Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Kinachomponza Mgunda Ni ‘Rangi Yake Na Utanzania Wake’
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Kinachomponza Mgunda Ni ‘Rangi Yake Na Utanzania Wake’

    MhaririBy MhaririMay 2, 2024Updated:May 3, 20249 Comments2 Mins Read3K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Kocha Juma Mgunda
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wengi wamekua wakiamini kuwa ni kama imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa au kuondoka katika timu ya Simba huwa inamkumbuka Juma Mgunda na kumpa timu tena.

    Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii?Hakuna ambaye hata kidogo anaweza kuwa na hofu juu ya uwezo wa wake na wengi wa wapenzi wa soka Tanzania wanaamini kuwa ni muda rasmi wa Simba kumuamini na siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila anastahili kupewa timu kama kocha mkuu, na kitu kikubwa ni yeye kama kocha kuendelea kudumaza uwezo wake kwa kuendelea kung’ang’ania Simba SC ingawa kwa wakati mwingine unaweza kusema pia ni maokoto.

    Ndiyo, Mgunda siyo kocha wa kwenda kufundisha wanawake au kwenda kufundisha vikundi vya vijana tena vijana wenyewe wanatengenezwa kisiasa tu lakini ukija kwenye uhalisia ni uongo mtupu.

    Mgunda atapewa heshima yake endapo ataondoka simba sc na kwenda kufundisha timu nyingine za ligi kuu kama ambavyo aliifanya klabu ya Coastal mpaka kufika fainali ya kombe la FA, Namungo nk, maana anaweza kuwa kocha mkuu kwenye timu yoyote ukitoa Simba na Yanga ambazo zinaamini katika makocha wa kigeni zaidi.

    Maoni yangu: Binafsi ninaheshimu sana uwezo wa kocha huyu ila kitendo cha kupewa timu kila makocha wanapoondoka siliungi mkono na kumuona Mgunda hana msimamo bali anafurahi sana kuwa saidia fundi.

    SOMA ZAIDI: Fredy Ni Mchezaji Mzuri Akitumiwa Vizuri Ataisaidia SIMBA

    cv ya kocha mpya simba juma mgunda wachezaji wa simba

    9 Comments

    1. Mlisho Paul on May 2, 2024 1:34 pm

      Hhhhh

      Reply
    2. Masalu jr on May 2, 2024 1:39 pm

      Mgunda ni kocha mkubwa na ana uwezo wa kufundisha timu yoyote apa tanzania tatizo timu zetu haziamini kwenye makocha wazawa na wakiwaleta wageni wanafanya vibaya Simba wamwamini mgunda ni kocha mzuri

      Reply
      • Elizabeth on May 2, 2024 1:44 pm

        Ni Bora arudi nyumbani

        Reply
    3. Vyt on May 2, 2024 1:53 pm

      Bora aurudi kwa wagosi wa kaya Simba ishakuwa tambala bovu

      Reply
    4. Maege himself on May 2, 2024 1:58 pm

      Wajina wangu juma mgund bora tuu urudi nyumbani …maan nyumban kumonoga

      Reply
    5. Ghettominds on May 2, 2024 2:06 pm

      Juma Mgunda ni kocha mzuri ila kwa timu kama ya Simba ni timu ambayo inahitaji watu wa mpira watakao kupa matokeo ya mda mfupi(project ya mda mfupi). Mgunda kupewa kuiongoza Simba ni pale tuu kama Simba watakubali kuwa na project ya mda mrefu ila kwa project ya mda mfupi sioni kama Mgunda anafaa, hana exposure yakutosha ya Mashindano makubwa ambayo Simba anashiriki ndio maana unaona kumuaminiwa inakuwa ngumu.

      Reply
    6. Khalfani Khalifa Timotheo on May 2, 2024 3:33 pm

      Mgunda ni kocha mzuri shida kubwa kwenye kikosi kizima cha simba maana kwa kikosi hiki hata umlete pep guardiola wa man city bado hatutaona matunda kikubwa wafanye usajili mzuri

      Reply
    7. William mwangende on May 2, 2024 5:40 pm

      KWA SIMBA HII DOZI PEKEE NI MAFUTA YA MWAMPOSA TU MAAN INAKEL. KIKUBW MXIMU UJAO WAXIFANY UXAJIL KWA KUPANIC WATULIE MAAN WAXHAJUA PANAP VUJA WAMLUDIXHE (MOSSES PHIRI) NA WAXIWE WABAHILI KUMWAGA MAOKOTO KAMA WANATAK KUFIK MBALI WAXIXAJILI WACHEZAJI LUNDO KAMA MBEGU ZA MABOGA by
      William mwangende 05

      Reply
    8. Pingback: Simba SC Na Roho Ngumu Kwa Mtibwa Sugar Ligi Kuu - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.