Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Kiungo wa klabu ya Simba, Sadio Kanoute ataukosa mchezo wa marudiano wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Athletic Club. Kanoute ataukosa…
Kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara, michuano ya ngao ya jamii ambayo msimu huu imekuja kwa muundo wa vilabu 4 kukutana hatua…
Duniani kuna michezo mingi ambayo kila mchezo una mashabiki wake ingawa mengine unaweza kuwa hata huifahamu. Miongoni mwa michezo inayofahamika na yenye mashabiki wengi duniani ni…
Stade de Marrakech ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Marrakech, Morocco. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua takribani watazamaji 45,240 na unatumika hasa kwa…
Medeama walikuwa na 4-3-3 lakini walikuwa wakienda kushambulia wanakuwa 4-2-3-1 kiungo mmoja anakuwa nyuma ya straika Jonathan Sowah ambaye kulia na kushoto ana mawinga wawili ……
Mechi iliyotarajiwa kuwa nzuri lakini mwenendo wa mwamuzi uliharibu ladha nzima ya mechi! Mwamuzi alikuwa wa kiwango cha chini mno! Kila timu iliona inammudu mwenzie tu…
Uwanja wa Baba Yara ni uwanja mkubwa wa mpira wa miguu uliopo Kumasi, mji wa pili kwa ukubwa nchini Ghana. Uwanja huo uko katika eneo la…
Kuelekea mchezo wa hapo baadae Medeama dhidi ya Yanga, nauona mchezo ambao Yanga watataka kuutumia ili kurejesha matumaini yao. Medeama tayari wana alama 3 huku Yanga…
Klabu ya Azam imeendelea kuonesha balaa lao katika ligi kuu Tanzania bara kwa kuwafunga klabu ya KMC Mabao 5 kwa 0. KMC walipoteza idadi kama hiyo…
Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza vipengele na wachezaji wanaowania ndani ya vipengele hivyo katika Tuzo zitakazofanyika tarehe 11/12/2023. Katika vipengele hivyo CAF…