Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    In the name of LOVE – 11

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป In the name of LOVE – 08
    Hadithi

    In the name of LOVE – 08

    Hamza NgondoBy Hamza NgondoSeptember 24, 2025Updated:September 24, 202558 Comments10 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ilipoishia sehemu ya saba ya In the name of LOVE

    โ€œNampeleka Mtoto Arusha, kesho nitarudi. Ubaki salamaโ€ alisema Kishaย  aligeuka na kuondoka hapo huku Melisa akigeuka geuka mara kwa maraย  kuniangalia, sikujua ni kwanini alikua akiniangalia sana lakini hisiaย  zilinianbia nilikua na uhusiano wa Maisha yaliyopita na Mtoto yule.ย 

    Nilirudi chumbani, nilianza kujihisi huzuni kiasi. Nilimtazama Zaylisaย  aliyekua amelala, nilijiinamia huku kichwa kikiwaka moto kwa mawazoย  lukuki, nilitamani kujua kitu ambacho nilihisi kilikua muhimu kukijuaย  lakini sikujua nitafanya nini. Nilishusha tu pumzi zangu, Usingizi ulikuaย  umeshaisha. Endelea

    SEHEMU YA NANEย 

    Saa ya ukutani iliniambia kua ilikua ni saa 12 asubuhi, nilivaa fulana Kishaย  nilitoka chumbani nikaelekea jikoni, nilihisi kuhitaji kitu Cha kupashaย  tumbo moto kidogo. Nilipofika jikoni nilikutana na Msichana wa kazi,ย  aliponiona alinywea sanaย 

    Haikua mara ya kwanza kua hivyo pindi anionapo, nilimtazama kidogoย  nikagundua ni mwenye wasiwasi Fulani uliojaa Siri. Basi nilimsogeleaย  karibu, nikapata kuuona ule uwoga na hofu ya Siri fulani, alipotezaย  kujiamini kabisaย 

    Nilimuuliza โ€œHaujambo?โ€ย 

    โ€œSijambo shikamooโ€ alisalimia kwa wasiwasi. Nilimkazia macho yangu,ย  akainamia chini.ย ย 

    โ€œKwanini Kila unionapo unakua ni mwenye wasiwasi?โ€ nilimuuliza, sijuiย  nilijihisi vipi lakini nilihisi kiu kubwa ya kupata majibu ya maswali mengiย  yaliyoingia kichwani pangu.ย 

    Alikaa kimya huku akipata tabu, alipoteza Hali ya utulivu kabisa.ย 

    โ€œBabyโ€ niliisikia sauti nyuma yangu, sauti ya Zaylisa ilikatisha zoezi langu.ย  Nilitabasamu Kisha niligeukaย 

    โ€œNaamโ€ผโ€ alinisogelea Kisha aliniuliza โ€œKwanini upo hapa ukaniacha pekeย  yangu chumbani Babyโ€ย 

    โ€œNilihitaji kitu Cha moto Cha kuingiza tumboni, istoshe nilikuacha umelalaย  sikutaka kukusumbuaโ€

    โ€œHapanaaโ€ผ hauwezi kunisumbua Mpenzi, Mimi ni wakoโ€ alisema Zaylisa,ย  yule Msichana wa kazi akaondoka pale jikoni.ย 

    โ€œHaya niambie nikuandalie nini?โ€ย 

    โ€œChai, weka limao na asaliโ€ย ย 

    โ€œBasi?โ€ย 

    โ€œNdiyo babeโ€ sura zetu zilijaa tabasamu kubwa sana, basi Zay alianzaย  kuniandalia chai. Nikatoka nikaelekea chumbaniย 

    Nilichohitaji kufanya wakati ule kilikua ni kuingia bafuni kwa ajili ya kuogaย  Maji ili nikitoka nipate chai niliyoagiza. Wakati naelekea bafuni, simu yaย  Zaylisa ilianza kuitaย 

    Nilijishauri mara mbili, nimpelekee au nioge. Nilifikiria huwenda ilikuaย  simu muhimu asubuhi ile, niliona ni Bora nimpelekee jikoni, basi nilikataย  shauri nikaielekea ile simuย 

    Wakati naifikia ilikua inakata, lakini niliona ni Bora niipeleke tu kama niย  simu muhimu ili awahi kuwasiliana na Mtu huyo, niliichukua nikawaย  natoka chumbani, ukaingia Ujumbeย 

    Sijui ni kitu gani kilinifanya niangalie kioo, kumbe ilikua haijafungwa kwaย  nywila. Meseji ilijionesha pale juu, Meseji hiyo ilitoka kwa Mtu aliyemsevuย  kama Mzee wa Mipango.ย ย 

    โ€œZay nakupigia simu hupokei. Nakusistiza usijisahau, upo huko kwaย  mpango maalumโ€ Nilishtuka kidogo, nilijikuta nikipotea kiakili kidogoย 

    Nilisimama huku nikichezesha macho yangu huku na kule kama nilikuaย  natafuta kitu kilichopotea, niligeuza shingo yangu kuelekea chini huku akiliย  yangu ikiniambia kua ujumbe ule ulikua na maana zaidi ya ulivyoandikwa,ย  niliufungua Hadi ndani ya Boksi la jumbe.ย 

    Niliurudia kuusoma tena, hakuna kilichobadilika. Hapakua na Mesejiย  nyingine kutoka kwa Mtu huyo, pengine walikua wakiwasiliana zaidi kwaย  kupigiana simu au zilikua zinafutwa.ย 

    Moyo ulinienda mbio kidogo, meseji ilikua na Fumbo gumu sana.ย  Nilitafakari kwa dakika tatu bila Majibu, niliurudia mstari aliposema โ€œUpoย  huko kwa mpango maalumโ€ย ย 

    Nilijiuliza โ€œ Upo huko Ina maana ni hapa, sasa kama ni hapa amekuja kwaย  mpango gani wakati ni Mpenzi wangu au ulikua ni ujumbe usio wake.?โ€

    Nilishusha pumzi zangu, kwakua simu ilikua mkononi niliona niufute uleย  ujumbe maana asije ona kua nimefungua simu yake, sikutaka kuichunguzaย  tena ile simu, niliirudisha nilipoitoaย 

    Ilianza kuita tena, huku mpigaji akiwa yule yule Mzee wa Mipango.ย  Nikaelekea Bafuni kuoga, Nilioga nikiwa ninaiwaza sana ile simu, sijui hataย  kwanini nilipata wasiwasi Fulaniย ย 

    Nilipomaliza kuoga nilitoka bafuni, macho yangu yalikua na shahuku sana,ย  Moja kwa moja yalielekea kitandani, Bado simu ya Zaylisa ilikua hapo.ย  Wakati najifuta Maji mwilini, simu ilianza kuita tenaย 

    โ€œKwanini huyu Mtu anapiga sana simu?โ€ nilijiuliza, mara Mlangoย  ulifunguliwa haraka, Zaylisa alielekea Moja kwa moja kuchukua simu yake.ย  Nilimdadisi kwa umakini sana nikijifanya naendelea kujifuta Maji kamaย  vile nilikua sijui chochote.ย 

    โ€œImeita muda mrefuโ€ nilisema, alinitazama kidogo huku akionekana kua naย  wasiwasi Fulani usoni pake baada ya kuona ni Nani aliyekua akimpgia. Kisha akaachia tabasamu la kuzuga, tabasamu nililo ligundua haraka sanaย  kua halikutoka moyoni pakeย 

    โ€œDakika Moja baby, naongea na Babaโ€ alisema Kisha aliondoka chumbani,ย  moyo Wangu uliripuka kwa mshituko. Nilijiuliza kama alikua Baba yake,ย  kwanini aliingiwa na wasiwasi au ndio kusema aliyepiga safari hii hakuaย  yule Mzee wa Mipango?ย ย 

    Aliniacha njia panda, akili yangu iligawanyika vipavipande nisijue kipi niย  sahihi na kipi si sahihi. Nilifunika kombe ili mwanaharamu apite lakini akiliย  yangu iliniambia napaswa kumchunguza Zaylisaย 

    Haikuchukua hata dakika tano alirudi akiwa mnyonge sana, nilishtukaย  kumwona akitembea pole pole huku sura yake ikionekana kutokua sawa.ย  Nilimsogelea na kumwulizaย ย 

    โ€œUpo sawa?โ€ alinitazama kwa jicho lililojaa huzuni sana Hadi nilishtukaย  huku nikijiuliza alikua ameambiwa nini na aliyempigia simu.ย 

    โ€œBabeโ€ผโ€ย ย 

    โ€œBaba..โ€ alisema Kisha aliketi kitandani, Nami Niliketi.ย 

    โ€œBaba amefanya nini?โ€ย 

    โ€œJacob, Hali ya Baba siyo nzuri. Nimepigiwa simu na Mama, natakiwaย  kwendaโ€ย 

    โ€œPole sana, basi Wacha tuongozaneโ€ nilisema huku nikiweka taulo pembeniย  ili nipake mafuta na kuvaa nguo.ย ย 

    โ€œHapana, siku nyingine Jacob. Kwa Leo Wacha Mimi niende kwanza,ย  taratibu atakufahamu sawa Mpenzi wangu?โ€ alisema, ilinibidi niwe Mpoleย  ukizingatia ni kweli Wazazi wake walikua hawanifahamu.ย 

    Nilihisi Kuna uwongo usio dhahiri lakini sikuweza kuuthibitisha, Niliketiย  kitandani nikimtazama Zaylisa akijiandaa haraka haraka lakini uso wakeย  ulikua na ukakasi mwingi sana, alikua akinitazama Kila dakika. Alipomalizaย  kujiandaa alinisogelea na kunipa busu Kisha akaniagaย 

    โ€œBye Babeโ€ niliitikia kwa kutikisa kichwa changu, nahisi aligundua kuaย  sijafurahia.ย ย 

    โ€œBasi nisindikize Hadi getini my loveโ€ nilitabasamu kidogo, tukatoka Hadiย  getini. Alikua tayari ameshaita taxi akaingia na kuondoka zake hukuย  nikimsindikiza kwa kutumia macho yangu pekee. Nilishusha pumzi zanguย  baada ya gari kupotea machoni pangu, mkono mmoja ukiwa umeshikiliaย  geti na mwingine ukiwa Mfukoniย 

    Moyo Wangu uliingiwa na Hali ya Wasiwasi sana. Nilirudi ndani taratibuย  nikaketi kwenye Bembea Moja ndani ya Bustani kando ya Eneo laย  maegesho.ย 

    Nilihitaji kutulia zaidi na kuwaza mambo mengi yaliyokua yamepita.ย  Dakika tano zilipita nikiendelea kufikiria, ghafla nilikatishwa na sauti yaย  kugongwa kwa geti, niliuangalia mlango wa kuingilia ndani hapakua naย  dalili ya Msichana Wakazi kutoka, nikaona ni Bora nikafungueย 

    Nilipofungua nilimwona Msichana mmoja, alisimama kwa matege yaย  kurudi nyuma, alikua na nywele ndefu nyeusi zilizoshuka Hadi mabegani.ย  Alikua amevalia mawani nyeupe huku midomo yake ikiwa imekoleaย  โ€˜Lipstikiโ€™ nyekundu.ย 

    Alikua akitabasamu baada ya kuniona, haraka niligundua alikuaย  hajanifananisha na yeyote isipokua Mimi nilikua ni Mtu aliye mtarajia.ย ย 

    โ€˜โ€˜Habari Bosi Jacobโ€ alisema huku akili yangu ikiniambia kua Kuna Siriย  kwenye jina la Bosi, yeye hakua Mtu wa kwanza kunita jina Hilo lakiniย  sikuacha kujiuliza ilikua ni Siri gani nzito iliyojificha? Niliachia tabasamu laย  kusita, huku nikimpa sura isiyo tabirika.ย 

    โ€œNimeleta mzigo uliopaswa kuupokea siku uliyopata ajaliโ€ alisema, Kishaย  alielekea kwenye gari akatoka na boksi dogo Jekundu. Nilikua katikaย  Bumbuwazi, Kisha alinipatia Boksi na kuniambia

    โ€œNakutakia mapumziko Mema pia nakuombea urejee kazini haraka kulikoย  ilivyopangwaโ€ aliondoka aliniacha nikiwa kimya kama Bubu, mkononiย  nilikua na Boksi Jekunduย 

    Macho yangu yalilizunguka Boksi na kugundua palikua pameandikwa jinaย  langu MR. JACOB.ย ย 

    Nilihisi kua nilishawahi kuyaishi Maisha Fulani niliyoyasahau,ย  kumbukumbu zangu zote zilinianbia kua Mimi Jacob ni Kijana masikiniย  asiye na kazi lakini kwanini Watu walikua wakiniheshimu kama Mtuย  mkubwa mwenye utajiri.ย 

    Nilikua nimesimama huku Boksi likiwa mkononi mwangu, nilipepesaย  macho yangu huku nikitafuta kumbukumbu ambazo sikua nazo, lakini akiliย  yangu iliniambia huwenda ndani ya Boksi Kuna kitu muhimu sana,ย  nilifanya haraka nikaingia ndani, Moja kwa moja Hadi chumbani kwanguย 

    Nililiweka lile Boksi kitandani, nilijishika kiuno huku nikiendeleaย  kupambana na Giza nene kichwani kwangu. Niliinama na kulishika tena,ย  hamu ya kufungua na kuona kitu kilichomo ndani ya Boksi ilinijia, taratibuย  nilianza kulifungua huku moyo Wangu ukiwa unadunda sanaย 

    Mara mlango uligongwa, nilijiuliza ni Nani anayegonga wakati Clara naย  Zaylisa hawakuwepo nyumbani, kitu Cha kwanza nilipata wazo laย  kuhifadhia Boksi, nikaliweka chini ya Uvungu wa Kitanda Kisha nikaelekeaย  mlangoniย 

    Nilipofungua mlango nilikutana na sura ya Msichana wa kazi. Aliponionaย  alinitazama sana kama Mtu ambaye alikua anataka kusema kitu lakiniย  alikua akiogopa kufanya hivyo.ย ย 

    โ€œHeyโ€ผโ€ nilimshitua, kweli alikua mbali kifikra.ย ย 

    โ€œAbeeโ€ผ samahani, Dada Clara anataka kuongea nawe, simu iko hewaniย  sebleniโ€ alisema, nilimtazama kidogo. Sikutaka kumwuliza chochote tenaย 

    Nilielekea Sebleni nikimwacha Msichana nyuma yangu, kweli nilikuta simuย  iko hewani, niliiweka simu sikioniย ย 

    โ€œJacob, nilitaka kukujulisha kua nimefika salama Arusha.โ€ Niliisikia sautiย  ya Clara.ย ย 

    โ€œSawaโ€ nilimjibu kwa Mkato Kisha nilisikiliza kama alikua na jambo laย  kusema tena.ย ย 

    โ€œHaya, kesho nitarudi. Uwe na siku njemaโ€ alisema, sikuitikia Bali nilikataย  simu. Kuna kitu kuhusu Clara kilikua moyoni mwangu, kitu hicho kilijifichaย 

    lakini kilianza kuonekana taratibu, kitu chenyewe ni chuki ndogo.ย  Nilipomaliza, niliirudisha kisikilizio eneo husika Kisha nikageukaย  nilikutana na Yule Msichana wa kazi anayeitwa Matilda, alikua akinitazamaย  na ilionesha alikua akisikiliza maongezi yetu.ย ย 

    Nilimvuka na kuelekea Chumbani kwangu. Nikaufungua na kufungaย  mlango kwa nguvu sana, Hali ya hasira ilinijaa hasa nilipokumbukaย  maneno ya Zaylisa kua Clara hapendi kuniona pale kwake.ย ย 

    Nilikumbuka kuhusu Boksi nililolisukumiza Uvunguni, basi niliinama naย  kuanza kupapasa pale nilipoamini lile Boksi lilikua limetulia lakiniย  sikulipata. Niliinama na kuchungulia, palikua peupe, Boksi halikuwepoย  mahala paleย 

    Ilinishangaza sana, Nani atakua amelichukua na kwanini alichukue.ย ย 

    โ€œAu Matilda atakua amelichukua? Kama amelichukua atakua amelionaje,ย  kwanini alichukue?โ€ nilishusha pumzi, harufu ya utata ilikua imejaa puaniย  kwanguย 

    Jasho lilianza kunitoka kama Mtu aliyekua chumba Cha joto, harakaย  nilielekea kugonga chumbani kwa Matilda. Nilikua nahitaji majibu yaย  maswali yanguย 

    Alipofungua mlango alinitazama kama vile alikua akiniona kwa mara yaย  kwanza. Nilimtazama kwa sekunde kadhaa bila kusema chochote kile Kishaย  nilimuuliza kwa sauti kavu iliyokua imejaa mamlaka sanaย 

    โ€œUmechukua Boksi chumbani kwangu?โ€ swali hili liliambatana na kufungaย  ndita zangu, sikutaka mzaha kwasababu niliamini lile Boksi lilikua naย  Fumbo kuhusu Mimi, akili yangu iliniambia Kuna Sehemu ya Maisha yanguย  ilikua imeondoka. Alinitumbulia macho kama vile alikua hajasikiaย  nilichomuuliza, nilimsogelea huku nikiwa nimemtolea macho ya hasiraย 

    โ€œBoksi ulilolichukua chumbani kwangu lipo wapi?โ€ย ย 

    โ€œBoksi?โ€ aliniuliza huku mdomo wake mwekundu wenye upana kiasiย  ukijiminya kwa kukosa neno la kuongezaย 

    โ€œNdiyoโ€ nilisema kwa hasira Hadi chembe za mate zilimrukia usoni,ย  alimeza funda zito la mate nililiona likipita kooni pake kama Nyokaย  aliyemeza panya mnene, jasho likianza kumtoka huku hofu na wasiwasiย  vikimtawala.ย 

    โ€œNaongea na wewe Matilda, umechukua Boksiโ€ nilimshitua tena baada yaย  kuona akili yake ilikua imelala kwa tafakari ya kina, alipepesa kope zaย 

    macho yake, huku akizungusha macho kama kinyonga. Alipata kigugumiziย  Cha sekunde kadhaa Kisha alikuja na jibu kavu huku akiondoa wasiwasiย  aliouonesha awali.ย 

    โ€œSijui hata unauliza kuhusu Boksi gani, Mimi sielewiโ€ sikuacha kumtazama,ย  niliona kuendelea kumuuliza ningepoteza muda mwingi zaidi. Niliondokaย  nikimwacha ameningโ€™inia mlangoni kama konda wa daladala anayedaiwaย  chenji.ย 

    Nilifunga mlango kwa nguvu, sauti ya kuubamiza ikavuma kuashiriaย  nilitumia nguvu nyingi kuufunga. Nilijiuliza lile Boksi lilikua na kitu ganiย  kilichokua maalum, kitu ambacho yule Mtu alidai nilipaswa kupokea sikuย  niliyopata ajali.ย 

    โ€œ Alisema nilipaswa kupokea Boksi siku niliyopata ajali? Mbona ile sikuย  nakumbuka nilienda nyumbani kwao Zaylisa, hapa katikati Kuna Siri ganiย  kuhusu Mimi, kwanini Watu wananipa heshima Mimi masikini nisiye naย  chochote?โ€ nilijiuliza huku nikibadilisha mikao pale chumbani.ย 

    Ghafla tu, wazo la kumpigia simu Zaylisa lilinijia, nilihitaji kujua kamaย  alikua amefika kwa Baba yake. Nilipopiga niliambiwa simu ya Zaylisa ilikuaย  haipatikani, nilipatwa na hasira sanaย 

    Niliketi nikitafakari zaidi, hamu ya kuendelea kua ndani iliniisha. Nilionaย  ni Bora niende mgahawani ambako nilikua nikifanya kazi, japo nilikuaย  nimefukuzwa lakini niliamini huko ningepata mwanga zaidi wa Maishaย  yanguย ย 

    Niliondoka, nikaita Taxi. Safari ya kuelekea mgahawani ilianza. Nafsi yanguย  ilikua kwenye Giza nene, hapakua na mwanga mithiri ya Handaki.

    Nini Kitaendelea? Usikose sehemu ya TISA

    JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย 

    Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA

    Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA

    Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย 

    Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Love xx Loveย 

    riwaya riwaya ya koti jeusi riwaya za kijasusi

    58 Comments

    1. Elinor183 on September 24, 2025 5:15 pm

      https://shorturl.fm/sFDZF

      Reply
    2. Reese1981 on September 24, 2025 7:27 pm

      https://shorturl.fm/kY1h4

      Reply
    3. Hmc on September 24, 2025 8:14 pm

      Fupi sana

      Reply
    4. Halinga23 on September 24, 2025 9:12 pm

      Toa na ya 9 Kaka story tanu kweli

      Reply
    5. Maya on September 24, 2025 9:56 pm

      Nzuri

      Reply
    6. Edward3806 on September 27, 2025 12:51 pm

      https://shorturl.fm/gG9sd

      Reply
    7. Derrick3956 on September 27, 2025 5:16 pm

      https://shorturl.fm/cuR8Z

      Reply
    8. ๐Ÿ”— ๐Ÿ’ธ BTC Deposit - 3.14 bitcoin detected. Claim here > https://graph.org/Get-your-BTC-09-04?hs=5ddcc3379e9fe86e3cbf4e25ad441216& ๐Ÿ”— on October 1, 2025 2:23 pm

      ng8p4v

      Reply
    9. Lachlan4530 on October 2, 2025 7:02 am

      https://shorturl.fm/Q08eL

      Reply
    10. Anne4711 on October 7, 2025 10:41 pm

      https://shorturl.fm/EmYFe

      Reply
    11. ๐Ÿ“‹ โš ๏ธ Important: 1.3 Bitcoin transfer failed. Retry now > https://graph.org/Get-your-BTC-09-04?hs=5ddcc3379e9fe86e3cbf4e25ad441216& ๐Ÿ“‹ on October 9, 2025 3:43 pm

      mn15ao

      Reply
    12. Hazel4273 on October 9, 2025 7:48 pm

      https://shorturl.fm/mAjqC

      Reply
    13. Troy461 on October 9, 2025 8:02 pm

      https://shorturl.fm/QywY6

      Reply
    14. Darby4083 on October 13, 2025 8:16 pm

      https://shorturl.fm/FN6hL

      Reply
    15. mind vault on October 15, 2025 2:16 pm

      **mind vault**

      mind vault is a premium cognitive support formula created for adults 45+. Itโ€™s thoughtfully designed to help maintain clear thinking

      Reply
    16. Johnny1209 on October 19, 2025 5:51 pm

      https://shorturl.fm/UI3Gb

      Reply
    17. Lynn713 on October 21, 2025 4:23 pm

      https://shorturl.fm/0MfQ6

      Reply
    18. prostadine on October 21, 2025 11:12 pm

      **prostadine**

      prostadine is a next-generation prostate support formula designed to help maintain, restore, and enhance optimal male prostate performance.

      Reply
    19. Ruby3241 on October 23, 2025 3:38 am

      https://shorturl.fm/3WwB6

      Reply
    20. sugarmute on October 23, 2025 6:55 am

      **๏ปฟsugarmute**

      sugarmute is a science-guided nutritional supplement created to help maintain balanced blood sugar while supporting steady energy and mental clarity.

      Reply
    21. glpro on October 23, 2025 10:45 pm

      **๏ปฟglpro**

      glpro is a natural dietary supplement designed to promote balanced blood sugar levels and curb sugar cravings.

      Reply
    22. zencortex on October 24, 2025 10:13 am

      **๏ปฟzencortex**

      zencortex contains only the natural ingredients that are effective in supporting incredible hearing naturally.

      Reply
    23. mitolyn on October 24, 2025 10:59 am

      **๏ปฟmitolyn**

      mitolyn a nature-inspired supplement crafted to elevate metabolic activity and support sustainable weight management.

      Reply
    24. yusleep on October 24, 2025 12:56 pm

      **๏ปฟyusleep**

      yusleep is a gentle, nano-enhanced nightly blend designed to help you drift off quickly, stay asleep longer, and wake feeling clear.

      Reply
    25. prodentim on October 24, 2025 1:19 pm

      **prodentim**

      prodentim an advanced probiotic formulation designed to support exceptional oral hygiene while fortifying teeth and gums.

      Reply
    26. synaptigen on October 24, 2025 1:43 pm

      **synaptigen**

      synaptigen is a next-generation brain support supplement that blends natural nootropics, adaptogens

      Reply
    27. vitta burn on October 24, 2025 2:13 pm

      **vitta burn**

      vitta burn is a liquid dietary supplement formulated to support healthy weight reduction by increasing metabolic rate, reducing hunger, and promoting fat loss.

      Reply
    28. nitric boost on October 24, 2025 2:58 pm

      **nitric boost**

      nitric boost is a dietary formula crafted to enhance vitality and promote overall well-being.

      Reply
    29. glucore on October 24, 2025 4:05 pm

      **glucore**

      glucore is a nutritional supplement that is given to patients daily to assist in maintaining healthy blood sugar and metabolic rates.

      Reply
    30. wildgut on October 24, 2025 4:43 pm

      **wildgut**

      wildgutis a precision-crafted nutritional blend designed to nurture your dogโ€™s digestive tract.

      Reply
    31. pineal xt on October 25, 2025 11:48 am

      **pineal xt**

      pinealxt is a revolutionary supplement that promotes proper pineal gland function and energy levels to support healthy body function.

      Reply
    32. energeia on October 25, 2025 1:03 pm

      **energeia**

      energeia is the first and only recipe that targets the root cause of stubborn belly fat and Deadly visceral fat.

      Reply
    33. boostaro on October 25, 2025 1:06 pm

      **๏ปฟboostaro**

      boostaro is a specially crafted dietary supplement for men who want to elevate their overall health and vitality.

      Reply
    34. prostabliss on October 25, 2025 2:30 pm

      **prostabliss**

      prostabliss is a carefully developed dietary formula aimed at nurturing prostate vitality and improving urinary comfort.

      Reply
    35. Damian3514 on October 25, 2025 3:46 pm

      https://shorturl.fm/uevt8

      Reply
    36. potentstream on October 25, 2025 11:44 pm

      **๏ปฟpotentstream**

      potentstream is engineered to promote prostate well-being by counteracting the residue that can build up from hard-water minerals within the urinary tract.

      Reply
    37. hepatoburn on October 26, 2025 8:23 am

      **๏ปฟhepatoburn**

      hepatoburn is a premium nutritional formula designed to enhance liver function, boost metabolism, and support natural fat breakdown.

      Reply
    38. breathe on October 26, 2025 11:18 am

      **breathe**

      breathe is a plant-powered tincture crafted to promote lung performance and enhance your breathing quality.

      Reply
    39. hepato burn on October 26, 2025 3:06 pm

      **๏ปฟhepato burn**

      hepato burn is a potent, plant-based formula created to promote optimal liver performance and naturally stimulate fat-burning mechanisms.

      Reply
    40. cellufend on October 26, 2025 8:41 pm

      **cellufend**

      cellufend is a natural supplement developed to support balanced blood sugar levels through a blend of botanical extracts and essential nutrients.

      Reply
    41. prodentim on October 26, 2025 9:35 pm

      **๏ปฟprodentim**

      prodentim is a forward-thinking oral wellness blend crafted to nurture and maintain a balanced mouth microbiome.

      Reply
    42. neuro genica on October 27, 2025 12:00 am

      **neuro genica**

      neuro genica is a dietary supplement formulated to support nerve health and ease discomfort associated with neuropathy.

      Reply
    43. revitag on October 27, 2025 12:09 am

      **revitag**

      revitag is a daily skin-support formula created to promote a healthy complexion and visibly diminish the appearance of skin tags.

      Reply
    44. flow force max on October 27, 2025 12:19 am

      **flow force max**

      flow force max delivers a forward-thinking, plant-focused way to support prostate healthโ€”while also helping maintain everyday energy, libido, and overall vitality.

      Reply
    45. SarahK on October 27, 2025 5:25 pm

      Helpful, much appreciated.

      Reply
    46. sleep lean on October 27, 2025 9:58 pm

      **sleep lean**

      sleeplean is a US-trusted, naturally focused nighttime support formula that helps your body burn fat while you rest.

      Reply
    47. memory lift on October 29, 2025 3:29 am

      **๏ปฟmemory lift**

      memory lift is an innovative dietary formula designed to naturally nurture brain wellness and sharpen cognitive performance.

      Reply
    48. Kate861 on November 1, 2025 3:59 am

      https://shorturl.fm/IPSAg

      Reply
    49. Lilly3394 on November 6, 2025 3:52 am

      https://shorturl.fm/1egUO

      Reply
    50. Alden945 on November 13, 2025 12:35 pm

      https://shorturl.fm/Hc4x5

      Reply
    51. Sally3114 on November 14, 2025 6:01 am

      https://shorturl.fm/ehW9z

      Reply
    52. Lilly1555 on November 14, 2025 9:05 am

      https://shorturl.fm/X1dHU

      Reply
    53. Julia4903 on November 14, 2025 10:32 pm

      https://shorturl.fm/L9vFJ

      Reply
    54. James273 on November 16, 2025 8:58 pm

      https://shorturl.fm/fUyHR

      Reply
    55. RouletteRogue on November 18, 2025 1:02 pm

      https://t.me/Top_BestCasino/134

      Reply
    56. Margaret2263 on November 26, 2025 6:55 am

      https://shorturl.fm/jiNEo

      Reply
    57. Flora3876 on December 3, 2025 2:19 pm

      https://shorturl.fm/ByxNJ

      Reply
    58. Ivan1842 on December 4, 2025 6:46 pm

      https://shorturl.fm/uvXNz

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Odds za Moto November 8, 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    Kampuni ya michezo ya kubashiri LEONBET Tanzania imezidi kudhihirisha ubunifu wake katika kukuza michezo na…

    In the name of LOVE – 12

    In the name of LOVE – 11

    In the name of LOVE – 10

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.