Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Kwa mujibu wa mtandao wa SkySports kutoka nchini Uingereza umeripoti kuwa kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta ataukosa mchezo wa wikiendi hii ambao watakua…
Kiungo mshambuliaji wa Azam Fc, Feisal Salum ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba wa ligi kuu ya NBC huku Bruno Ferry yeye akiibuka kuwa…
Klabu ya Simba leo imekabidhi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko na maporomoko yalitokea katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara mwishoni mwa juma lililopita. Mwenyekiti…
Rais wa Young Africans SC na mwenyekiti wa vilabu vya soka barani afrika ( ACA ) Mhandisi Hersi said ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha…
Manchester City wameshtakiwa na Chama cha Soka nchini England (FA) kwa “kushindwa kuhakikisha wachezaji wao hawakutenda kwa njia ambayo ilikuwa isiyo ya heshima” katika mchezo wa…
David de Gea amekuwa nje ya soka la kulipwa tangu kutimuliwa na Manchester United mwezi wa Julai lakini huenda akajiunga na klabu moja ya ligi kuu…
Mashaka ya Erik ten Hag yameongezeka Manchester United baada ya wachezaji kumgeukia kocha wao baada ya mgogoro na Anthony Martial. Erik ten Hag anakabiliana na mgawanyiko…
Erik ten Hag amepoteza sehemu ya vyumba vya kubadilishia nguo huko Manchester United, huku wachezaji wakihusisha mtindo wake wa mchezo na matibabu ya Jadon Sancho, kulingana…
KOCHA MASHUJAA AKIRI MAMBO NI MAGUMU , MBINU ZIMEJULIKANA Kocha Mkuu wa kikosi cha Mashujaa kutoka Kigoma Abdallah Mohammed almaarufu kama Baresi amekiri kuwa kwa sasa…
CHASAMBI HUYOOO MSIMBAZI , BENCHIKHA APIGILIA MSUMARI USAJILI WAKE MSIMBAZI Moja kati ya stori kubwa inayozungumzwa katika vijiwe vya soka mtandaoni nchini Tanzania ni pamoja na…