Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » JKT Tanzania ‘Yamnyatia’ Dilunga kwa Mamilioni ya Pesa
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    JKT Tanzania ‘Yamnyatia’ Dilunga kwa Mamilioni ya Pesa

    David MohamedBy David MohamedMay 18, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Taarifa za kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania huenda mambo yakabadilika kwani  mchezaji huyo anaweza kupewa mkataba wa mwaka mmoja na Simba.

    Wana Msimbazi hao wana mpango ya kumsainisha mkataba huo mchezaji huyo, wakati huohuo JKT Tanzania ilikuwa inahitaji huduma yake lakini ni kama timu hiyo imerudi nyuma hatua moja, baada ya kuona bado hayupo fiti.

    Kocha wa timu hiyo, Malale Hamsini alisema anahitaji kusajili wachezaji wenye kiwango cha juu ambao wataonyesha ushindani, kwani hawataki yajirudie mambo ya miaka ya nyuma yaliyowashusha daraja.

    “Ripoti niliyowapa viongozi ni kunisajilia wachezaji nafasi tatu ambazo ni  mshambuliaji, kiungo na beki ili kupata nguvu maeneo hayo ambayo yataongeza changamoto. Tunaingia kwenye ushindani mkubwa, tunahitaji kuwa bora kila eneo kuhusiana na Dilunga bado hatujamsainisha hilo naliacha kwa viongozi ni kweli tulikuwa naye kwenye mazoezi na nimemuona,” alisema Malale.

    Malele alisema wanatambua ugumu wa ligi hawatafanya makosa kwenye usajili lengo ni kuona timu hiyo hairudii makosa na kujikuta inarudi Championship tena.

    Alisema wataongeza wachezaji wachache watakaoongeza ushindani kwa waliopo ambao waliipambania timu kuanzia chini na kuipandisha kwani wana uwezo mzuri ila wanahitaji kuongezewa nguvu.

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Stori Mpya January 31, 2026

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Nne 2025, kiwango cha ufaulu chafikia asilimia 94.98 Baraza…

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.