Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Baada ya kuchukua ubingwa wa dunia ngazi ya vilabu klabu ya Man City walirejea na ushindi ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Everton na Sheff Utd…
Wakiwa nyumbani msimu huu klabu ya Arsenal katika mechi 5 za mwisho wamepoteza mchezo mmoja pekee dhidi ya West Ham kwa mabao 2:0 huku wakishinda michezo…
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…
Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Stamford Bridge klabu ya Chelsea wanakutana na Preston katika mchezo wa 32 bora kombe la FA. Chelsea wanaingia katika…
Baada ya kutoka sare mchezo uliopita dhidi ya Genoa hii leo Inter Millan wanarejea katika uwanja wa San Sirro kukipiga dhidi ya Verona katika mchezo wa…
Moja kati ya vitu vinavyovutia kwenye mpira wa miguu ni pamoja na majina ya utani ambayo wachezaji hupewa na mashabiki wa soka lakini pia na majina…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza ongezeko la asilimia 40 la pesa kwa mshindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika la TotalEnergies (Afcon) Ivory…
Ni takribani wiki moja sasa imebakia kabla michuano ya AFCON haijaanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali nchini Ivory Coast ambapo itaanza kuchezwa Januari 13 mpaka Februari…
Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abbullah ameupogeza uongozi wa Klabu ya Simba kwa kuamua kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya…