Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
ROUND 1 1 Wednesday, September 17, 2025 KMC FC vs Dodoma Jiji 1600hrs KMC Complex Dar es Salaam 2 Wednesday, September 17, 2025 Coastal Union vs…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 03 “Kumwambia Ukweli Zahoro kua Adui Kimya ni wewe, kilicho mbele ni kumpata Binti yetu Moana Kisha kutafuta njia ya kuelekea…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 02 Walibana pumzi zao vizuri, walianza kuisikia sauti ya Mwanamke. Sauti iliyowauliza “Mko wapi?” ilikua ni ile sauti ya ajabu ya…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01 Hapakua na sauti yoyote iliyosikika, hapakua na Ndege wala wadudu waliopiga kelele. Ghafla Zahoro alisimama, akatoa ishara kwa Anna kusimama…
Mvua kubwa ilikua ikinyesha, baridi Kali lilikua limekivamia Kijiji Cha Nzena. Giza nalo tayari lilikua limeshatua, palikua Kimya. Pazia la chumbani kwa Zahoro lilifunuliwa, Mzee Miroshi…
Mashindano ya TotalEnergies Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 yameingia hatua ya mtoano, baada ya michezo ya mwisho ya makundi kumalizika…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nane “Nakufahamu Zahoro, wewe ndiye jibu la Laana hii. Uliiona kabla haijaingia pia utaiona ikiondoka, huwezi kunielewa kwasasa lakini nitakueleza…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya saba Siku iliyofuata, Serikali iliongeza Watu zaidi ili kumsaidia Waziri kazi ya utafiti eneo la tukio, sio TU wataalam kutokea…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya sita Ghafla, akajikuta ameshika kisu, mikono yake ikiwa imelowa damu. Aliangalia chini— Upendo alikuwa amelala mbele yake, kifua chake kikiwa…
Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tano Waziri akajitupa kitini huku akifumba macho yake, hakujua atamweleza vipi Rais wa Ganza, utajiri uliopotea kwenye Kijiji cha Nzena…