Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Mkurugenzi wa Soka nchini Uturuki wamezuia mashindano yote baada ya mwamuzi kupigwa na rais wa klabu. Tukio hili limetokea baada ya mechi ya ligi kuu ambapo…
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Napoli Victor Osimhen ameibuka kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika mwaka 2023. Osimhen ameshinda nafasi…
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limetangaza washindi wa vipengele mbalimbali vya Tuzo za msimu wa mwaka 2023 zikihusisha vilabu na timu za Taifa…
Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limetangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa mashindano ya kombe la dunia ka upande wa klabu (FIFA CLUB WORLD CUP)…
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kuwataka klabu ya Yanga kugharamia uharibifu uliofanyika uwanja…
Ukizungumzia miundombinu ya michezo basi huwezi kuacha kutaja Bara la Afrika kwani lina viwanja vikubwa kadhaa ambavyo huvutia idadi kubwa ya watazamaji pale yanapofanyika matukio mbalimbali…
Wachezaji maarufu wa soka barani Afrika, ikiwa ni pamoja na washindi wa zamani wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika, walijiunga na wenzao wa Morocco katika…
Emery alifichua kwamba hakusalimiana na kikosi cha ufundi cha Arsenal baada ya ushindi mkubwa wa 1-0 kwa sababu Mikel Arteta hakuwepo. Meneja wa Arsenal alipigwa marufuku…
Habari za Chelsea zinaonyesha jinsi Mauricio Pochettino anavyo andamwa tena baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Everton Jumapili iliyopita. Meneja wa Chelsea, Mauricio Pochettino, anatarajiwa kukabiliwa…
Plan ya Simba SC ilikuwa inafanya kazi vizuri sana hasa bila mpira dhidi ya Wydad . 1: Muundo wa 4-5-1 bila mpira , na kwanini walitumia…