Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    In the name of LOVE – 12

    In the name of LOVE – 11

    In the name of LOVE – 10

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01
    Hadithi

    Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01

    Kaka MkubwaBy Kaka MkubwaAugust 20, 2025Updated:September 5, 202551 Comments6 Mins Read6K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mvua kubwa ilikua ikinyesha, baridi Kali lilikua limekivamia Kijiji Cha Nzena.ย  Giza nalo tayari lilikua limeshatua, palikua Kimya. Pazia la chumbani kwa Zahoro lilifunuliwa, Mzee Miroshi alikua amesimama akimtazama Zahoro aliyekuaย  Usingizini.ย 

    Mwanga hafifu wa kibatari ulikua ukiendelea kukifanya chumba Kiwe na Nuruย  kidogo, Mzee Miroshi aliingia chumbani Kisha aliketi juu ya kitandan Cha Kambaย  alicholala Mwanayeย 

    Aliutazama uso wa mwanawe kwa muda mrefu, kana kwamba alikuwa akijifunzaย  kitu kutoka katika kila mstari wa uso wake. Pumzi yake ilikuwa nzito, macho yakeย  yakionesha huzuni iliyojificha kwa miaka mingi.ย 

    โ€œZahoroโ€ฆโ€ aliita kwa sauti ya chini sana, karibu kama mnongโ€™ono, lakini kijanaย  huyo hakuamka. Mvua iliendelea kupiga dari ya nyasi kwa nguvu, kila toneย  likiambatana na sauti kama ya dondosha ya mshituko.ย 

    Mzee Miroshi alinyosha mkono wake polepole, akaushika mkono wa Zahoro.ย  Mikono ya kijana huyo ilikuwa baridiโ€”baridi isiyo ya kawaida, kana kwambaย  mwili wake haukuwa na uhai.ย 

    โ€œSamahani, mwanangu,โ€ alizungumza tena kwa sauti ya chini, โ€œlakini kuna jamboย  lazima lifanyike kabla ya alfajiri.โ€ย 

    Ghafla, nje ya chumba, paka mweusi alilia kwa sauti ya kutisha. Mbwa wa jiraniย  wakaanza kubweka kwa hofu. Ndani ya chumba, mwanga wa kibatari ulianzaย 

    kuyumba-yumba, kana kwamba ulikuwa ukipigana na upepo wenye nguvu isiyo onekana.ย 

    Mzee Miroshi alisimama, akafungua mfuko mdogo wa ngozi alioubeba tanguย  asubuhi. Ndani yake kulikuwa na kitu kilichofunikwa kwa vitambaa vitakatifu vyaย  miaka mingi. Alikitoa kwa hofu na kumtazama mwanawe kwa mara ya mwishoย  kabla ya kuanza kulia kimya kimya.ย 

    Kimya cha kijiji kilikatizwa na mlio wa radi kaliโ€”na hapo ndipo kila kitu kilianzaย  kubadilikaโ€ฆย 

    Radi ilipopiga, mwanga wake uliangaza kwa sekunde chache chumba cha Zahoro,ย  na kwa mara ya kwanza, Mzee Miroshi aliona kivuli kikisimama pembeni yaย  mlango wa chumba hicho. Moyo wake uliruka. Hakuweza kusogea. Kivuli hichoย  hakikusogea pia, kilionekana tu kama kimya kilicho haiโ€”kikitazama.ย 

    Alifumba macho, akavuta pumzi ndefu, kisha akakifunika tena kile kitu alichokitoaย  kwenye mfuko wake wa ngozi. Alijua hakikuwa wakati wa kukikabidhi bado, japoย  ndicho kitu pekee kinachoweza kumlinda Zahoro na kuvunja kile alichoaminiย  kuwa ni laana ya Bi. Lugumi.ย 

    โ€œUsiingilie muda,โ€ sauti ya kike ilisikika ikinongโ€™ona karibu na sikio lake.ย  Aligeuka kwa haraka, lakini hakuona mtu. Jasho lilianza kumtoka. Alijua alikuwaย  amechelewa. Alijua macho ya kale yanamtazama, yakihoji, yakimlaumu.ย 

    Zahoro alianza kuhema kwa nguvu, uso wake ukionekana kuteseka na ndoto nzito.ย  Alipiga kelele moja, kisha akanyamaza tena ghaflaโ€”kimya kama kifo. Mzeeย  Miroshi alinyanyuka haraka na kumtikisa, โ€œZahoro! Mwanangu, amka!ย  Usimruhusu akuone!โ€

    Lakini Razaro hakuamka. Badala yake, midomo yake ilianza kunongโ€™ona manenoย  yasiyoelewekaโ€”lugha ya kale, isiyo ya kawaida. Mwanga wa kibatari ukazimaย  ghafla. Giza likatawala.ย 

    Ndani ya giza hilo, sauti ya mtoto ikasikika kutoka kona ya chumba. โ€œMbona mmechelewa tenaโ€ฆ?โ€ย 

    Sauti hiyo ilimfanya Mzee Miroshi asimame barabara, uso wake ukiwa mweupeย  kama karatasi. Alijua sauti hiyo. Ilikuwa ya Masumbukoโ€”mtoto wa kwanza waย  kijiji aliyechukuliwa miaka mingi iliyopita, usiku kama huo.ย 

    Papo hapo, Zahoro alishtuka kutoka Usingizini na kugundua ilikua ni ndoto mbayaย  iliyomshtua. Jasho lilikua likimtoka, ndevu nyingi zilikua zimemwota. Umri wakeย  haukua ule wa awali, Miaka Thelathini ilikua imepita tayariย 

    Alikua ndani ya pango, Miaka yote hakufanikiwa kutoka ndani ya Kijiji Chaย  Nzena, Kijiji kilicholaaniwa. Aliishikilia Sehemu ya kifua ambayo moyo hukaaย  hapo, alihisi mapigo yasiyo ya kawaida. Aliitazama Kando yake, palikua naย  Mwanamke aliyelala pamoja na Mtoto wa Miaka mitano.ย 

    Taratibu Zahoro alinyanyuka. Alishafikisha Miaka 52, alikua Mwanaumeย  aliyekamilika lakini aliyechoka Maisha ya kutisha. Alisogea taratibu Hadi nje yaย  Pango, akasimama juu ya Mlima na kulitazama jua likiwa linazama.ย ย 

    Macho yake yalikua mazito sana, yalijaa uzito usio wa kawaida. Alijilazimishaย  kulitazama jua Kisha akaulizaย 

    โ€œKanakwamba unanitazama na huwezi kunisaidia?โ€ jua liliendelea na safari yakeย  kama vile halikusikia swali lililoulizwa, Zahoro alikohoa kidogo kabla ya kuisikiaย  sauti nyuma yakeย 

    โ€œHujachoka?โ€ ilikua ni sauti ya Kike, nyuma yake alisimama Mwanamkeย  aliyemtazama Zahoro kwa jicho kavu. Zahoro alipogeuka akasema

    โ€œAnna, aliyechoka ni yule aliyepata. Nafikiria kuhusu Binti yetu Moana, bahatiย  mbaya kwake hajawahi kumwona Binadamu tofauti na Mimi na weweโ€ alisemaย  kwa huzuni sana Zahoro.ย 

    โ€œMh! Nani angefika Kuzimu Baba Moana, tumesubiria sababu ya kurudi Dunianiย  kwa Miaka yote Hadi tumepata Mtoto huku. Wote wamekufa, ni sisi pekee Ndiyoย  tunaishi hukuโ€ alisema Kisha akamsogelea karibu Zahoro.ย 

    โ€œTuna Kila sababu ya kufanya safari kutoka hapa. Tukatafute Sehemu nyingine yaย  Kuzimu, pengine Kuna Mji mwingine uliopotea kama Kijiji Cha Nzenaโ€ alisemaย  Zahoro.ย 

    โ€œSawa, lakini sasa Adui yetu ni Kimya. Ni ngumu sana kupambana na Aduiย  anayewinda Sauti Zahoro, lakini kuendelea kuishi pangoni hakutasaidia, ni Boraย  tufanye safari kama ulivyosemaโ€Alisema Anna. Taratibu aliondoka na kurejeaย  pangoni.ย 

    Razaro hakuacha kulisindikiza jua likizama mbele ya macho yake, Kisha Nuru yaย  Giza iliingia, alitembea Kurudi ndani ya Pango.ย 

    ***ย 

    Siku iliyofuata, Zahoro, Mtoto Moana pamoja na Anna. Walikua tayari kwa ajili yaย  kuondoka ndani ya Pango ili kutafuta Makazi mengine. Ilikua ni huzuni kuondokaย  ndani ya Pango Hilo salama ambalo waliishi kwa Miaka Thelathini.ย 

    โ€œBaba, tunaenda wapi?โ€ aliuliza Moana, alikua amevalia nguo chakavu. Zahoro alichuchumaa na kumwambia Moana kwa sauti ya utaratibu sana.ย 

    โ€œTunaenda kuishi Sehemu nyingine salama zaidi. Usijaliโ€ Moana aliachiaย  tabasamu, sura yake ya mviringo na macho ya kudumbukia ndani vilimfanyaย  aonekane ni Mtoto mzuri sana, bila kujalisha wanaishi Maisha gani alikubaliana naย  Hali halisi licha ya kuisikia TU Hadithi ya Dunia ilivyo.ย 

    Walibeba chakula kidogo walichobakiwa nacho, mizizi na baadhi ya mabaki yaย  nyama. Kisha Zahoro akamfunga kitambaa usoni Moana, halafu wao wakajiwekaย  sawa kwa kulegeza vitambaa kichwani.

    Adui Yao Mpya alikua ni KIMYA. Yeye ni Adui waliyemwogopa sana kuliko sautiย  ya Bibi Lugumi. Waligeuka kulitazama Pango kwa huzuni sana, waliishi hapo kwaย  usalama kwa Miaka Mingi.ย ย 

    Taratibu Anna alimtazama Zahoro, ulikua ni wakati wao wa kuondoka. Walianzaย  safari taratibu, kwa utulivu wa Hali ya Juu sana. Walishuka kutoka Kilimani Kishaย  waliupa mgongo.ย 

    Taratibu wakaingia Msituni huku lengo lao likiwa ni kuelekea Mtoni, wasafiriย  kupitia Maji ya Mto huo.ย ย 

    Msitu ulikua kimya na wenye kutisha sana, palikua na kinvuli Kila walipopitaย  kutokana na Kua na miti mingi mikubwa. Majani mengi yaliyooza yalikua aridhini,ย  hapakua na njia rasmi isipokua vichochoro.ย 

    Anna alikua amembeba Moana Mgongoni, Zahoro alikua ameshikilia kifurushiย  Cha chakula. Mioyoni Yao ilizungumza zaidi, huku lugha pekee waliyokuaย  wakiitumia ilikua ni ishara.ย 

    Zahoro alikua ndiye kiongozi wa msafara, alihakikisha anafanya awezalo waufikieย  Upande wa Pili wa Mto. Wakiamini pengine wangeliweza kupata msaada huko,ย  anga lilikua la kahawia, huku jua Kali likiendelea kuwaka.ย 

    Hapakua na sauti yoyote iliyosikika, hapakua na Ndege wala wadudu waliopigaย  kelele. Ghafla Zahoro alisimama, akatoa ishara kwa Anna kusimama piaย 

    Sauti ya ajabu ilianza kusikika kama kuna kitu kikubwa kinakaribia kutokea juu.ย  Zahoro, aliyekuwa ni mtu wa tahadhari, hakutaka kugeuka haraka. Badala yake,ย  alivuta hisia zake kwa umakini zaidi. Taratibu, aligeuka na kutazama juuโ€” palikuwa na nyoka mkubwa mweusi aliyekuwa akishuka kwa taratibu, kwa mtindoย  wa kuvizia.ย 

    JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย 

    Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA

    Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA

    Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย 

    riwaya riwaya mpya riwaya za kijasusi riwaya za kuvutia

    51 Comments

    1. Maestro05 on August 20, 2025 5:24 pm

      Welcome Back Admin

      Reply
    2. Weld on August 20, 2025 5:55 pm

      Tamu

      Reply
    3. Sarah on August 21, 2025 1:51 pm

      Nice๐Ÿ™Œ

      Reply
    4. blackpass on August 21, 2025 10:05 pm

      I couldn’t refrain from commenting. Exceptionally well written!

      Feel free to visit my homepage; blackpass

      Reply
    5. Alvin4494 on August 22, 2025 7:27 pm

      https://shorturl.fm/ynZlb

      Reply
    6. Jonathan1739 on August 24, 2025 6:13 am

      https://shorturl.fm/MoLX7

      Reply
    7. black pass on August 24, 2025 4:26 pm

      I’m no longer positive where you are getting your info, however good topic.
      I needs to spend some time finding out much more or working
      out more. Thank you for fantastic information I was looking for this information for my mission.

      My web page … black pass

      Reply
    8. blackpass biz on August 24, 2025 10:24 pm

      If you are going for best contents like myself, just pay a visit this website all the time since it presents quality contents, thanks

      my webpage blackpass biz

      Reply
    9. blackpass biz on August 25, 2025 3:05 pm

      I do not even know how I ended up here, but I thought this post was great.
      I do not know who you are but definitely you are going
      to a famous blogger if you aren’t already ๐Ÿ˜‰ Cheers!

      Here is my site blackpass biz

      Reply
    10. blackpass on August 25, 2025 7:22 pm

      Wonderful beat ! I wish to apprentice while you amend your site, how could i subscribe for a blog site?
      The account helped me a acceptable deal. I have been tiny bit familiar of
      this your broadcast offered brilliant clear
      concept

      My page: blackpass

      Reply
    11. ๐Ÿ” ACCOUNT NOTICE - Suspicious transaction of 1.5 Bitcoin. Cancel? => https://graph.org/COLLECT-BTC-07-23?hs=3d8e132ca395648c5507cb7a9bae011e& ๐Ÿ” on August 26, 2025 8:47 pm

      jzejm9

      Reply
    12. ๐Ÿ” System; Transfer 1.8 BTC failed. Verify now => https://graph.org/OBTAIN-CRYPTO-07-23?hs=3d8e132ca395648c5507cb7a9bae011e& ๐Ÿ” on August 27, 2025 10:37 am

      fzkcb0

      Reply
    13. โš™ โš ๏ธ Verification Needed: 0.6 Bitcoin transaction held. Resume here >> https://graph.org/UNLOCK-CRYPTO-ASSETS-07-23?hs=3d8e132ca395648c5507cb7a9bae011e& โš™ on August 28, 2025 4:49 am

      0cb1v6

      Reply
    14. prozone cc on August 28, 2025 9:25 am

      Please let me know if you’re looking for a article author for your blog.

      You have some really great articles and I think I would be a good asset.
      If you ever want to take some of the load off, I’d really like to write some articles for your blog in exchange for a link back to mine.
      Please shoot me an e-mail if interested. Regards!

      Also visit my web page :: prozone cc

      Reply
    15. Leona3051 on August 29, 2025 4:55 pm

      https://shorturl.fm/KtRP0

      Reply
    16. Trinity3438 on August 31, 2025 12:03 am

      https://shorturl.fm/5NQra

      Reply
    17. ใƒฉใƒ–ใ‚ฐใƒƒใ‚บ on August 31, 2025 12:29 am

      My spouse and I stumbled over here from a different web address and
      thought I might check things out. I like what I see so now i am
      following you. Look forward to finding out about
      your web page for a second time.

      Reply
    18. Sophia1239 on August 31, 2025 3:13 pm

      https://shorturl.fm/O0YOW

      Reply
    19. bclub mom on September 2, 2025 6:19 pm

      Hello to every one, it’s in fact a pleasant for me to go to
      see this web site, it consists of helpful Information.

      Also visit my web page: bclub mom

      Reply
    20. briansclub on September 2, 2025 6:29 pm

      My partner and I absolutely love your blog and find most of your post’s
      to be what precisely I’m looking for. can you offer guest writers
      to write content for you personally? I wouldn’t mind producing
      a post or elaborating on a few of the subjects you write regarding here.
      Again, awesome web log!

      My web blog – briansclub

      Reply
    21. bclub tk on September 2, 2025 6:30 pm

      This excellent website really has all of the information I needed about this subject and didn’t know who to ask.

      my page; bclub tk

      Reply
    22. briansclub cm on September 2, 2025 11:53 pm

      Hi, i think that i saw you visited my blog
      so i came to โ€œreturn the favorโ€.I’m trying to find things to improve
      my website!I suppose its ok to use a few of your ideas!!

      Here is my blog; briansclub cm

      Reply
    23. Edith1298 on September 4, 2025 1:34 am

      https://shorturl.fm/jbHCj

      Reply
    24. savastan on September 5, 2025 6:53 pm

      After I originally left a comment I appear to have clicked the
      -Notify me when new comments are added- checkbox and from now on every time a comment is added I receive four emails
      with the exact same comment. Is there a means you are able to remove me from that service?
      Thanks!

      Here is my webpage … savastan

      Reply
    25. savastan0 cc on September 5, 2025 6:54 pm

      Greetings! I’ve been following your weblog for
      a while now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout
      out from Humble Tx! Just wanted to say keep up the fantastic work!

      Also visit my webpage … savastan0 cc

      Reply
    26. savastan0.tools on September 5, 2025 7:47 pm

      Today, while I was at work, my sister stole my apple ipad
      and tested to see if it can survive a 30 foot drop,
      just so she can be a youtube sensation. My iPad is now broken and she has 83 views.
      I know this is totally off topic but I had to share it with someone!

      Visit my site :: savastan0.tools

      Reply
    27. savastan0. cc on September 5, 2025 7:50 pm

      This is my first time go to see at here and i am actually pleassant to read everthing at single place.

      Stop by my page savastan0. cc

      Reply
    28. savastan0.tools on September 5, 2025 7:54 pm

      I’m gone to inform my little brother, that he should
      also pay a visit this blog on regular basis
      to get updated from latest information.

      Here is my web-site :: savastan0.tools

      Reply
    29. savastan on September 5, 2025 8:00 pm

      Your style is really unique in comparison to other folks
      I have read stuff from. Thank you for posting when you’ve
      got the opportunity, Guess I will just bookmark this blog.

      Feel free to visit my homepage savastan

      Reply
    30. Solar Scotland on September 6, 2025 6:02 pm

      Howdy I am so happy I found your weblog, I really found
      you by error, while I was searching on Bing for something else, Nonetheless
      I am here now and would just like to say cheers for a incredible post
      and a all round entertaining blog (I also love
      the theme/design), I donโ€™t have time to go through it all at the moment but I have bookmarked it and also added in your RSS feeds, so when I have time I will be back to read much more,
      Please do keep up the great jo.

      Reply
    31. ultimateshop on September 9, 2025 10:12 pm

      I know this web site presents quality dependent articles or reviews and
      other material, is there any other web site which presents these
      information in quality?

      Feel free to surf to my blog post; ultimateshop

      Reply
    32. ultimateshop on September 9, 2025 10:12 pm

      Nice post. I was checking continuously this blog and I am impressed!
      Extremely useful information particularly the last part
      ๐Ÿ™‚ I care for such info a lot. I was looking for this certain information for a very long time.
      Thank you and best of luck.

      Here is my web-site – ultimateshop

      Reply
    33. ultimateshop on September 9, 2025 10:14 pm

      Great post. I used to be checking constantly this blog and
      I am impressed! Extremely helpful information specially the closing section :
      ) I take care of such information much. I was looking for this particular information for a
      very lengthy time. Thanks and best of luck.

      My page – ultimateshop

      Reply
    34. ultimateshop ru on September 9, 2025 10:14 pm

      Great post. I was checking constantly this blog and I’m impressed!
      Extremely helpful information specifically the last part ๐Ÿ™‚ I care for such information a lot.
      I was seeking this certain information for a long time. Thank you and best of luck.

      My web-site: ultimateshop ru

      Reply
    35. ultimateshop vc on September 9, 2025 10:54 pm

      Good day! This is kind of off topic but I need some help from an established blog.
      Is it very difficult to set up your own blog?
      I’m not very techincal but I can figure things out
      pretty fast. I’m thinking about setting up
      my own but I’m not sure where to begin. Do you have any points or suggestions?
      Thank you

      My blog post … ultimateshop vc

      Reply
    36. ultimateshop login on September 9, 2025 11:28 pm

      I am no longer sure the place you’re getting your information, however great topic.
      I must spend some time finding out more or working out more.
      Thank you for wonderful information I was in search of this information for my mission.

      Stop by my web blog … ultimateshop login

      Reply
    37. ultimateshop vc on September 10, 2025 3:15 am

      Greetings! Very useful advice in this particular post!
      It is the little changes that will make the
      largest changes. Thanks a lot for sharing!

      My webpage; ultimateshop vc

      Reply
    38. findsome cc on September 15, 2025 1:43 pm

      Hello there, I discovered your blog by the use of Google
      at the same time as searching for a similar subject,
      your website came up, it seems great. I have
      bookmarked it in my google bookmarks.
      Hi there, just become alert to your blog through Google,
      and found that it’s really informative. I’m
      gonna be careful for brussels. I’ll appreciate should you continue this in future.
      Lots of other people shall be benefited from
      your writing. Cheers!

      Here is my blog: findsome cc

      Reply
    39. findsome cc on September 15, 2025 2:45 pm

      I blog often and I seriously thank you for your content. Your article has truly peaked my interest.
      I am going to bookmark your website and keep checking for new details about
      once per week. I subscribed to your RSS feed too.

      Visit my blog … findsome cc

      Reply
    40. findsome on September 15, 2025 3:28 pm

      Hi there to every body, it’s my first pay a quick visit of this web
      site; this website includes remarkable and
      genuinely fine material in support of visitors.

      Feel free to surf to my website findsome

      Reply
    41. findsome.ru on September 15, 2025 4:53 pm

      Hey there! This is my first comment here so I just
      wanted to give a quick shout out and say I truly enjoy
      reading through your articles. Can you suggest any other blogs/websites/forums that deal with the same topics?
      Thanks a ton!

      Feel free to visit my web blog … findsome.ru

      Reply
    42. findsome.ru on September 28, 2025 11:30 am

      Superb, what a webpage it is! This webpage gives helpful facts to us,
      keep it up.

      my website :: findsome.ru

      Reply
    43. russianmarket on September 28, 2025 12:22 pm

      Nice respond in return of this query with real arguments and describing everything about that.

      My blog :: russianmarket

      Reply
    44. ultimateshop on September 29, 2025 10:09 am

      Ultimateshhop.to | Welcome to ultimateshop ru best shop cvv and dumps shop. UltimateShop is a darknet shop that sells dumps, fulls with PIN.

      Reply
    45. call girl Lahore on October 1, 2025 2:10 pm

      Call girls in Lahore Agency offer a wide selection of Hot Sexy VIP Call girls for incall service with free hotel rooms 24 7 come to Our Reliable & Trusted Call girls Agency, the best and most well-known Call girls in Lahore. We always offer 50% off our Escorts services. Cash Payment is Available. Our Call girls Escorts Agency are popular with people who enjoy having fun. They like beautiful partners and stay out all night.

      Reply
    46. Lahore call girls on October 1, 2025 2:11 pm

      We have Hot Sexy call girls in Lahore You can find Models, TikTok Stars, TV actress, Housewife Lahore call girls. Our hot call girls in Lahore will make your sexual dreams come true. Our service is rated 5 stars for providing high-class real call girls at affordable prices. We offer genuine pictures and phone numbers, ensuring delivery to your location within 25 minutes, saving you both time and money.

      Reply
    47. call girls service in Lahore on October 1, 2025 2:12 pm

      We have a wide range of High Class Lahore Call girls and Beautiful Real girl WhatsApp numbers with Photos available 24 7 to fulfill sexual desires.Our Best Call girls give sensual experiences to their customers. We always send real Cheap girls to treat our clients so that they feel safe. Our services will be fun for you, and our adult services will be easy for our customers and anyone who wants to join us. People love us because we offer the best Lahore Call girls Service at low prices, and our women do fun things for them.

      Reply
    48. Lahore call girls on October 1, 2025 2:13 pm

      Are you looking for the satisfactory Call girls Service In Lahore? As one of the best agencies for call ladies in Lahore, we offer quite a number sexual services. thirstycallgirls.online is the most famous Call girls Agency in Lahore and Pakistan.Our ladies are to be had for in-name and out-call services. You can e book our girls at any time of the day on the excellent price.

      Reply
    49. castrocvv on October 11, 2025 2:06 pm

      My coder is trying to persuade me to move to .net from PHP.
      I have always disliked the idea because of the costs.
      But he’s tryiong none the less. I’ve been using Movable-type on a number of websites for about a
      year and am concerned about switching to another platform.
      I have heard very good things about blogengine.net.
      Is there a way I can import all my wordpress content into it?
      Any kind of help would be really appreciated!

      my page: castrocvv

      Reply
    50. castrocvv on October 11, 2025 2:30 pm

      After I initially commented I seem to have clicked the -Notify me when new comments are added- checkbox and now whenever a comment is
      added I receive four emails with the same comment. There has to be a means you are able to remove me from that service?
      Thanks a lot!

      Feel free to surf to my blog :: castrocvv

      Reply
    51. just-kill on October 18, 2025 5:20 pm

      Hey I know this is off topic but I was wondering if you knew of any
      widgets I could add to my blog that automatically
      tweet my newest twitter updates. I’ve been looking for a plug-in like this for
      quite some time and was hoping maybe you would have
      some experience with something like this. Please let me know if you run into anything.
      I truly enjoy reading your blog and I look forward to your new updates.

      Check out my web page :: just-kill

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi October 1, 2025

    In the name of LOVE – 12

    Ilipoishia sehemu ya Kumi na moja ya In the name of LOVE Moyo Wangu na…

    In the name of LOVE – 11

    In the name of LOVE – 10

    In the name of LOVE – 09

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.