Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Karibu sana kutazama vichwa vya habari vya magazeti ya hapa nyumbani Tanzania kwa upande wa kurasa za Michezo leo Novemba 30, 2023.
Hii leo klabu ya Yanga imezindua tawi jipya la mashabiki wa klabu hiyo lilopewa jina la YANGA EXPERIENCE MASAKI. Kwenye uzinduzi wa tawi hilo licha ya…
Karibu sana kutazama kile ambacho wahariri wa magazeti ya michezo leo tarehe 29-11-2023 wamekiandika katika kurasa za magazeti ya hapa nyumbani Tanzania.
Kocha Mkuu mpya Benchika ni sababu moja tu kati ya zile 10 za Simba Sports, Ni Kocha mkubwa ambaye ambaye amefanya makubwa sana ila Simba narudia…
Manchester United wamepokea msukumo mkubwa kabla ya kurejea kwa mashindano ya Premier League, huku Luke Shaw akirudi mazoezini. Kamera huko Carrington zimefanikiwa kupata picha za beki…
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally leo akizungumza na Mashabiki kuelekeza mchezo wao dhidi ya Asec Mimomas hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Akizungumza…
Ligi Kuu ya NBC ambayo inarejea na mechi kadhaa zinazochezwa kuanzia leo hadi Novemba 24. Ligi Kuu ya NBC raundi ya 10 inarudi leo, Novemba 22,…
Lionel Messi amekuwa ikoni katika ulimwengu wa soka na sasa anakaribia kuweka rekodi mpya na mnada wa seti ya jezi sita ambazo alizitumia katika Kombe la…
Michuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 barani Afrika imeanza Jumatano, tarehe 15 Novemba, huku nchi zikipambana kuwania nafasi za kushiriki michuano hiyo…