Ilipoishia sehemu ya kwanza ya In the name of LOVE “Ndiyo, nilikua napita tu.” “Kuna harusi” “Harusi?” “Ndiyo, vipi umeshtuka Mzee?” “Nani anaolewa?” “Mtoto wa Mwenye…
“Jacob, nataka kuujua Msimamo wako kwangu. Utaniowa lini?” Aliuliza Zaylisa, Nilishusha pumzi zangu. Nikageuka huku na kule kama Kuna Mtu alikua anatusikiliza pale Mgahawani. Nilikua nimevalia…