Nilijivuta hadi nyumbani, Mama ndio kwanza alikuwa akiamka  akaniuliza kama usiku nilisikia kelele za Jirani nikamwambia  hapana akasema Jirani alikuwa akipiga kelele akaanguka na  kupoteza fahamu, sikutaka kumuuliza zaidi.

    Niliendelea na shughuli zangu, Mama aliniaga akaondoka  nikabakia na Anko Sanga pale nyumbani, wakati Mama ananiaga  nikasema wasije wakawa wamepanga njama nyingine hawa?  Aliniacha nikiwa nimekaa sebleni, alipoondoka tu Mama Anko  Sanga alikuja pale sebleni akanikuta nimejilaza zangu kwa  kujiachia maana uajuzito ulinipelekesha mno. 

    Alinisalimia lakini sikumchangamkia maana niliogopa asjie  akanifanya jambo baya! 

    “Naona umekaa hapo kwa raha zako Anko?” 

    “Eeh! nimechoka tu napumzika hapa” 

    “Hivi Mumeo anakuja lini?” 

    “Naamini Mama amekueleza kuwa ni leo!” 

    “Hapana hatujaongelea jambo hilo kabisa, nilipokuona  nimekumbuka Mlima Kilimanjaro” 

    “Anko Usinitibue! usinikumbushe mambo niliyoyasahau hata  kidogo” nilisema kwa ukali, sikutaka mazoea nae kabisa 

    “Hasira za nini Veronica? Huutaki tena huu?” alichojoa taulo  lake na kunionyesha Dudu lake refu 

    “Hivi Anko una nini wewe? Baada ya yote uliyonifanyia unataka  kunidhihirishia kuwa wewe ni mshenzi si ndio?” 

    “Uko wapi ushenzi wangu Veronica? kila nikikumbuka jinsi  nilivyoutoa usichana wako najikuta nikiwa na raha sana, Jonas  anabakia kuwa Mwanaume wako wa pili baada yangu  mimi…husikii raha?” 

    “Kwa jinsi ulivyo shetani unaongea upumbavu mbele ya Mtoto wa  Dada yako, kimekuleta nini hapa?” 

    “Nimekuja kwa ajili yako Veronica, nimekuja kupigania penzi  langu kwasababu inawezekana hicho kiumbe ni changu na sio cha  Jonas” 

    “Ishia hapo hapo tena ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu  Kristo” Mara Mama akawa ameingia wakati huo Anko Sanga  alikuwa amerudi Kuketi kwenye Sofa akiwa amevalia Taulo na  tisheti nyeusi. 

    “Eeh! ndio unaamka Kaka?”

    “Ndio yaani nimechoka kweli kweli, nilikuwa naongea na Binti  yangu hapa” 

    “Haya ngoja niandae chakula cha mchana” Yalikuwa ni maneno ya  Mama yangu aliyekuwa amebeba Mfuko, akaingia zake Jikoni. 

    Simu ya Jonas ndiyo ilinifanya niache kuwafikiria Mama na  Anko Sanga, Jonas alikuwa tayari amefika Arusha kwa ndege,  nilifurahi kusikia Jonas amefika Arusha angalau niliuona  Mwangaza wa uhai wa maisha yangu na Mtoto wangu! 

    Nilimpokea Jonas kwa bashasha zote hadi chozi lilinitoka  akaniuliza ni kwanini ninalia, nilimjibu nina furaha sana. 

    Nilimkumbatia na kumpiga mabusu kama yote. Mama hakuonyesha  chuki dhidi ya Jonas kabisa, wala Anko Sanga hakuonyesha  chuki kwa Jonas, waliongea kama Watu wazuri wenye malengo  mema ya ndoa yetu. 

    Usiku ulipoingia kila kitu kikawa kimebadirika, wakati Jonas  anatoka chooni alikutana na Mama, akamwambia waende sebleni  kuzungumza. Jonas alipotaka kuingia chumbani ili avae vizuri  Mama alimzuia na kumwambia haina shida. 

    Usiku huu nilikuwa chumbani nachezea simu yangu nikiwa  ninamsubiria Jonas arudi kutoka bafuni, niliona akikawia  kurudi. 

    Walipofika Sebleni Mama alimtaka Jonas akae kwenye sofa nae  alifanya hivyo hivyo, mazungumzo yao yalianza. Mama  alimueleza Jonas aniache kwasababu hakuwa chaguo lake 

    “Nawezaje kumuacha Mtu ninayempenda Mama?” 

    “Unampenda sawa lakini wewe sio chaguo langu kumuoa binti  yangu, nilifanya vile ili tu kumridhisha huku nikitambua nini  cha kufanya” 

    “Mama unakosea sana! Veronica ndio chaguo langu sahihi na  tunapendana sana hata wewe ni shuhuda wa hili” Wakati wao  wakiendelea kuongea sebleni, Mlango wa Chumba changu  ilifunguka kwa taratibu, taa ilikuwa imezimwa hivyo nilihisi  atakuwa ni Jonas, Kumbe alikuwa ni Mjomba Sanga akiwa  amevalia bukta tuu. 

    Niliendelea kuchezea simu lakini kilichonishtua ni manukato,  nilitambua kuwa aliyeingia hakuwa Jonas bali ni Anko Sanga,  alikuwa ameshikilia kisu mkononi akinitaka nifanye nae  Mapenzi.

    “Ukipiga kelele nakuuwa hapahapa” Alisema hivyo huku akiwa  ameniziba mdomo. 

    Mapigo ya moyo yalienda mbio sana, Aliponiachia nilihema juu  juu 

    “Anko usinifanyie hivyo tafadhali, Mume wangu yupo hapa  utanisababishia matatizo” 

    “Nimesema ukipiga kelele nakuuwa hapa hapa” alizidi kunitisha  na kunifanya niwe muoga, nilifikiria nikaona nisiwe mbishi!  Nilimfunulia ili afanye anachojisikia kunifanya. 

    “Hivi unawezaje kumg’ang’ania Mtu anayempenda mwingine?”  Alisema Mama akijua fika kuwa Anko Sanga alikuwa kule  Chumbani akinifanya na ujauzito wangu! 

    “Unamaanisha nini?” Jonas alikuwa amesimama ili aondoke  lakini ile kauli ilimsubirisha alitaka asikie  

    kilichomaanishwa kwenye ile kauli ya Mama 

    “Wewe ni kijana mzuri, unapesa unatakiwa kuwa na Mtu sahihi  lakini sio Veronica kwasababu anampenda Mtu mwingine, hata  ule ujauzito sio wa kwako bali ni wa Huyo Mtu” alizidi  kukipalia makaa ya moto kichwa cha Jonas. 

    “Wewe hustahili hata kuitwa Mama, huwezi kuongea kauli hizo  kwa Mkweo” 

    “Haya nenda huko chumbani ndio utaamini Maneno yangu” 

    “Sidhani kama nitakuheshimu tena” Alisema Jonas huku akija  Chumbani ambako Anko Sanga alikuwa akinifanya kwa lazima 

    “Tutaona kati yangu mimi na wewe ni nani anastahili pongezi  kwenye hili” Aliongea Mama kwa sauti ya kumsindikiza Jonas  chumbani, akiwa ameshikilia kitasa aligeuka na kumtazama Mama  kisha aliingia mle chumbani, akasikia purukushani ikambidi  awashe taa sasa. 

    “Veronica?” aliita kwa mshangao na mshituko mkubwa akiwa  ananitazama nikiwa nafanywa na Anko Sanga, kuona vile Anko  Sanga akakimbia 

    “Veronica nini hii?” Aliuliza tena Jonas akiwa ametahamaki  kweli kweli, nilikuwa nikilia tu kitumbo kikiwa kimetuna

    “Nilikwambiaje?” Sauti ya Mama ilisikika, yaani Mama aliamua  kunionesha chuki za waziwazi, kilio kiliongezeka 

    “Ahsante sana! Nahangaika kwa ajili yako kumbe una Mtu  unayempenda na kumpa penzi popote atakapo, uliniita huku ili  unioneshe ushenzi wako” Aliongea Huku akitia baadhi ya vitu  vyake katika begi, kiukweli ile aibu sikuwahi kuipata katika  Maisha yangu! Sikuwa na ujasiri wa kuongea hata kujitetea. 

    Jonas aliondoka zake usiku uleule, aliniacha katika giza na  dimbwi la mawazo, sikupata usingizi nilikesha nikilia Usiku  kucha hadi kulipo pambazuka. Anko Sanga aliingia chumbani  asubuhi, alinikuta bado nikiwa ninalia kwa uchungu 

    “Pole sikujua kama ingelikuwa hivi Veronica” 

    “Hivi nyie ni Watu au majini? mbona siwaelewi ni ndugu zangu  kweli ninyi au mliniokota huko na kunilea, Wewe na Mama ni  wakunifanyia hivi kweli?” Nilisema hakunijibu, Mara Mama  akaingia na kutukuta tukiwa chumbani. 

    “Mpango wenu umeenda sawa leo, lakini ipo siku hautaenda kama  mnavyotaka ninyi” Nilimwambia Mama, Chakushangaza akaniambia  sitakiwi kutoka ndani kuanzia muda ule 

    “Chochote mtakachopanga dhidi yangu hakitafanikiwa, hivi Mama  kweli unanifanyia hivi binti yako?” 

    Mama aliondoka na Anko Sanga wakiwa na siri kubwa ya  wanachonifanyia lakini Jirani alishanidokeza kuwa Mama yangu  alikuwa Mshirikina, kila Anko Sanga alivyofanya mapenzi na  mimi alikuwa akizidi kutajirika. 

    Hakujali kama nilikuwa mjamzito alinifanya atakavyo ili tu  awe tajiri na hizo pesa waligawana na Mama yangu Mzazi,  wakati mwingine alinifanya Mama akishuhudia kila kitu,  ilikuwa ni laana iliyovuka mipaka. Sikuwa na guvu ya kumzuia  Anko Sanga na wala sikutaka kupiga makelele kwa kuhofia  kujidharirisha. 

    Simu zangu walizichukua ili nisiwasiliane na yeyote yule,  walinipa vitisho kuwa nikipiga kelele wataniuwa. Maisha  yalibadirika sana, Mama na Anko Sanga wakawa matajiri sana. 

    Ulipofika muda wa kujifungua nilijifungua mtoto wa kike  niliyefanana nae sana, nilimpa jina la Moyo, nilimlea Mtoto  wangu mwenyewe.

    Mchezo wa Anko Sanga haukufikia kikomo kabisa, alilala na  mimi kila siku ili azidi kuwa tajiri. Alinichukua nikawa  naishi kwake, Mama yangu ni kama vile alikuwa amerogwa na  pesa alinihimiza sana kumpa penzi Anko Sanga, Mtoto  alipofikisha miezi mitatu nilipata wazo la kutaka kutoroka  nyumbani kwa Anko Sanga ili nimtafute Jonas. 

    Nilimkubalia Anko Sanga kuwa tufunge ndoa ili niwe Mke wake  na nilifanya hivi ili tu anianini na anipe uhuru 

    “Umefikiria nini Veronica?” aliniuliza nikiwa nambembeleza  Mtoto 

    “Tutaishi hivi hadi lini? ni bora tuwe Mke na Mume” Alifurahi  sana, akampa taarifa Mama kuwa nimekubali kuolewa na Anko  Sanga. 

    Mama kwa Ujinga wake alichekelea sana kusikia hivyo,  walichotaka ni kutimiza mambo yao ya utajiri. 

    “Hii harusi ikafanyikie mbali na hapa Arusha” alitoa wazo  Mama 

    “Kwanini?” niliuliza 

    “Naona ndio itapendeza sana” wazo la Mama lilipita bila  kupingwa na yeyote, nilichotaka ni kuwa Mke wa Anko Sanga na  kumuaminisha kuwa nilikuwa na mapenzi naye ili tu anipe uhuru  nitoroke maana sikuwa na simu na wala sikupata ruhusa ya  kwenda popote zaidi ya kukaa ndani kwenye jumba lake la  kifahari. 

    Basi, ndoa ilifungwa baada ya wiki mbili tu na nikawa Mke wa  Anko Sanga huku nikiwa na mawazo ya nini cha kufanya. Nilimpa  penzi atakavyo tena nilikuwa nikimuomba mwenyewe, kila  alipotaka kuniingilia alipaka mafuta maalum kwenye Dude lake,  tena wakati mwingine nilimuhimiza kupaka hata aliposema  tufanye bila kupaka mafuta. 

    “Veronica sasa hivi naona umekunjua roho yako” Alisema Anko  Sanga 

    “Kwanini?” 

    “Unanihudumia kama Mumeo tena kwa hiyari yako” 

    “Mapenzi yana muda husika, mtu unavyomzoea ndipo unapompenda  na kumpa kila kitu”

    Alifurahia sana maneno yangu, nikawa nasubiria anipe uhuru wa  kutoka, nilijua kucheza na akili yake aliposahau kufunga  mlango nilimkumbusha kuwa aliacha mlango wazi, taratibu  nilianza kumuaminisha kuwa sina nia ya kwenda popote pale. 

    Siku moja aliniletea simu, akanipa bila wasiwasi wowote kumbe  ile simu aliiunganisha na simu yake, naye alikuwa mjanja sana  japo nilibadirika lakini hakuniamini, siku zote hizi nilikuwa  nikisali ili Mama yangu arudi kwenye akili za kibinadamu,  

    niliamini kuwa siyo akili yake ile kwa jinsi alivyonilea. 

    Anko Sanga alipohitaji pesa alifanya mapenzi na mimi lakini  alipohitaji starehe alistarehe na Wanawake wengine, wengine  niliwaona kabisa wakija pale nyumbani, haikuniuma kabisa  kwasababu sikumpenda lakini nilijifanya kumuonea wivu 

    “Unanifanyia huvi au sikuridhishi? unataka nikupe nini wewe  Mwanaume?” 

    “Veronica usisahau kuwa nimekuoa kwa kazi gani, unatakiwa  kuniletea pesa na sio mapenzi” 

    “Hata kama lakini unapaswa kutambua jinsi ulivyonibadirisha  hadi nimekupenda” 

    “Nimesema fanya kazi yako!” Alikuwa na majibu ya dharau mno,  nilimvumilia sababu nilijua nataka nini! 

    Ile simu ilikuwa ndogo tu yaani ya kitochi, hivyo ilikuwa  ngumu kwangu japo kupata namba za Jonas wala za marafiki  zangu niliosoma nao kama Konzo, Siku moja alirudi akiwa  amelewa, alikuwa na Mwanamke mmoja ambaye jinsi  alivyozungumza alikuwa hajalewa kabisa. 

    Siku zote kila alipoleta Mtu alikuwa akinifungia chumbani na  kustarehe chumba Kingine, nikiwa mle chumbani nilipata harufu  ya Sigara alafu nikasikia sauti ya Mwanamke akiongea kuwa 

    “Nalala huku huku asubuhi anipe changu, kalewa chakali”  nilisikia sauti hii niliita  

    Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA SABA

    JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapa 

    Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA

    Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA

    Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896 

    8 Comments

    1. Lus twaxie on May 17, 2025 5:13 pm

      Mbn unatuma vpande vfupi

      Reply
    2. Warda on May 17, 2025 5:25 pm

      Damn vero

      Reply
      • Focus on May 17, 2025 9:44 pm

        Endelea pls

        Reply
    3. sebastian axwesso on May 17, 2025 5:26 pm

      Hadithi nzuri sana

      Reply
    4. Cathbert on May 17, 2025 5:38 pm

      Kumechangamka tyr

      Reply
    5. Adam on May 17, 2025 7:53 pm

      Daaaah Huruma Kwa Vero

      Reply
    6. Cute _ sally on May 17, 2025 8:52 pm

      Jmn Hadith nzuri muendelezi plzzz

      Reply
    7. Victoria on May 18, 2025 4:53 pm

      Iyendelee

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi May 17, 2025

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Sita-06)

    Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tano “Ahsante Jirani, ndio ukubwa huu”  “Lakini Veronica…

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Tano-05)

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Nne-04)

    Mama Niachie Mume Wangu (Sehemu Ya Tatu-03)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.