Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Hadithi
Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE Basi, niliendesha gari kwa mwendo wa kawaida sana maana mvua ilikua ikinyesha tena haikua mvua ndogo…
Ilipoishia sehemu ya pili ya In the name of LOVE “Sikumbuki chochote Clara, natamani nikumbuke ili nijuwe tunapoelekea” “Hofu ondoa, Kila kitu kinahitaji muda kukifahamu. Jipe…
Ilipoishia sehemu ya kwanza ya In the name of LOVE “Ndiyo, nilikua napita tu.” “Kuna harusi” “Harusi?” “Ndiyo, vipi umeshtuka Mzee?” “Nani anaolewa?” “Mtoto wa Mwenye…
“Jacob, nataka kuujua Msimamo wako kwangu. Utaniowa lini?” Aliuliza Zaylisa, Nilishusha pumzi zangu. Nikageuka huku na kule kama Kuna Mtu alikua anatusikiliza pale Mgahawani. Nilikua nimevalia…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 07 “Unajua nini wewe?” Wakati huo Damu nyingi zilikua zikimtoka Mfalme Selasi, akamwambia Anna “Unaenda kutafuta Pete ya Baba Yako, Mimi…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 06 Walipofika shangwe liliibuka kwa Wananchi waliamini kua kumwaga Damu kutawasaidia Mji wao kuendelea kua na nguvu zaidi. Miongoni mwa Walioletwa …
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 05 Lakini walijua wazi… safari ya kuelekea Patiosa haikuwa tena ya kutafuta msaada. Ilikuwa safari ya maisha au kifo. Kutupwa kwa…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 04 “Nina amini, Mji wa Patiosa una majibu ya maswali mengi. Siri nyingi zitafunguka” alisema akimtazama Anna ambaye alianza kuonesha Mashaka…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 03 “Kumwambia Ukweli Zahoro kua Adui Kimya ni wewe, kilicho mbele ni kumpata Binti yetu Moana Kisha kutafuta njia ya kuelekea…
Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 02 Walibana pumzi zao vizuri, walianza kuisikia sauti ya Mwanamke. Sauti iliyowauliza “Mko wapi?” ilikua ni ile sauti ya ajabu ya…