Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home Β» Mkeka wa Jumatatu | 05 May 2025 | Odds 372.41 | Mechi 22 Moto!
    Chuo cha Kubeti

    Mkeka wa Jumatatu | 05 May 2025 | Odds 372.41 | Mechi 22 Moto!

    Rutashubanyuma NestoryBy Rutashubanyuma NestoryMay 4, 2025Updated:May 6, 202516 Comments5 Mins Read614 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ligi Kuu ya Hispania

    Girona vs Mallorca – Mallorca kushinda au sare

    Ubashiri huu una odds 1.69.

    Sababu.

    Historia inambeba Girona lakini kiwango hoi kwa hiyo tunampa ushindi Mallorca au sare.

    Ligi Kuu ya Italia

    Genoa vs AC Milan – AC Milan atashindaΒ 

    Ubashiri huu una Odds 1.69.

    Sababu.

    AC Milan sasa hivi hashikiki.

    Ligi Kuu ya Argentina.

    CA Tigers vs Boca Jrs Boca atashinda au sare.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.31

    Β Sababu.

    Β Boca Jrs wako vizuri hawawezi kufungwa.

    River Plate vs Velez Sarsfield- River Plate atashinda bila ya shaka yoyote ile.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.44

    Sababu.

    Kiwango cha River Plate ni moto wa kuotea mbali.

    Ligi Kuu ya Korea.Β 

    Gwangju FC vs Sangju Sangmu – Sangju Sangmu kushinda au sare

    Β Ubashiri huu una Odds 1.41

    Sababu:

    Pamoja na ukweli mara ya mwisho kwenye uwanja huu Gwangju FC aliibuka kidedea kwa mabao mawili bila lakini kiwango kimeshuka mno. Hataweza kutesa safari hii.

    Ulsan Hyundai vs Pohang Steelers – Usain Hyundai kushinda

    Ubashiri huu una Odds 1.73

    Sababu:

    Pamoja na Usain hyundai kushinda lakini kutokana na kiwango chao. Pia Pohang Steelers mechi za ugenini wanasuasua sana.Β 

    Ligi ya Argentina Primera B.

    Atletico Fenix vs Villa Dalmine – Atletico Fenix U1.5

    Ubashiri huu una Odds 1.29

    Sababu:

    Wengi wanawapa Villa Dalmine ushindi au sare lakini mechi ya mwisho kati yao kwenye uwanja huu huu Atletico Fenix alishinda bao moja nunge. Wasiwasi wangu pamoja na Atletico Fenix anasuasua lakini mechi yake ya karibuni nyumbani kwake alilazimisha sare dhidi ya Deportivo LafefereΒ 

    Β Ligi kuu ya Uingereza

    Crystal Palace vs Nottingham Forest – Crystal Palace atashinda au sare.

    Ubashiri huu una Odds 1.33

    Β Sababu

    Β Nottingham Forest wako nafasi ya 6 ya ligi kuu na Crystal Palace wako nafasi ya 12. Lakini ngome ya Nottingham Forest ni kama mlenda. Na jinsi ambavyo, Crystal Palace, alimsambaratisha Aston villa sina shaka atashinda tu.

    Sare nimeiongeza kwa sababu za kihistoria tu lakini kiwango cha Crystal Palace sasa hivi ni balaa na hawa Nottingham Forest pamoja na kuota kucheza ligi za ulaya hawana ubavu wa kushinda mechi hii.

    Brazili ligi kuu.

    Cruzeiro vs Flamengo – Flamengo atashinda au sare.

    Ubashiri huu una Odds 1.20

    Sababu

    Cruzeiro ameshinda mechi 4 kati ya 5 alizocheza nyumbani hivi karibuni kwa hiyo anaweza kulazimisha sare ila hawezi kushinda.

    Β Ligi kuu ya IsraelΒ 

    Maccabi Tel Aviv vs Hapoel Beer Sheva – Maccabi Tel Aviv kufunga angalau bao moja

    Ubashiri huu una Odds 1.22

    Sababu

    Mechi hii ina harufu kali ya mabao mengi lakini historia inasema Maccabi Tel Aviv atapata bao kwa hiyo tunampa hilo bao moja.

    Ligi kuu ya Colombia.

    Rionegro vs Pereira – Pereira atashinda au sare.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.48

    Β Sababu

    Β Pereira wako mahali yake hivyo tunatarajia watashinda lakini historia yao ni sare ndiyo maana tumewapa Pereira ushindi au sare

    Union Magdalena vs Once Caldas – Once Caldas watashinda au sare.

    Sababu

    Union Magdalena wako nafasi ya 18 kati ya 20 ya ligi. Pereira wako nafasi ya 12. Union Magdalena watapambana lakini hawajiamini kuibuka kidedea.

    Β Independiente vs Atletico National – Independiente U2.5.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.10

    Β Sababu

    Independiente hana hulka ya kufunga mabao mengi ndiyo maana tumempa U2.5

    Β Ligi kuu ya Mexico.

    Β Monterrey vs UNAM PUMAS – Monterrey kufunga bao

    Β Ubashiri huu una Odds 1.24

    Sababu

    Historia inambeba Monterrey kufunga angalau bao moja. Mechi hii nani atashinda ni kizungumkuti. Kwa hiyo, tunawapa wenyeji wacheke na nyavu angalau mara moja.

    Β Ligi kuu ya Urusi.

    Β Krylya Sovetov vs Dinamo Moscow – Krylya Sovetov kupata bao angalau bao moja.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.27

    Β Sababu

    Β Hapa ni mabao ya kutosha kwa pande zote mbili. Hivyo, kumpa Krylya Sovetov bao moja inalipa vizuri tu.

    Β Ligi kuu ya Uturuki.

    Β Kasimpasa vs Trabzonspor – Kasimpasa kufunga goli!

    Ubashiri huu una Odds 1.23

    Sababu

    Β Trabzonspor tunawatarajia washinde maana mechi yao ya mwisho kwenye uwanja huu watakaocheza walibuka kidedea tanonkwa moja.

    Lakini Kasimpasa mechi zake nne za hivi karibuni uwanjani kwake kafunga mabao 9 na baadhi ya hizo mechi zinajumuisha vinara wa ligi Galatasaray ambapo walitoa sare ya tatu kwa tatu. Pia walitoa sare na Besiktas moja kwa moja. Besiktas wako nafasi ya nne kwenye ligi.

    Sasa hawa Trabzonspor hawana ubavu wa kushinda bila ya kufungwa hata kabao kamoja hivi.

    Β Ligi kuu ya Romania

    Β FCSB vs Dinamo Bucuresti – FCSB kupata angalau bao moja.

    Ubashiri huu una Odds 1.14

    Sababu

    Β Dinamo Bucuresti anaweza kulazimisha sare ya moja kwa moja ndiyo maana tumempa FCSB angalau bao mojaΒ 

    Ligi kuu ya Chile.

    Β Audax Italiano vs Deportes Serena – Audax Italiano kupata angalau bao moja!

    Ubashiri huu una Odds 1.20

    Β Sababu

    Audax Italiano anafunga mabao kibao hivyo kumpa bao moja inalipa sana.

    Nublense vs Union Calera – Union Calera U2.5

    Β Ubashiri huu una Odds 1.05

    Β Sababu

    Β Union CaleraΒ  alishinda mechi kati yao kwenye uwanja huu huu tatizo mechi za ugenini amekuwa hafungi magoli ndiyo maana tumempa U2.5. Zaidi ya hapo, Nublense, mechi za nyumbani katoa sare mechi 5 na kushinda moja. Na mechi zote hizo sita hakuna timu ilimfunga zaidi ya bao moja.

    Kwa hiyo, kumpa Union Calera U2.5 ina mashiko tosheleza.

    Β Ligi kuu ya Marekani.

    Β Sporting Kansas City vs Los Angeles, – O 1.5

    Β Ubashiri huu una Odds 1.18

    Β Sababu

    Β Hii mechi ni mabao kwenda mbele mara ya mwisho kwenye uwanja huu huu yalifungwa jumla ya mabao 5 lila timu ikicheka na nyavu.

    Β Ligi kuu ya Uruguay

    Β Club Nacional vs Sportivo Ameliano – Sportivo Ameliano + 2G

    Β Ubashiri huu una Odds 1.19

    Β Sababu

    Β Hizi timu mbili mara ya mwisho hawakufungana na zinaonekana kulingana kiwango. Tunawapa Sportivo Ameliano ushindi kwa kuwaongezea mabao mawili. Soko hilo liko poa kabisa.

    Β Ligi daraja la pili la Hispania

    Β Castellon vs Gijon – Castellon atashinda au sare.

    Β Ubashiri huu una Odds 1.22

    Β Sababu

    Β Castellon yuko vizuri zaidi ya Gijon

    AC Milan vs Genoa betting tips Kiswahili Crystal Palace vs Nottingham Forest Flamengo vs Cruzeiro mechi za Jumatatu odds za soka ubashiri wa soka

    16 Comments

    1. Gabriel on May 5, 2025 9:23 am

      Uchambuzi hauna mashiko admin, yan hazishawish kutia mzigo. Ni maoni t

      Reply
      • Nyax on May 5, 2025 6:04 pm

        Toa zako sasa kama hazina mashiko

        Reply
    2. Jackson Hamis Moremi on May 5, 2025 9:31 am

      Naimani na ubashiri wenu sina shaka nao.

      Reply
      • Alhajikising'[email protected] on May 6, 2025 3:48 pm

        Mbona sehemu ya 7 na 8 sijaona majama

        Reply
    3. [email protected] on May 6, 2025 3:46 pm

      Mbona sehemu ya 7 na 8 sijaona majama

      Reply
    4. Alhajikising'[email protected] on May 6, 2025 3:47 pm

      Mbona sehemu ya 7 na 8 sijaona majama

      Reply
    5. ⛏ Ticket: Process 1,979782 BTC. Receive >> https://graph.org/Ticket--58146-05-02?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& ⛏ on May 11, 2025 1:56 am

      6cgf1p

      Reply
    6. πŸ” Message- Process 1,422825 BTC. Withdraw >>> https://yandex.com/poll/Ef2mNddcUzfYHaPDepm53G?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ” on May 19, 2025 12:14 pm

      ez58bk

      Reply
    7. πŸ““ Message: Operation 1,45463 BTC. Next > https://yandex.com/poll/T1TnDbUc4R9aLX7Nzhj1Cy?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ““ on May 25, 2025 6:13 am

      j92nkt

      Reply
    8. πŸ” + 1.994927 BTC.NEXT - https://yandex.com/poll/WDrLYhyq1Mc7jMHFgAW85q?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ” on June 3, 2025 11:02 am

      2jlvnr

      Reply
    9. πŸ”‘ + 1.974216 BTC.NEXT - https://yandex.com/poll/Ef2mNddcUzfYHaPDepm53G?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ”‘ on June 5, 2025 6:24 pm

      jzm2b8

      Reply
    10. πŸ”— + 1.506705 BTC.GET - https://yandex.com/poll/enter/BXidu5Ewa8hnAFoFznqSi9?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ”— on June 11, 2025 5:24 am

      x50kt7

      Reply
    11. πŸ“ƒ Notification; SENDING 1,452232 bitcoin. Confirm >>> https://yandex.com/poll/enter/12JSER8t8KDJewYyTprg7K?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ“ƒ on June 17, 2025 5:08 am

      v7or3l

      Reply
    12. βš™ Reminder: Operation 1,118386 bitcoin. Go to withdrawal >>> https://yandex.com/poll/enter/FtVRYPu2WT9qLJ2WEoNw4E?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& βš™ on June 17, 2025 9:49 am

      6jkvfx

      Reply
    13. * * * Claim Free iPhone 16: https://www.cskwebserver.in/index.php?wnxkku * * * hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026* Ρ…Ρ…Ρ…* on June 19, 2025 1:46 am

      bfzl7e

      Reply
    14. πŸ’Ώ + 1.140094 BTC.NEXT - https://graph.org/Payout-from-Blockchaincom-06-26?hs=d7d60af7991d98ba9e98768746a94026& πŸ’Ώ on June 30, 2025 7:17 am

      59ju92

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneΒ  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.