Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Mataifa ya Afrika yataanza tena safari yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 wiki ijayo. Mechi ya raundi ya 3 na ya 4…
Ilipoishia “Mi simjui, kwani anaishi wapi? Maana kasema ananijua, ameniita na jina.” “Khaa! Kumbe wewe kama sisi. Huyu dada anaishi mitaa hiihii, lakini hakuna hata mmoja…
Saido akiwa Yanga iliishi maisha yenye furaha muda wote, aliheshimika na kuimbwa Kwa melodi tamu zisizomchosha masikio, melodi zilizoisindikizwa na nickname ya “godfather wa Bujumbura”, akiwa…
Ilipoishia “Nilipoanza kuhisi muda unakwenda na hakuna mtu aliyetoka, nikampa dakika tatu kwamba lazima atakuwa anavaa ndiyo maana anachelewa: “Labda alikuwa anajisaidia haja kubwa, maana wengine…
Huenda hii ndio vita yenye mvuto zaidi inayosubiriwa kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga ambao wote hadi…
Ilipoishia “Kazini siku hiyo nilishinda sina amani, sina raha, mwili ulikuwa kama umetoka kufanya kazi nzito ambayo sijawahi kuifanya kwa siku nyingi, wenyeji wa Pwani wanaita…
Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili wa funga kazi unatarajiwa kuwa Mei 28 2024 kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo…
Ilipoishia “Nje, nilikuta taa inawaka, ndani pia taa inawaka, lakini si sebuleni bali kwenye korido. Hii iliashiria kwamba, wale wapangaji wenzangu walisharudi kutoka kwenye biashara zao.…
Sehemu Ya Kwanza “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si…
Aubin Kramo Kouamé(28) ni miongoni mwa majina ambayo Msimu huu wa mashindano unaomalizika mashabiki wa Simba na wadau wengi wa soka walitamani kumuona uwanjani, watu walitaka…