Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    ZAINABU ( 01)

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Itawachukua Muda Mrefu Sana Yanga Kumpata Golikipa Mwingine
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Itawachukua Muda Mrefu Sana Yanga Kumpata Golikipa Mwingine

    MhaririBy MhaririApril 13, 2024Updated:April 13, 20242 Comments2 Mins Read548 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Golikipa wa Yanga Djigui Diarra
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Yanga imewachukua muda mrefu Sana kupata mlinda mlango mzuri na mwenye ubora mkubwa Sana kama ilivyo Kwa huyu mlinda mlango wao wa Sasa Djigui Diarra. Wamepita walinda mlango wengi ndani ya kikosi Cha wananchi, Juma Kaseja, Dida, Mustafa, Ramadhani Kabwili, Beno Kakolanya na wengine wengi lakini kati ya hao hakuna aliyemfikia Diarra Kwa ubora ambao unaendana na mahitaji ya kisasa.

    Amekuwa imara sana, Kuna nyakati timu inakuwa inaelemewa lakini Kwa ubora wake Bado anaisaidia timu yake kuwa salama nyakati tofauti tofauti, Mfano msimu uliopita kati ya magolikipa waliofanya saves nyingi na za kutosha ni pamoja na huyu mwamba, kuanzia hatua ya robo fainali msimu uliopita hadi anacheza fainali alifanya saves 16 ambazo pengine asingekuwa golikipa mzuri pengine ingewaletea shida wananchi.

    Yanga SC msimu katika michuano ya Klabu bingwa barani Afrika, imeruhusu magoli 6, na kufunga magoli 9, lakini kati ya magoli 6 ambayo kama timu imeruhusu yeye Diarra ameruhusu magoli 3 pekee katika 6 ambayo kacheza bado ni takwimu nzuri Sana kwake na Kwa timu pia.

    Akiokoa mchomo wa penati kama mtakuwa mnakumbuka, mchezo kati ya Yanga SC v Medeama FC ya Ghana ambao Yanga SC alishinda goli 3-0 Hiyo Siku Diarra aliokoa mkwaju wa penati.

    Ukitazama katika michezo yote miwili kati ya Yanga SC v Mamelodi sundowns FC na ule wa kule Afrika Kusini kati ya Mamelodi sundowns FC v Yanga SC, alifanya SAVES nyingi Sana pengine hata hatua ya matuta wasingefika, ubora wake Kwa Sasa ni sawa na dhahabu, amekuwa Bora mno, umri wake unaruhusu miaka 28 ni umri wa kazi kabisa.

    Binafsi naamini itawachukua muda mrefu sana Yanga SC kumpata golikipa mwingine mwenye ubora mkubwa kama huyu kama akaondoka.

    SOMA ZAIDI: Barua Nzito Kwa Simba Ili Iwe Imara Wawajibike Viongozi

    gamondi yanga kikosi cha yanga YANGA LEO
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views
    Ligi Kuu ya NBC

    RATIBA YA LIGI KUU YA NBC MSIMU WA 2025/2026

    August 29, 202513K Views
    Don't Miss
    Hadithi March 23, 2026

    ZAINABU ( 01)

    NAITWA ZAINABU ALIYU! Hii ni Hadithi ya Maisha yangu…..!!  Mimi ni Mtoto wa kwanza kati…

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (08)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.