Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Klabu ya soka ya Simba imetangaza rasmi viingilio vya mchezo utakaowakutanisha Simba dhidi ya Wydad katika dimba la Benjamin Mkapa tarehe 19. Taarifa hiyo kutoka kwa…
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria Asisat Oshoala ameshinda tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa Wanawake wa CAF 2023 kwa kuweka rekodi ya kushinda tuzo…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa aliekua mchezaji wake Gael Bigirimana. Taarifa hiyo…
Klabu ya soka kutoka nchini Saudi Arabia Al Ittihad imeanza vyema kampeni zake za kuchukua ubingwa wa kombe la dunia upande wa klabu kwa kumchapa Auckland…
Klabu ya soka ya wanawake ya Simba ( Simba Queen) imefanikiwa kutwaa Ngao Ya Jamii mwaka 2023 kwa JKT Queens kwa penati 5:4 kufuatia sare ya…
Bila shaka leo ndie ile siku ambayo mashabiki wengi wa soka Tanzania Bara wanasubiri kutazama mechi ya fainali ya Ngao ya Jamii kwa mwaka 2023 inayowakutanisha…
Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) imeendelea kushika hatamu na rekodi mblimbali zikiendelea kuwekwa katika ligi hiyo. Mpaka sasa anayeongoza ligi ni Azam Fc akiwa…
EUROPE: UEFA Champions League 19:45 Lens – Sevilla 🇪🇸 19:45 PSV – Arsenal 22:00 Copenhagen – Galatasaray 22:00 Inter – Real Sociedad 22:00 Manchester Utd -…
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Napoli Victor Osimhen ameibuka kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika mwaka 2023. Osimhen ameshinda nafasi…
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limetangaza washindi wa vipengele mbalimbali vya Tuzo za msimu wa mwaka 2023 zikihusisha vilabu na timu za Taifa…










