Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Bila shaka kila ukitazama mechi za Al Ahly kwenye warmup huwa unaona wachezaji wote wamevaa jezi namba 72. Unajua maana yake!? twende sawa. Februari Mosi, 2012…
Swali langu ni dogo sana kuhusu Azam FC kukosa ubingwa wa Ligi Kuu. Kama tunaitazama Azam FC haina mvuto kwa upande wa KIBIASHARA Sasa hua tunatumiaga…
Ilipoishia ” Robson alijawa na mshangao kumsikia Mama yake akisema kuwa anamjuwa aliyemuuwa Sylvia, alishusha munkari kisha akamuuliza Mama yake kwa utaratibu sana “Unamjuwa aliyempiga risasi…
Ilipoishia “Sylvia akanyanyuka taratibu na kuuelekea Mlangoni ili aangalie ni nani alikuwa akigonga, laiti kama angelijuwa asingeliinuka akaenda mlangoni, Baba yake Robson alitumia maelekezo ya Robson…
Kote duniani biashara ya mpira ndivyo ilivyo mchezaji ni kama mfanya biashara tu siku bidhaa yake ikiwa poa ndio nyakati ambayo hua anatafuta mteja ambaye ataifikia…
Ilipoishia “Mambo kama haya ni lazima kwanza niyaelewe ndipo nifanye uamuzi japo nina imani hadi asubuhi kila kitu kitakuwa kimeisha” Alisema Baba yake Robson, waliondoka Usiku…
Ilipoishia ” Walipomaliza kunywa chai walikodi Tax hadi nyumbani kwa Mage, Wakatumia ukuta kuingilia, kisha Robson akajificha mahali, Mark akagonga mlango. Kelele za kugongwa mlango zilimshtua…
Ilipoishia “Alimtumia meseji Mage akamwabia”asante sana Rafiki yangu” Brahama hakuona sababu ya kutoka tena, alisubiria hadi muda ambao atahisi Sylvia ameamka, hakutaka kumsumbua Mwanamke aliyempenda sana.…
Ilipoishia “Doa likaingia kwenye ndoa ya Robson na Sylvia huku kila mmoja akifikiria kimpango wake, hakuna aliyetaka kujishusha sababu Sylvia alikuwa akiamini anapendwa sana na Robson…
Ni mchezo wa Saba kwao kukutana kwenye Ligi kuu Soka Tanzania bara (Ligi kuu ya NBC) tokea timu hizo zianze kukutana, mchezo wa Leo utakuwa ni…