Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ligi Kuu ya Uingereza inarejea tena wiki hii na raundi nyingine ya mechi huku Wolverhampton Wanderers wakivaana na Arsenal ya Mikel Arteta katika mtanange muhimu utakaofanyika…
Je, Taiwo Awoniyi anastahili sanamu Nottingham Forest? Labda. Bado sio wakati huu. Lakini mchango wake katika klabu ya ligi kuu kuwa salama msimu huu ulikuwa mkubwa.…
Mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns, Cassius Mailula, ameelezea sababu ya kuwa na hisia kali baada ya filimbi ya mwisho wakati timu yake iliondolewa katika Ligi ya Mabingwa…
Sampdoria watawakaribisha Sassuolo kwenye uwanja wa Luigi Ferraris siku ya Ijumaa (Mei 26) katika raundi ya mwisho kabla ya Serie A. Wenyeji wamepata kampeni mbaya sana,…
Salah alitoa maoni yake kwenye mitandao ya kijamii muda mfupi baada ya Liverpool kushindwa kumaliza katika nafasi nne bora ambapo Manchester United iliwapiga Chelsea Mshambuliaji wa…
Kabla ya Mchezo wa 5 wa Fainali za Kanda ya Mashariki, kocha wa timu ya Boston Celtics, Joe Mazzulla, alikua ameulizwa kuhusu mtazamo wa timu yake…
Real Madrid wapo karibu kukamilisha usajili wa lengo lao kuu, baada ya miezi mingi ya kuonyesha nia. Jude Bellingham amekuwa kipaumbele cha kwanza kwa Florentino Perez,…
Katika ushindi wa Manchester United dhidi ya Chelsea, Marcus Rashford aliweka rekodi inayolingana na rekodi ya Robin van Persie Nyota wa Man United, Marcus Rashford alifunga…
Man Utd wametinga nne bora na kurejea Ligi ya Mabingwa Kikosi cha Erik ten Hag washinda 4-1 dhidi ya Chelsea kuacha Liverpool katika Ligi ya Uropa…
La Liga ya 2022-23 inarejea na mfululizo mwingine wa mechi wiki hii wakati Osasuna wanapambana na kikosi cha Athletic Bilbao cha Ernesto Valverde katika mchezo muhimu…











