Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Serie A inarejea tena na mfululizo mwingine wa mechi mwishoni mwa wiki hii huku Napoli vs AS Roma Uwanja wa Stadio Olimpico siku ya Jumamosi. Uchambuzi…
Mchezo wa ligi, Inter Milan vs Lecce utakaopigwa katika Uwanja wa San Siro katika mchezo wa Serie A Jumamosi hii tarehe 23 Inter Milan hawafungwa katika…
Atletico Madrid vs Sevilla Atletico Madrid kucheza dhidi ya Sevilla uwanja wa Cívitas Metropolitano Jumamosi katika La Liga. Atletico Madrid wanakutana na mchezo huu baada ya…
Mchezo wa Kitayosce vs Young Africans utakuwa ugenini kwa Young Africans katika Uwanja wa Jamhuri (Dodoma) katika Ligi Kuu Bara ya Tanzania. Mchezo huu utaanza saa…
Ligi ya NBC inaendelea leo, Katika mechi za hivi karibuni kati ya Kinondoni MC vs Simba SC, timu hizi zimecheza jumla ya mechi 10. Kinondoni MC…
Ligi Kuu England inarejea tena mechi mwishoni mwa wiki hii wakati West Ham United vs Manchester United mtanange muhimu katika Uwanja wa London West Ham United…
Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula. Kupitia taarifa…
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imepokea taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya kuufungia uwanja wa Uhuru kutotumiwa katika michezo inayoendelea…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)…
BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama ya Ghana…











