Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hasan Mwinyi ulioko Tabora kutumika katika mechi za ligi baada ya kukidhi vigezo vya kikanuni…
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imeanza rasmi huku mabingwa watetezi, JKT Queens na washindani wao wa karibu, Simba Queens wakianza kwa kugawa dozi nzito. Timu…
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche ameteua wachezaji 53 kwa ajili ya kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliowakutanisha mabingwa watetezi Yanga SC, umemalizika kwa Yanga kuendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema kuwa wamepokea mashine za VAR zitakazotumika kuratibu soka la Tanzania Bara kutoka Shirikisho la…
Michuano ya kombe la mataifa barani Afrika kwa mwaka2023 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi January 12 nchini Ivory Coast huku mataifa 24 yaliyofuzu yakishiriki katika mashindano hayo.…
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inatarajiwa kuanza kutimua vumbi tarehe 13/1/2023 na hii ni ratiba kamili ya michuano hiyo. Jumamosi Januari 13 Kundi A:…
Klabu ya Al Ahly kutoka nchini Misri imefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia kwa klabu baada ya ushindi mzito wa bao…
Klabu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3:0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa Uhuru…
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samata, ameendelea kuandika historia mpya katika ulimwengu wa soka baada ya klabu yake ya PAOK kutoka ligi kuu…