Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    In the name of LOVE – 05

    In the name of LOVE – 04

    In the name of LOVE – 03

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » KMC Yasalia Ligi Kuu, Yaichapa Mbeya City ‘Play Off’
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    KMC Yasalia Ligi Kuu, Yaichapa Mbeya City ‘Play Off’

    David MohamedBy David MohamedJune 16, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    KMC
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ni KMC ambao wamefanikiwa kubaki Ligi Kuu msimu ujao kwa kuwafunga Mbeya City kipigo cha mabao 2-0 ikiwa ni mchezo wa marudiano uliofanyika katika uwanja wa Uhuru.

    Mabao yote yalipatikana katika kipindi cha kwanza bao lilofungua dimba likipatikana dakika ya tatu lililofungwa na Daruweshi Saliboko na kumaliziwa dakika 27 na Aweso Aweso.

    KMC walipishana kwa alama moja katika msimamo wa Ligi huku watoto wa Kinondoni wakiwa na pointi 32 na Mbeya City kuwa na pointi 31.

    Mbeya City imebakiza nafasi moja ya lala salama watakapokutana na Mashujaa  kucheza play off itakayoamua safari yao ya kubaki Ligi Kuu msimu ujao.

    Mchezo huo wa muhimu kwa pande zote mbili utafanyika tarehe 19 katika uwanja wa Lake Tanganyika na marudiano yatamalizika tarehe 24 June uwanja wa Sokoine Mbeya.

    Huku Mashujaa wanapigania kupanda Ligi Kuu na Mbeya City wakitamani kusalia kundini.

    Kwa taarifa zaidi za michezo tufuatilie hapa.

    kinondoni kmc ligi kuu mbeya city play off uwanaj wa sokoine mbeya
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi September 15, 2025

    In the name of LOVE – 05

    Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE “Basi hakuna shida Zaylisa, mnaweza…

    In the name of LOVE – 04

    In the name of LOVE – 03

    In the name of LOVE – 02

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.