Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Kazi Mnayo! Kwa Kiungo Huyu, Simba SC Wamelamba Dume
    Africa | CAF

    Kazi Mnayo! Kwa Kiungo Huyu, Simba SC Wamelamba Dume

    David MohamedBy David MohamedMarch 31, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Licha ya kuwa na kibarua kizito cha hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameanza kupiga hesabu za msimu ujao na kiungo ndilo sehemu la kwanza kuboresha.

    Wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa robo fainali, taarifa zinadai kuwa Simba inafanya mawasiliano na wakala wa kiungo wa FC Saint Eloi Lupopo ya DR Congo, Harvey Ossete, ambaye anacheza kikosi kimoja na mfungaji bora wa msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, George Mpole.

    Ossete raia wa DR Congo, anatajwa kuwa kati ya viungo ambao wanatazamwa kuwa na sifa ambazo Robertinho anazihitaji kwenye kikosi chake, anaweza kukaba kama ilivyo kwa Sadio Kanoute, kuchezesha timu.

    Mpole, ambaye anacheza kikosi kimoja na mchezaji huyo, alimwelezea Ossete kuwa ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kuisaidia Simba.

    Katika wiki hii, Ossete alikuwa sehemu ya kikosi cha DR Congo ambacho kilicheza michezo miwili ya nguvu ya kufuzu kwa Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) dhidi ya Sudan Kusini.

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.