Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    In the name of LOVE – 05

    In the name of LOVE – 04

    In the name of LOVE – 03

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua (05)
    Hadithi

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua (05)

    Kaka MkubwaBy Kaka MkubwaJanuary 9, 2025Updated:January 11, 202524 Comments10 Mins Read3K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ilipoishia “Sikuwa na maswali mengi kuwa chapati zinaenda kuliwa na Nani sababu hata ule Mchichaย  nilikua na uhakika kuwa unaliwa na Misukule niliyoiona Usiku. Nilihisi kukonda kwa siku mojaย  tu ya hekaheka, nilitoka nikafungua geti kisha nikatoka ndani, taratibu nikawa naeleka kwa yuleย  Mama anayeuza Chapati nyumba kama ya Nne hivi kutoka nyumbani kwa Mzee Mwinyimkuu.ย 

    Macho yangu yaliitazama sana ile nyumba ya Mzee Mwinyimkuu, nje Watu walikuaย  wakiendelea na shughuli zao, niliamini hakuna anayejuwa kinachoendelea. Nilitamaniย  nimsimulie Mtu pengine nimwombe msaada lakini nikakumbuka onyo nililopewa na Mzeeย  Mwinyimkuu, Ah! Hamu iliniisha. Endelea

    SEHEMU YA TANO

    โ€œKaribu Bintiโ€ alisema yule Mama, sikuachia tabasamu kama lile la siku ya kwanza nililompaย  huyu Mama, moyo wangu ulikataa kuigiza furaha wakati napitia nyakati ngumu sana na zaย  mateso makali sana.ย 

    โ€œAhsante, nataka chapati za hii helaโ€ nilisema kwa sauti isiyo changamka, yule Mama akapokeaย  pesa kisha akawa ananichukulia chapati alizozitengeneza tayari, lakini akaacha akaniulizaย 

    โ€œUpo sawa?โ€ swali hili liliniumiza sana, nikawaza nimjibu nini ila nilishaonywa kuwa nikisemaย  chochote Wazazi wangu watauawa. Kwa simulizi nilizosikia kuhusu Uchawi inawezekana kabisaย  wakauawa wakiwa Mbali hivyo niliogopa sana. Wakati nawaza yule Mama akanishtua kwaย  kunitikisa maana nilishazama kimawazoย 

    โ€œUpo hapa kweli Binti?โ€ nikashtuka na kujibaraguza kama Mtu aliye sawa huku nikijuwa fikaย  kuwa nausaliti moyo wangu.ย 

    โ€œNdiyo, nipo Mama. Samahani naomba chapati niwahi nimeacha chai jiko la gesiโ€ nilisema,ย  nilishakuwa na uhakika kuwa pengine Mzee Mwinyimkuu aliweka mtego wake kwangu ndiyoย  maana akaniacha huru nje

    โ€œMh!โ€ akaguna tu kisha hakusema kingine, halafu akanifungia chapati za Elfu tano akaniwekeaย  kwenye mfuko.ย 

    โ€œKaribu tena, Naitwa Mama Ashura. Ukikwama usisite nitakupa msaadaโ€ alisema yule Mamaย  akanipa mfuko, Uwiiโ€ผ alinigusa ndani ya Moyo wangu kwa jinsi nilivyokua natamani kupataย  msaada Mimi kwa yanayonisibu lakini sikujua napataje msaada Mimi, naanzaje? Nikajichekeshaย  tu kama mwehu kisha nikageuka na kuondoka pale.ย ย 

    Kitendo cha Kumpa mgongo Mama muuza chapati aliyejitambulisha kama Mama Ashura, choziย  lilinilenga. Safari ya kurudi ndani ilijaa maumivu makali sababu narudi tena kuivaa hofu naย  mateso ndani ya Nyumba ya Mzee Mwinyimkuu. Nilitamani kukimbia lakini niliwaza Wazaziย  wangu, sikuwa na tumaini kiukweli.ย 

    Nilifungua geti na kuingia ndani kisha nikafunga geti, nilivyofunga geti chozi lilinibubujika sanaย  nikalifuta kwa kutumia mtandio wangu. Ilikua kama Mishale ya saa Tatu na dakika zake hivi,ย  nilichemsha chai na kumpa Mzee Mwinyimkuu sebleniย 

    โ€œKula chapati moja, zilizobakia peleka kwenye kile chumba. Weka na maji ya kunywa kishaย  ondoka, ukimaliza njooโ€ alisema akiwa anakula chapati zake, nilifuata maagizo sababu hapakuaย  na jambo jipya. Nilishajua zinaliwa na Misukule ambao Mzee MwinyiMkuu ameniambia nifanyeย  nao mapenzi.ย ย 

    Nilipomaliza sikula, nikarudi sebleni kumsikiliza.ย 

    โ€œKaa hapoโ€ akaniamuru niketi kwenye kochi la kizamani, akagida funda kadhaa za chai kishaย  akasema tenaย 

    โ€œHii simu imekumbana na Nini?โ€ย ย 

    โ€œIlianguka Babaโ€ nilijibu kwa heshima na wogaย 

    โ€œUtaongea na Wazazi wako kwa kutumia simu yangu, Baba yako anaumwa na kama utafanyaย  zihaka nitamwondoa. Wasalimie waambie simu imeharibika ili wasisumbue, ole wako uonesheย  wasiwasi wowote uleโ€ Nilishtuka, likanitoka neno bila kutarajia sababu nilikua nampenda sanaย  Baba yangu Jamani, sijui alipata wapi namba ya Mama yanguย 

    โ€œBaba anaumwa?โ€ Weee, nilikiona cha moto, alinimwagia chai ya moto usoni. Nilitapa tapa kwaย  maumivuย 

    โ€œKimyaโ€ผ mshenzi wewe, unauliza ulichokisikia?โ€ alisema Mzee MwinyiMkuu, sijui nikwambieย  nini Msomaji. Huyu Mzee alikua katili haswaa kuanzia sura yake hadi matendo yake, Watu kamaย  hawa nilikua nawaona kwenye filamu tu na wala sikutegemea kama wangekuwepo kweli hapaย  Duniani.

    Niliacha Kulia lakini maumivu ya moto yalikua makali sana japo taratibu yalianza kupoa, kishaย  nikasikia simu ikiwa imeshapigwa inaita, aliweka Loud Spika ili naye ayasikie mazungumzo,ย  hapo ndipo nilipoisikia sauti ya Mama yangu, chozi lilikua linanibubujika tu. Mama aliitaย ย 

    โ€œHelloโ€ย 

    โ€œAbee Mamaโ€ nilimwitika Mama yangu kwa sauti niliyoshindwa kujizuia kabisa, nililia kwaย  mengi sana. Kwanza niliwakumbuka sana wazazi wangu japo ni muda mchache tu umepita naย  pili ninayoyapitia sikuwa na Mtu wa kumwambia wakati wazazi wangu wapoย 

    โ€œHee! Saida Mwanangu, Unalia nini Mama na hii namba ya Nani?โ€ Mama aliitambua sautiย  yangu na pia aligundua ninalia, yule Mzee akanikazia macho yakeย 

    Jamani sauti ya Mama yangu ilizidi kunichoma Moyoni, nilishindwa hata kuongea, laiti kamaย  Mama yangu angelijua nipo chini ya Ulinzi sijui ingekuwaje.ย 

    โ€œSaida unalia nini Mwanangu, Mumeo amekufanya nini?โ€ Si unajua ndoa ina siku tatu tu hivyoย  ni lazima Mama ahisi pengine nina tatizo na Salehe, nikafuta chozi nikasema neno moja tu kwaย  Mama kisha niliangua Kilioย 

    โ€œNimewakumbuka sana Mama na Babaโ€ฆโ€ Nililia kama Mtoto mdogo, Mama naye akalia, Mimiย  ndiye Mtoto wao pekee na pendwa hivyo hawakuwahi kukaa mbali na Mimi nami sikuwahiย  kukaa mbali nao hata mara moja, walinilea kama mboni ya Jicho.ย 

    โ€œSaida hata sisi wazazi wako tunakuwaza sana, nyumba imepooza mno lakini hakuna jinsi niย  lazima Maisha yendelee. Usilie najuwa utazoea hayo unayoyapitia, najua una upweke sanaโ€ย  Mama alisema, laiti angejua kuwa naishi nusu mfu na nusu Mtu angelia sana.ย 

    โ€œSawa Mama lakini siwezi kuacha kuwawaza kila siku ziendazo kwa Mungu, naomba sanaย  muwe na afya njema siku zoteโ€ angalau kidogo sauti ya kilio ilianza kuniacha, kimafua kwaย  mbali tu ndiyo kilikuwepo.ย 

    โ€œAmen Mwanangu, hata hivyo Baba yako anaumwaโ€ alichokisema Mama ndicho alichokuaย  ameniambia Mzee Mwinyimkuu, halafu safari hii akajifanya hana habari na mimi baliย  anaendelea kunywa chai, nilimtazama kwa jicho baya la hasira lakini sikuwa na cha kumfanyaย 

    โ€œEeh imekuwaje tena Mama?โ€ย 

    โ€œAsubuhi ameanguka chooni, yupo amelala na anahisi mkono mmoja hauna nguvuโ€ alisemaย  Mama, Roho iliniuma sana. Chozi tu ndilo lililokuwa linanibubujika kwa wingiย 

    โ€œMungu ni Mwema Mama, atapona Insha Allahโ€ nilisema kwa hisia huku nikijuwa ni fitina zaย  kichawi za Mzee Mwinyimkuu.ย ย 

    โ€œAmen, hii namba ya Nani? Nimejaribu kukupigia hupatikani.โ€ย 

    โ€œHii namba ni ya Mkwe Wangu. Nilidondosha simu ikapasuka, hata hivyo Mume wanguย  amesafiri kwa dharura jana hivyo akirudi nitapata simu nyingine. Ukinihitaji piga humu Mamaโ€ย ย 

    โ€œSawa Mwananguโ€ฆndoa unaionaje Saida?โ€ Lilipofika hili swali moyo wangu ulisinyaa ghafla,ย  niliumia sana kuulizwa kuhusu ndoa wakati nayoyapitia ni magumu kuliko magumu ya ndoa.ย  Mzee Mwinyimkuu akanikata jicho huku akinionya kwa kidoleย 

    โ€œNina furaha sana Mama, familia inanionesha upendo wa hali ya juu sana. Samhani Mamaย  naelekea jikoni mara mojaโ€ nilisema na kumuaga Mama, nilijijua kuwa ningeangua kilio chaย  Mtu mzima sababu nilisema uwongo kitu ambacho sikipendi hasa kumuongopea Mama yangu.ย ย 

    Nilikata simu kisha niliiweka mezani.ย 

    โ€œKama utaendelea hivyo basi hatutagombana Mimi na wewe lakini kama utakuwa mkaidi basiย  utakiona cha Mtema Kuniโ€ alisema Mzee Mwinyimkuu, nilinyanyuka taratibu nikatembea hadiย  jikoniย 

    Chai ilikuwa hapo inaniangalia lakini njaa haikuwepo kabisa, Taswira ya Maisha yanguย  ilibadilika mno. Nikajuta kwanini niliolewa Mimi Huuuhโ€ผย 

    Nilikaa kwenye kigoda na kuanza kulia kwa sauti ya chini, huhโ€ผ nilishindwa kujizuia kusemaย  ukweli, maumivu yalikua makubwa kiasi kwamba chozi lilinibubujika bila hata kubisha hodi.ย 

    **ย 

    Baada ya kupita siku mbili, zikatimia siku tatu ambazo Mzee Mwinyimkuu aliniambia kuwaย  napaswa kufanya mapenzi na Misukule wake, hiyo siku nilisoma kila aya kwenye Quraanย  tukufu, nilipiga kila goti ili Mungu aniondoe ndani ya ile nyumba lakini haikua hivyo.ย  Aliniambia Usiku ndiyo nitafanya kitu hicho, akanipa dawa fulani alizozijua yeye akasemaย  napaswa kunywa kabla ya kuingiliwa na Msukule ili nisije pata Ujauzitoย ย 

    Akanipa pia Kaniki nyeusi nijifunge bila kuvaa chochote ndani, kisha akaniambiaย 

    โ€œJiandae saa moja Usiku utaingia kwenye kile chumba. Una uwezo wa kuhudumia Wanaumeย  wangapi kwa mara moja?โ€ Aliniuliza, haki ya Mungu nilijawa na hasira isiyo kifani. Kwanzaย  sikuwahi kufanya mapenzi kabla ya kuingiliwa na yule Msukule Usiku ule nikifikiria ni Saleheย  hivyo sijui chochote kile kuhusu Mapenziย ย 

    โ€œNakuuliza wewe!โ€ Akanishtua, nikashtuka haswa maana nilijua kama nitaendelea kuwa kimyaย  pengine ningekutana na kofi lake, nikajikuta naropoka tuย 

    โ€œWatatuโ€ Nikaliona tabasamu kwenye uso wa Mzee Mwinyimkuu.ย 

    โ€œHaya pumzika hakikisha umekula vizuri, tuna masaa mawili tu kufika Usikuโ€ alisema kishaย  aliniacha chumbani kwangu nikiendelea kukonda kwa mawazo. Kaniki ilikua mkononi mwanguย  nikiwaza eti nakuwa mtumwa wa mapenzi kwa Misukule, kipindi hicho nilishaacha kumuwazaย  Salehe sababu Baba yake aliniambia kuwa walikua timu moja kuniingiza matatizoni.

    Yale masaa mawili yalikwisha, roho iliniuma na hofu juu, nililia jamani. Halafu sasa huyu Mzeeย  alianzisha tabia moja, aliacha kugonga mlango wa chumba changu badala yake aliigia tu kamaย  upo wazi. Alinikuta nimekaaย 

    โ€œJitayarishe Bintiโ€ alikuja kuniambia hivyo tu, nilimeza funda zito la mate. Laiti kamaย  ningelikua huru basi ningeli mrushia tusi la nguoni lakini nilikua kifungoni japo nilikua na uhuruย  wa kuchagua kati ya kupoteza Wazazi wangu au kujipotza mimi mwenyewe ndani ya ile nyumbaย  ya Kichawiย 

    Basi, nilifanya kama alivyosema. Niliivaa ile kaniki kama khanga vile nikiwa nimeyafungaย  matiti yangu. Sijui aliona nachelewa basi akaja mkuku-mkuku na kunipeleka kwenye kileย  chumba ambacho siku ile niliwaona Misukule.ย 

    โ€œSaida, kama utakua Binti mzuri nakuahidi utaishi kwa raha sana na wazazi wako watakuwa hai.ย  Unatakiwa utambue jambo moja kuwa unapofanya mapenzi na hawa Misukule wanapata nguvuย  zaidi ya kunipa utajiri na nguvu za Kichawi. Huu ni ufalme niliourithi kutoka kwa Baba yangu,ย  nami nitamrithisha Salehe hivyo ni lazima hizi nguvu zitunzwe na kulindwa zaidi ya chochoteย  kile. Usiogope ila nitakuwa mkali kama utanifanya nisuburi zaidiโ€ alisema Mzee Mwinyimkuuย  akiwa anatoa sauti ya kawaida iliyojaa Ulaghai mtupuย 

    Akawasha zile udi zake akaweka kila pande ya chumba kisha akaniambia nikae katikati yaย  Chumba kama siku ile ya kwanza. Sijui nikwambiaje uelewe kuwa Mzee Mwinyimkuu alikuwaย  na sura mbaya ya kutisha kiasi kwamba akikutazama kwa macho yake mekundu ni lazimaย  uogope na ujasiri ukuishe, na kingine yeye kukupa pigo ni dakika moja tu wala hawazi.ย 

    Chozi lilinitoka siwezi kuongopa, haikua kawaida. Mara ghafla wakatokea misukule Watatuย  wakiwa uchi wa Myama, ilikua kama filamu ya maigizo hivi lakini ndiyo ukweli wenyeweย  unaouma zaidi moyoni, nahisi walikua wanajuwa walichoitiwa. Niliona Midudu yao ikiwaย  imesimama sana, halafu ni mikubwa Jamani Oooohโ€ผย 

    Nilianza kuogopa huku nikimwambia yule Mzeeย 

    โ€œSamahani Baba naweza kufanya kila kitu lakini hii siwezi, nihurunie Mtoto wa mwenzakoย  Mimi. Niache nirudi kwetuโ€ nilisema nikiwa ninalia, Msukule mmoja akanivaa kwa nguvu naย  kuniondoa ile Khaniki, nikabaki Uchi wa Mnyama kama alivyotaka Mzee Mwinyimkuu.ย  Niliingiliwa kwa nguvu na wale Misukule huku nikipiga kelele za kuomba Msaada, kwa jinsiย  nilivyogumia nina uhakika kuwa majirani walisikia maana nilikua na maumivu makali sanaย 

    Walinichana huku chini, damu zilinitoka nikiwa nimelala sakafuni. Nililia kwa kwikwi sitakujaย  kusahau namna nilivyojisikia Usiku ule. Yule Mzee akanifuata na kunitaka nikae kimyaย  vinginevyo angenichoma kile kisu, nilijinyamazisha haraka sana huku nikimuomba yule Mzee

    โ€œKwanini unanitendea unyama kiasi hivi, nimekukosea nini Mimi? Naomba nirudi kwetu Mimiย  siwezi jamani Aaaahโ€ผโ€ yaani kama angelikuwa ni Mtu mwenye roho nzuri basi angelinihurumiaย  mara moja na kuniacha niondoke lakini akanipa Mtihani mwingine mgumu sana ambao uliniachaย  na kilema cha Maisha hadi hivi leoย 

    Kitu cha kwanza alichofanya ni kuzungumza maneno yake wale Misukule wakaondoka kamaย  walivyokuja kupitia pembe za ukuta, lakini pili Mzee Mwinyimkuu aliniambiaย 

    โ€œKama utaendelea kunisumbua basi hapa patakuwa Jahannam yako na hutokaa utoke Mileleย  Daima. Kingine napaswa kukuvuna viungo kila unapofanya mapenzi na Misukule, sikuย  nikimaliza nitakuacha urudi kwenuโ€ Nilijiuliza anivune viungo kivipi, kauli yake ilinianbia kwaย  haraka kuwa Kifo kilikua kimenigongea hodi, kipo karibu zaidi na Mimi.ย 

    โ€œUnasema nini?โ€ niliuliza nikiwa ninalia kwa sauti ya Chini.ย 

    Haraka yule Mzee akanipulizia unga fulani aliokuwa ameushikilia mkono wa kushoto, ulikuaย  mweupe ulionifikia hadi usoni kwangu. Nikajikuta nikiwa nimelegea vya kutosha kiasi kwambaย  sijitambui, hatimaye giza tu lilinitanda na sikujua kilichokuwa kimeendelea nyuma yangu.

    Comments ziwe nyingi hapa

    Nini Kitaendelea?USIKOSE SEHEMU YA SITA YA NILIOLEWANA MTU NISIYEMJUA… USISAHAU PIA Kununua Kitabu Cha KOTI JEUSI Kwa Kupiga Simu Namba+255760871896 Ufikishiwe Mpaka Ulipo

    SOMA RIWAYA YA FUNGATE KWA KUBONYEZA HAPAย 

    SOMA RIWAYA YA NILIPANGA NYUMBA MOJA NA MAJINIย 

    SOMA RIWAYA YA GORYANAH HAPAย 

    SOMA KISASI CHANGU HAPAย ย 

    SOMA RIWAYA YA MSALA HAPA

    JIUNGE NIPO KIJIWENI Kwa Kubonyeza Hapaย 

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua xx

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    24 Comments

    1. Deogratias on January 9, 2025 6:11 pm

      Duuuh ni nomaaa

      Reply
    2. Janeth on January 9, 2025 6:27 pm

      Duuu ni balaaa๐Ÿ”ฅ

      Reply
      • jas on January 9, 2025 7:03 pm

        duh jmn pole sana

        Reply
        • mwanah on January 9, 2025 7:26 pm

          Masikin saida๐Ÿ˜—๐Ÿ˜—๐Ÿค—

          Reply
    3. Ziana Muhidin on January 9, 2025 6:56 pm

      Duh jamani!

      Reply
    4. Frae on January 9, 2025 7:31 pm

      ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ

      Reply
    5. Fawziya Hassan on January 9, 2025 8:45 pm

      Maskini Saida jamani hadi huruma ๐Ÿ˜”
      Simulizi ya vitisho yenye mazingatio makubwa

      Reply
    6. Hamisi halidi on January 9, 2025 9:07 pm

      Duh๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

      Reply
    7. [email protected] on January 9, 2025 10:50 pm

      Amekupofusha mbwa huyo . Dah! Huyo bwaanako salehe Yuko wp jmn kwnn lkn? MUNGU akutowe huko peke yake yy tu ndo anaweza Kwa kweli

      Reply
    8. [email protected] on January 9, 2025 10:52 pm

      Hongera sn Admin . Story inafundiaha sn hii

      Reply
    9. Emanueli on January 9, 2025 11:07 pm

      https://dm.wa.link/tlvtqh

      Reply
    10. G shirima on January 9, 2025 11:20 pm

      Mh wew mtunzi mbona inatisha ivi kama naona live

      Reply
    11. Frae on January 10, 2025 8:13 am

      Muendelezo plzzzz

      Reply
    12. Joshua on January 10, 2025 12:37 pm

      Mhh,mungu tunusuru sisi waja wako kwa kila hatua ya maisha yetu

      Reply
    13. Rehema Adam on January 10, 2025 4:31 pm

      Inatisha sana

      Reply
    14. Fatbaloz on January 10, 2025 8:13 pm

      Haa hii nishida sasa

      Reply
    15. Deogratius on January 10, 2025 8:44 pm

      Mmhh! Dunia๐Ÿฅบ

      Reply
    16. [email protected] on January 10, 2025 9:43 pm

      Mwendelezo mkuu .

      Reply
    17. David Emmanuel on January 11, 2025 12:13 am

      Mnachelewa kutuma vipange jamani, tunasubiri sana aisee

      Reply
    18. THOMAS MWITA on January 11, 2025 12:19 am

      Hili ni funzo kubwa sana kwetu ndo maana wazee wetu kuoa walikua mpaka wachunguze familia au ukoo

      Reply
    19. Cathbert on January 13, 2025 8:15 pm

      Hizi pesa ni shidaaa xnaa aisee

      Reply
    20. Elias Benjamin Michael on January 21, 2025 9:30 am

      Uchawi ni balaa

      Reply
    21. ๐Ÿ“ˆ ๐Ÿ’ฐ Bitcoin Credit - 0.42 BTC detected. Withdraw here >> https://graph.org/WITHDRAW-BITCOIN-07-23?hs=0940f590ca33220304bb7df04b91b9c2& ๐Ÿ“ˆ on August 3, 2025 9:15 pm

      x2mk3k

      Reply
    22. ๐Ÿ›  ๐Ÿ’ธ Bitcoin Reward - 3.14 BTC added. Access here โ†’ https://graph.org/Get-your-BTC-09-04?hs=0940f590ca33220304bb7df04b91b9c2& ๐Ÿ›  on September 13, 2025 11:26 pm

      isrprk

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi September 15, 2025

    In the name of LOVE – 05

    Ilipoishia sehemu ya tatu ya In the name of LOVE โ€œBasi hakuna shida Zaylisa, mnaweza…

    In the name of LOVE – 04

    In the name of LOVE – 03

    In the name of LOVE – 02

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.